Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wana wa Liverpool
Tuzidi kushikamana,umoja wetu ndiyo ushindi wetu!
Klopp anatupa taji kubwa tena msimu huu
Mataji yote makubwa yataenda London na kwingineko uko ..hii Liverpool kwa sasa pambanieni carabao cup.
 
Kitu kimoja kilichosahaulika ni kwamba katika Michezo Miwili iliyopita pale OT tumefunga Magoli 9.

Mungu mpe maisha marefu Ole pale Manchester
Wewe mechi mbili unampiga goli Tisa wakati arsenal mechi moja tu alibatizwa bao 8.
 
Jambo pekee la kushukuru ni kwamba mulikutana na Liverpool kipindi ambacho bado haijachanganya speed. Olewenu mungekutana nayo kipindi hichi maji mungeita mma.
Na sisi tukisema hivo hivo tutakuwa tunakosea? Maana tulicheza dakika 45 tukiwa pungufu na bado mkaambulia point moja tena kibao cha zawadi penati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…