Ni kweli mkuu upande wa TAA hua unapwaya sana tunavyoshambuliwa na pia kwenye kona ama set piece inaonekana dogo sijui ni muoga wa kuokoa na kichwa ama niaje tazama gemu ya Brentford na leo utaona hioa weakness laivu bila chenga...
Kwenye mpira lazima hawa wachezaji waelewe umuhimu wa kuchukua fursa kadri wawezavyo tazama hapa Chelsea alitangulia kucheza na alipigwa na Manchester City nilitarajia basi wachezaji wetu wawe na uchu na pointi 3 mechi dhidi ya Brentford lakini tuliambulia sare huku tukiwa na sala kama zote mechi iishe,... Leo tena tulikua na matokeo ya Chelsea ku draw na Burnley jana tulikua nayo lakini badala ma dogo wakomae kupunguza utofauti wa pointi na kinara ndio kwanza wanakwenda kufungwo very easy goals London Stadium..
In life when opportunities kama ya leo inavyokua we got to grab the day and ran away with the 3 points period...
YNWA
Kabisa Klopp has to gamble wakati mwingine na hawa confirmed 1st 11 wawe wanakula benchi kurefuel na ku recover mechi bado nyingi sanaaa...Robertson kwenye kushambulia amekuwa week ukicompare na dogo Tsimikas dogo anapiga Kross tamu sana
Baada ya kutoka unbeatable team hadi team records...na bado tutaelewana tu muda ukifika....[emoji28]Liverpool Trophies:
League Tittles: 19
Premier League Champions: 19
European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6
UEFA Europa League: 3
UEFA Super Cup: 4
NB; nimeona tukumbushane tu kidogo..[emoji3]
Waende wapi zaidi ya kuja hapa?Chakushangaza hadi Arsenal na man u wapo kwenye uzi wetu kutushambulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..Tuombee tuu hizi fursa tulizopoteza zisitucost end of the season
Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..
Kushinda EPL lazima kila fursa itumike vyema sio kama sisi tunavyokwenda
YNWA
Tupo derby Inter vs Ac Milan San Siro hayo mambo ya unbeaten hatuna tena 😂😂😂yamebaki UCL 🔥🔥...Unbeaten munalala sahizi😂😂😂🤣
Umemaliza... City akikaa pale juu ya table ndo hua napatwa na mhaho maana yule kipara c MTU mzuri lakini hawa wengine najua watapukutika kama majani wakati wa kiangazi.. BTW bado ubingwa upo mikononi mwetu.. Bora ufungwe zeni ushinde kuliko sare mbili...Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..
Kushinda EPL lazima kila fursa itumike vyema sio kama sisi tunavyokwenda
YNWA
Blues mnaringaa wenyeweeUnbeaten munalala sahizi😂😂😂🤣
Mmebahatisha tuWazee wa anibiteni nawasalimu kwa jina la jamhuri ya West Ham,zamu inayofuata ni arsenal kupiga palepale kwenye mshono
Pazuri we are still in the mix EPL msimu huu na EPL matokeo kama ya leo hua hayachagui timu yaani, unakumbuka Norwich kuna msimu alimtadika Manchester City 3 au Crystal Palace kumtadika Pep 2 safiii kabisa msimu huu haha yaaaaani hii ligi ni levo zingine kabisaaaa..Kabisa that's what wory me this season.
Kabisa ndugu Pep kukaaa kileleni anakua hana nafasi ya uzembe kama huu wetu yaani pale wachezaji wanapofanya sivyo basi mechi ijayo wanakula benchi haha sasa kwa Liverpool hata kama Klopp anatamani awapumzishe je atampanga nani maana ana benchi limepwaya mno..Umemaliza... City akikaa pale juu ya table ndo hua napatwa na mhaho maana yule kipara c MTU mzuri lakini hawa wengine najua watapukutika kama majani wakati wa kiangazi.. BTW bado ubingwa upo mikononi mwetu.. Bora ufungwe zeni ushinde kuliko sare mbili...
Usiku mwema guys
Ynwa..
Kwani Allison ana clean sheet ngapi😂😂😂😂Wana Liverpool wenzangu,hamna haja ya kuanza kutukana wachezaji,kucheza chini ya kiwango ni kawaida kwa mchezaji!
Alison will bounce back,atajirekebisha atatupa tena clean sheets
Waache Liverpool’s Pep waendelee kutukana wachezaji,sisi Liverpool halisi tuendeleze umoja wetu
Muda hubadilika usiseme mbaya wetu ni man city na tukiendelea na ujuaji aseno anatubonda na sitoshituka...Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..
Kushinda EPL lazima kila fursa itumike vyema sio kama sisi tunavyokwenda
YNWA
Timu yangu mbovu inaongoza ligi...Sasa litimu lako libovu ndo maana unaifuatilia zaidi Liverpool...
Leo mmepanua mapaja vizuri... West ham hawajapata shida kuwabikiri...[emoji23][emoji23][emoji23]tulia k wewe