Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kanoute ndo keshampokonya namba Matip?
Keita ndo first time team of the weak sio?

Hapana mkuu Bado mkuu ,pia klopp hayupo uko kwenye kupokonyana namba. Yeye anapanga kikosi kulingana Na mpinzani wake na waliofanya vizuri kwenye mazoezi.

Ndio itakuwa hivyo first time huyo jamaa.

Hiyo team of the week ni ya Alan shearer sio ya Epl .
 
Hii thamani yake haina tofauti na ya Mason Mount kijana mdogo tu.

Hapa tukiweka pembeni uingereza sjui nini ..je Mount na Salah wakiwekwa sokoni bei zao zitakuwa sawa? Nani atamzidi mwingine?
Sasahivi hakuna wa kumzidi salah kwa bei huko sokoni, mmbape na umri wake mdogo lakini atauzwa bei pungufu kwa salah
 
Winter break ilianza last season kama unakumbuka EPL winter break yao sio timu zote zinapumzika kwa wakati mmoja zimegawanya timu 10 zinapumzika week end ya kwanza zen nyengine wek end inayofuata
Bwana wee hata nakumbuka kama ndio Winter aisee...

YNWA
 
Chelsea isiposhuka mtafanya nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…