Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa taarifa za media mazungumzo yameanza na agent wa Salah yuko Liverpool tunavyoongea kukutana na Salah na pia kwa ajili ya mazungumzo na klabu kuhusu mkataba mpya wa mshahara wa paundi laki 5 kwa wiki, Liverpool wanaweza kunegotiate hata 350k wale giants wa spain hawana pesa kwa sasa
 
Msimu uloisha walitia hofu kiasi cha kutamani wapate changamoto ya wenzao wapya tutegemee nini msimu huu kwa huu mwanzo wao?
So far so good. Naona ujio wa Jota umeleta ushindani sana. Bobby alishaanza ku relax nadhani baada ya kuona nafasi inaenda kwa Jota ameanza kukaza.

Hii italeta manufaa kwetu kwakuwa Jota nae sasa atashtuka kuwa kuna mtu anachukua namba yake nae atakaza. In the end ushindani wao utakuwa ni wa manufaa kwa team.
 
Na iwe hivyo makumbaliano yafikiwe asaini chap chap tunahitaji wachezaji walio bora EPL izidi kunoga..
Mendy wa Chelsea
Salah wa Liverpool
Fernado wa Manchester United
Kevin wa Manchester City
Son wa Spurs
Vardy wa Foxes
Saka wa Arsenal
Buedia wa Aston Villa nk nk

YNWA
 
Pep anakwambia anaecheza vyema na apangwe tu hakuna namna na kwa sasa Jota ajitazame kwenye umaliziaji hayupo clinical anakosa kosa nafasi nyingi sana aisee...

YNWA
 
Pep anakwambia anaecheza vyema na apangwe tu hakuna namna na kwa sasa Jota ajitazame kwenye umaliziaji hayupo clinical anakosa kosa nafasi nyingi sana aisee...

YNWA
Yes Jota anatakiwa kweli aongeze umakini kwenye kumalizia nafasi. Anakosa sana za wazi japo huwa anafunga nafasi ngumu zaidi na magoli ya muhimu.

I hope analifanyia kazi hilo.

So far kwenye team yetu tunahitaji tu reinforcements kwenye eneo la beki ya kulia na kiungo.
 
Swali, Liverpool mnauwezo wakulipa 500 Kwa week? maana ubahili mlionao siyo wa sayari hii.
Yaani sis hatuna uwezo wowote kwenye hio nambari inayotajwa 500k...kama kuna mahala aidha PSG, Bayern, Citizens nk wanaweza kumlipa hio ela basi hatuna namna aisee maana Salah anajua huu ndio mkataba wake wa mwisho anaosaini akiwa na umri unaompa bargaining power kiasi fulani.

YNWA
 
Yeah bila TAA hua tunapwaya kushambulia japo jana dogo Neco katoa assist moja murwa sanaaaaaa... Hopefully hio itampa building angle kujiamini zaidi na zaidi kwamba anaweza kua super sub anapohitajika..

Ki ufupi bila reinforcements zinaonekana wapi FSG wawekeza aisee hilo halina mjadala anahitajika AM mmoja wa ku open zile deep lying teams yaani hilo hatuweza kwepa kabisa.

Jota jana was taking notes hivyo huu ushindani wa namba mbona mazoezini atapambana kujiweka sawa kwenye kumalizia na ukizingatia kuna kombe la dunia mwakani hivyo wachezaji wengi wanahitaji kupata namba vikosi vya Taifa hivyo tutarajie mema kutoka kwake..

YNWA
 
Bwana wee naona na nyie jana mmekomaa kweli kweli.

Tunashukuru kwa kweli kila gemu sasa imekua mchakamchaka kwetu.

YNWA

Kabisa ila wale watoto siyo wa kuwaangalia ivi wanaweza kukutoa Rohoo[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Jana kuanzia dk ya 70 niliacha kunywa wine. Nikabaki kushika kichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nampongeza kijana Mendi na Cholobah hakika walifanya kazi nzuri pale nyuma.

Cholobah aliokoa goli la wazi mendy pia akasave goli kama sita ivi[emoji2957][emoji2957][emoji2957].

Zingekubali zote tungepigwa wiki kama mlivyopigwa na Aston Villa [emoji23][emoji23]
 
mc tominay, fred, , bissaka, magwaya ,shaw,martial, greenwood, matic, lindelof, lingard, sancho hawa hakuna hata mmoja anaweza pata namba first eleven man city au liverpool. Pogba Ronaldo hawa ni majina tuu wamebaki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bwana wee Mendy jana kaonyesha kwa nini anapata namba kua chagua la kwanza...

Ki ufupi nilijua zile dakika 20 za mwisho mnalala aisee maana hata ball possession dakika hizo walikua na zaidi ya asilimia 70...

Hizi Community Team hua raha sana yaaani wapo na timu yao mwanzo mwisho hivi ulitazama kocha wao mpaka anawafuata mashabiki huku wakiwa wamechezea aisee... Hii timu wapambane wabaki EPL inalatea utamu sana..

YNWA
 
Kuna jamaa yangu ni mshabiki wa man u lia lia amenitumia voice note jana ananiambia team ni kubwa kuliko kocha. Yani Man U wana wachezaji ila kocha hamna.
 
mc tominay, fred, , bissaka, magwaya ,shaw,martial, greenwood, matic, lindelof, lingard, sancho hawa hakuna hata mmoja anaweza pata namba first eleven man city au liverpool. Pogba Ronaldo hawa ni majina tuu wamebaki
Binafsi naona hapo Greenwood, Shaw, Sacho, Bissaka ni wachezaji wazuri ila sasa kupata uzuri wao kimatokeo kocha ajue namna ya kuwatumia...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…