Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TT bado sana kufikia Level za kina Pep na Klopp.
Yeye ni Level za kina Diego Simeone manake hata za kina Conte hajafikia.

Huyo TT wao Msimu ujao watamtimua tu,angekuwa amekaa hapo Epl kama muda aliokaa pep Na klopp sawa sasa huyu hata msimu 2 bado ijafika wanaanza kelele.
 
Adjustments.jpg
 
Haitotokezea Mchezaji wa Chelsea kushinda Ballon D'or 😂

Kama Ballon D'or ilimshinda Frank Lampard best Chelsea player ever na akapata Mtoto mdogo wa Liverpool Michael Owen aje apate Jojino? Kuweni serious basi 😂
 
Ballon D'or only LIVERPOOL na MAN UNITED ndiyo zenye uwezo wa kutoa Wabebaji kwa Timu za Kiengereza.
Naiheshimu Arsenal ya Arsen Wenger pia hasa Mnyaturu mwenzangu Thiery Henry.
 
tukiifunga Everton na wolves basi rasmi nitadeclare kwamba we are title contenders maana hizo timu City anajipigia tuu kiulaini
 
Rent Boys bhana! Eti Joginho for Ballon D'or

Pumbav

Me nilikataa kabisa huyo anauwezo mdogo sana.timu yangu ikicheza na chelsea eti tuanze kumuogopa Jorginho badala ya mo salah Kweli?

Chelsea wamechukua uefa lakini tukubali wachezaji wao hakuna world class player pale.

Kula alizopata mpaka Aibu yaani huyo ndio alichukua uefa na Euro ?
Vvd alizidiwa kula 6 Na messi.
 
Mendy for Kipa Bora

Shenzi sana

Hao ni swala la muda tu wataanza kuelewa kuwa wao ni wakawaida sana,huko tunapoendea ndio wataanza kujiona,maana wanakuwaga wabishi sana.

Timu yao hakuna mchezaji wakututisha Kabisa pale yaani twende uwanjani tuogope kama vile akiwa messi uwanjani.

Na wasiwasi hata kwenye klabu bingwa dunia wataenda kutia Aibu hawa kama walivyotiaga Aibu.
 
tukiifunga Everton na wolves basi rasmi nitadeclare kwamba we are title contenders maana hizo timu City anajipigia tuu kiulaini

Me Baada ya game 19 tu nafasi tutakayokuwa ndio tutakayo maliza nayo hiyo.haiwezi kubadilika.tukiwa namba namba moja basi natangaza ubingwa rasmi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom