Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Full Time West Ham United 3
Liverpool 4


What a came back. Sisi tunajua kikosi chetu bhana leo ushindi lazima. West ham wanatusumbua tu wanapokuja anfield ila kule kwao tunashinda kirahisi tu.


Mlicheka sana sare ya chelsea. Sasa sikui mtasemaje hata sare ninyi hamjaambulia.
 
Manyang'ao wakubwa ....


Kuna kuku zilikuwa zimesha hesabu kuchukua epl na uefa kwa kikosi gani kudaddeki cha kuchukua ,.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


ifike hatua muwe na akiba za maneno kenge nyie ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tulivyojitapa wakasema tunaingia na matokeo yetu Cha ajabu na wao leo waliingia na matokeo Yao Kwa jinsi walivyojinasibu mixer kuchoma kuku ...mpk pale zouma alipowaumbua[emoji23]
 
Wanaume tuna majeruhi tumetowa draw na Burnley takataka munaacha kupanga timu lenu na hapo hamuna majeruhi munapakatwa vizuri tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ