OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Kwani Kepa anaweza kosa namba mbele ya Allison?Leo hii ndo una kuja na maneno ya mkosaji.....
Mlipo lisajili sim tank so ulisema hakuna ataye funga Kama yeyeee....Sasa mmegundua Kama mlipigwa unakuja na maneno ya kipuuzi et ooo hatutegemei mchezaji mmoja .....
Kwan team gan inategemeà mchezaji mmoja?
Kila team Ina key players....ambaye anakua Bora kuliko wengine so akikosekana lazima mashabiki muwe na wasiwasi.....
Mkoseni mend mumuweke kepa...uone Kama utakua na confidence fala wewe
Jumla ya draw mlizopata mumepoteza point 10+ hamjafungwa ila mumedrop point nyingi tu.Very stupid comment
City aliwapiga, akapigwa na totts, na nyie mkampiga totts… huwezi kujua hayo because tayari uko ‘locco’
Btw, Liverpool ndiyo team pekee ambayo haijapoteza mechi epl
Kiboko ya mabishoo
Upepo hata nyie na huo huo tena wa kusurisuri.....Hahaha unachekesha mkuu ..kwa Sasa Muna upepo tu unawanyookea ..mukipata injury tu mutapoteana, ombeni musipate injury
Sio kwamba hamtegemei mtu, ishu ni simtank mmegundua ni mtumishi hewaMkuu hii Liverpool bila Salaha kwa sasa ni takataka tu ..siku klopp asimpange uyu muarabu muone mtakavyo hangaika. Umejifunza Nini kwa Chelsea? Sisi hatutegemei michezaji mmoja tu kutafuta ushindi.
Timu namba moja Kwa sasa barani ulaya ni ChelseaView attachment 1987482
Tumewapiga manyumbu bao tano kimasihara...[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mnajikuta kina nani sijui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo haimaanishi mko Bora zaidi ya Chelsea.Liverpool 21 matches still unbeaten mashindano yote.
Hivi unakumbuka mara ya mwisho Liverpool kufungwa ni lini?
Hili jamaa huwa linaropoka tu, alafu ukiuliza swali linaenda nje ya maada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo takatakaa ...nimekuambia angalia numbers za magori kwa Salah jota boby na mane keita Jones ...fananisha na wachezaji wenu fala ww....
Salah ana magor meng lakin hafungi peke yake kiazi wewe