Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Stress za kushindwa hazijamuacha salama.Huyo dogo hayupo vizuri kichwani.
Kumbuka aliwahi kumfanyia Wyne Rooney faulo ya kitoto kabisa kwenye michuano ya kombe la dunia 2006 wakati alikuwa team mate wake Man U
Dogo anapandisha mashambulizi vizuri lakini anachelewa kurudi kuzuia mashambulizi, hili tatizo ndilo lilimfanya kuachwa kikosi cha timu ya Taifa kilichoshiriki Kombe la Dunia.Huyu dogo nae sio wa kulaumiwa huu upande yupo Salah hana kawaida ya kusaidia lawama zaidi ziwe kwa kocha mifumo yake.sasa anapanga mawinga wawe viungo si kubahatisha huko
Ile foul angecheza mchezaji wa Liverpool Trust me ingekua kadi nyekudu bila ubishi...
Refa alikua a bit soft na hawa jamaa wa Stretford ile mechi...
Japo siku hizi Manchester United have lost the edge kua na favour ya marefa lakini enzi ya Fergie hata ile ya Pogba ungeshangaa njano...
Hata hivyo hatuna noma sana ushindi ule ulifuta yote...
Japo mwisho wa msimu kama tutaukosa ubingwa kwa hizi sare na hizi timu za huku chini basi na ule ushindi utakua irrelevant kwetu..
Huwezi kuwa na historia ya kuchomolewa magoli kama hivi dhidi ya Brentford na hawa Brighton na kujihesabu unatafuta ushindi wa EPL hilo tusahau kabisa...
Tuna mechi bado na Westham, Everton, Southmpton na Leicester sasa unajiuliza kwa hawa nako tunadrop pointi...
Matip na udhaifu wake wote ni bora kuliko Konate na tukumbaliane Matip makes VVD better...
YNWA
Your wish would be granted... Its my pleasure...Nimeshangaa Sana chuki za wazi za cr7 dhidi ya Salah,na bado akaachwa!
Mkuu naomba utakuwa unanitag huku kila tukiwa na mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi anapenda kutengeneza headlines kila wakati.Stress za kushindwa hazijamuacha salama.
Naona amekuwa depressed baada ya kuona ana jina kubwa na yupo ndani ya mechi na timu lao limefungwa goli 5.
Hovyo kabisa.. Yaani alinikera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ladder wewe tuko pamoja humu tangu long time... Ipo hivi ndugu na unajua vyema solid defence will give you trophies huo ndio ukweli any day of the week...Mkuu mpaka saizi tuko sehemu tu Nzuri yakuchukua ubingwa.
Hizo timu zingine zitakuwa rahisi tu ikiwa wachezaji wakutegemewa watakwepo wote bila hivyo zitakuwa ngumu ndio hicho tu.
Chelsea kuongoza point 3 mbele yetu sio kuanza kukata taa kwamba Chelsea anachukua ubingwa.
Arsenal na Man U leo hii wako na point sawa na wakati watu walikuwa wanasema Man U wanachukua ubingwa sasa wewe bingwa tena uko point sawa na Arsenal.
Kwa upande wangu bingwa na top 4 yote naipata Baada ya mechi 19(mzunguko wa kwanza kuisha)
Mara nyingi table inabaki hivyo hivyo ilivyo Baada ya mechi 19.
Ukiona Baada ya 19 timu iko ndani ya top 4 hiyo timu lazima itamaliza ndani ya top 4.
Bobby kachoshwa na viungo? Hapana aisee. Jamaa anakipaji ila ni mzembe. Kapoteza mipira mingi sana katika mechi ya leo na pia ni muoga kupambania mipira.Ajabu sana Boby anachoshwa na viungo wetu sana tena
Ugenini i must say they deserve 3 points today...Brighton deserve the point
Yaaani ningekua na bet zile za mwanzo wa ligi ningeambulia zirooo... Nilijua jamaa atakua wa kwanza kutimuliwa aisee lakini Palace kaiweka sawa sanaa aisee...Patrick Viera ni kocha
Hao watu wanatuogopa sana asee. Yani huwa wanavamia uzi wetu kama nzi.Rent Boys wakimaliza mechi yao hukimbilia kuja hapa?
You know why? Fanya Comparison kati ya Uzi wa Rent Boys na huu wa Liverpool.
Fanya Comparison kati ya Ukubwa wa Liverpool na Rent Boys.
Utajua kwanini wanaishia kuja hapa.
Mzee labda huwa huangalii league ila Brighton usiwachukulie poa kiasi hicho. Nadhani sisi tuahukuru hata kupata point moja. Hao jamaa ni wakali.Jamani eeee tuwasindikizeni tu Chelsea na man city kwenye ubingwa hatuna kitu hapo, yaani hizi team ndigo ndogo tunadraw tunaenda kutana na Westham away unafikiri nini kitatokea? Kwa low performance hii mimi nime give up.
Kwa sababu nyie mko ovyo ndo maana tunakuja.Rent Boys wakimaliza mechi yao hukimbilia kuja hapa?
You know why? Fanya Comparison kati ya Uzi wa Rent Boys na huu wa Liverpool.
Fanya Comparison kati ya Ukubwa wa Liverpool na Rent Boys.
Utajua kwanini wanaishia kuja hapa.
Tuwaogope nyie wakati mpo ovyo kiasi hicho?angalia kama leoHao watu wanatuogopa sana asee. Yani huwa wanavamia uzi wetu kama nzi.
Yaaani ningekua na bet zile za mwanzo wa ligi ningeambulia zirooo... Nilijua jamaa atakua wa kwanza kutimuliwa aisee lakini Palace kaiweka sawa sanaa aisee...
YNWA
Jamani eeee tuwasindikizeni tu Chelsea na man city kwenye ubingwa hatuna kitu hapo, yaani hizi team ndigo ndogo tunadraw tunaenda kutana na Westham away unafikiri nini kitatokea? Kwa low performance hii mimi nime give up.
Simple analysis
Ni aidha hawa wachezaji wa kati hawafuata maelekezo ya waalimu au vichwa maji...
Inajulikana vyema bila Fabinho kuwepo kikosini basi ku defence inakua ni unit yaaani kuanzia Salah, Keita, TAA hivyo inakua pale TAA/Robertson anashambulia basi MF upande ule anakua anacheza kama DMF meaning anakua half MF half RB/LB..
Hii kazi Gini alikua anaifanya kwa umakini mkubwa sana upande wa Robertson lakini huku kwa TAA hakujapata jawabu kwa muda nrefu sanaaaa... Gini hata assist na magoli yake yalikua ya kubahatisha kwa sababu ilikua sio kazi yake...
Sasa tuna ma MF wanaodhani kazi zote wanazimudu wakati uwezo wao mdogo sanaaa yaaani..
Klopp ana kibarua kigumu sana maaana huwezi kucheza mechi zote kwa ile intensity ya gemu ya pale Trafford ukiwa na kikosi finyuuu hivyo ndugu zangu tutarajia along the road tutakua na siku kama hizi kibaruani...
YNWA
Aisee.. Mkuu Gomez huyu huyu ama mwingine na kwa 4 3 3... Hili hapana tuedelee na TAA... Ukiwa na muda tazama kwa nini Klopp anatumia 4 3 3 ya dynamic RB na LB hilo ni sababu ya Robertson na TAA kwa vile anajua hana creativity pale kati... Gomez japo anacheza RB sidhani hata kama ana assist 5 au goli 5 pale Liverpool tangu Klopp atue..Tatizo lipo wazi mkuu, udhaifu TAA kuzuia mashambulizi unaendelea kuiumiza timu. Klopp anapaswa abadilike, aidha ambalishie namba ama ampige benchi nafasi yake ichukuliwe na Joe Gomez.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao bado hawajui mpira Aisee.halafu wanakuja na hoja za kitoto sana.
Yaani wao kuongoza ligi hata kama ndio mechi ya kwanza tu wameshinda wanajiona Tayari wamechukua ubingwa wanafurahia mpaka unashaa hawa ndio mara ya kwanza kushinda au kuongoza ligi.?