Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Humu siku hizi hatuoni uchambuzi kwanini timu inacheza inavyocheza naona wanasifiwa wachezaji tu, leteni analysis how Liverpool inadominate timu nyingi, why liverpool have been so clinical this season, au wengi ni average fans?
 
Asante kwa taarifa.

J5 nitaweka ratiba zangu vizuri ili nisikose kuangalia.
Japo machi za ugenini huwa zinaniogopesha somehow.
Mechi saa tano usiku hivyo una muda wa kutosha kuitazama ukishaweka ratiba vizuri...

Liverpool ili tushinde lazima bila kukosa pale kati wawe vyema iwe ugenini ama nyumbani na niseme ukweli kabisa combination ya Fabinho na Thiago ni level zingine kabisa kwa hizi mechi walizocheza pamoja ki ufupi sijaona uzembe uliopitiliza wapo hivi, wanaleta yafautao kwenye timu..
Compact
Position awareness
Balance
Reliable
Freedom kwa LB na RB kua dynamic
control move acceleration
Threat out side box umeona Thiago ana magoli mawili meaning more confidence

Everton have lost the edge majeruhi, loss of form japo derby kama derby hua ni maadalizi ku exploit weakness za opponent hivyo nina imani na vijana mechi hii tuta toka salama.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Klopp is the determine factor ya all what we are period.. This man is a genius. Everything that this man touches turns to gold.

Ipo hivi...

Liverpool keep on evolving as other teams get better we become stronger under Klopp he keep focus on the most important details and thus we keep winning when are on song...

Klopp demands..

efficiency and planning
Klopp demands punctuality akisema kikao saa 10 basi saa 10:01 kikao kinaanza.
kila dakika kwa Klopp inakua detailed. Kuanzia muda wa mazoezi mpaka muda wa kulala kwa wachezaji
Klopp alivyosaini Anfield alikuta wachezaji wanakula traditional English breakfast akaona ni shinda akamsajili ama kuajili mtalaam wa vyakula Mona Nemmer. Huyu nutritionally specialist anaada ratiba na vyakula vya wachezaji kulingana na damu zao. Mchezaji anapangiwa ale nini kwa wakati gani. Na Klopp kashasema Mona Nemmer ndio usajili wake bora kabisa tangu aanze kazi ya ukocha.
usajili wa Klopp Liverpool wa wachezaji umekua wa mafanikio makubwa sana. Na anasajili kulingana na mahitaji ya nafasi husika. VVD alimsubiri msimu mzima na nusu ndio akaja kumnunua hanunui ili mradi mbali ni detailed acquisition. Mchezaji anavyonunuliwa anakua amefanyiwa research ya kutosha upande wa tactical awareness kuona anaboresha aje kikosi. Moja ya usajili ambao mpaka sasa umekua gumzo ni Robertson na Salah hakuna alietegemea watakuja kua hivi walivyo sasa..
Department ya scouting inafanya kazi nzuri sana.
Klopp ameweza kuwaaminisha wachezaji wake what its means kuchezea Liverpool kama alivyosema "WE MUST TURN DOUBTERS TO BELIEVERS"
Under Klopp we have become forceful and dynamic. We have the deadliest LW and RW.
we have the best CB VVD ooh man this man has made us what we are today. So so good now he coming back to his best.
Kingine Klopp is sorrouded by able expert kuanzia wasaidizi wake mpaka wapishi nk. Hii inafanya kazi ya Klopp kua na muda wa ku analyse opposing teams kutazama weaknesses za wachezaji wao na kupanga kikosi namna ya kupata ushindi. Inampa Klopp muda wa ku focus mechi zijazo na kuwaadaa wachezaji vyema kua tayari kwa mechi.

Msimu huu Klopp and the boys are evolving kwa mfano TAA zamani alikua ana operate mostly on the ranks upande wa kulia lakini sasa amekua so involved mpaka ndani ya uwanja kwa mita kadhaa hii imepelekea mpaka baadhi ya wadau kusema acheze MF.

@ Will Jr kwa kupata ushindi mechi za hivi karibuni ni kwamba wachezaji wengi wanapona Thiago, Fabinho na wengine kiwango kinarejea juu tazama Jota, Mane, VVD. Hao wote ni senior players wenye tactical knowledge how to execute Klopp plans.

YNWA
 
Klopp is the determine factor ya all what we are period.. This man is a genius. Everything that this man touches turns to gold.

Ipo hivi...

Liverpool keep on evolving as other teams get better we become stronger under Klopp he keep focus on the most important details and thus we keep winning when are on song...

Klopp demands..







YNWA
Haya waliotaka tathmini ya timu washindwe wao sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom