Kwa Hindi beki yenu inavyoruhusu mabao kizembe ni ngumu Sana kwa nyie kuwa mabingwa. Labda itokee performance ya city na Chelsea imeshuka. Lakini ukiwa Hivi Hivi hata man u anaweza kukuacha nyuma
Kwa kweli kwa zama hizi tulizonazo hawa jamaa ni full rivalry yaaani ukizingatia kwenye mbio za ubingwa wao hua favourites kila msimu kuchukua EPL na UCL. Ni ili kudhibitisha hilo Pep hua anakomaa kwa Liverpool asitoke bila pointi.PREMIER LEAGUE WENYEWE WALIPOST WANATAMBUA HILI...!
PETER DRURY ANAKWAMBIA "LIVERPOOL vs CITY", The rivarly of our days...
Naona Premier league walimpa #Salah award ya "King Of The Match" inayodhaminiw n @Budfootball....following his individual performance and brilliant 2nd Goal, Goli la Kideo lile kiongoz!Kwa kweli kwa zama hizi tulizonazo hawa jamaa ni full rivalry yaaani ukizingatia kwenye mbio za ubingwa wao hua favourites kila msimu kuchukua EPL na UCL. Ni ili kudhibitisha hilo Pep hua anakomaa kwa Liverpool asitoke bila pointi.
Msimu huu naona tena tukikutana nao UCl hawa jamaa.
Peter Drury Hahahahaha huyu babu sio wa kawaida. Ana makeke sana, awesome literature na very poetic. Ni hazina kubwa sana kwa BT sport akitangaza EPL production.
YNWA
Lile goli sio la dunia hii aisee...made from Mars delivered by Salah hapa duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...Naona Premier league walimpa #Salah award ya "King Of The Match" inayodhaminiw n @Budfootball....following his individual performance and brilliant 2nd Goal, Goli la Kideo lile kiongoz!
View attachment 1965375
Imebidi nirudi tena youtubeLile goli sio la dunia hii aisee...made from Mars delivered by Salah hapa duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...
YNWA
Numbisa hakuliweka humu........sijui nini kimempata!!!!!Imebidi nirudi tena youtube
Ona huyu[emoji706][emoji1787]Nidhamu gani wakati Muna beki mbovu zinapitika kizembe. Saiv ndio tunajua Allison alikuwa Shati tu sema beki ndo ilimbeba
Huyo jamaa akishakula bhang zake ndo anakuja huku...msamehe bureOna huyu[emoji706][emoji1787]
"Mna beki mbovu zinapitika kizembe then Allison alikuwa shati beki ndio zilimbeba"
Huu si uchizi.. sasa AB anabebwa vipi wakati ushasema beki mbovu!
sitoshanga kama likiingia kwenye ushindani wa GOLI OF THE SEASON mwishoni mwa msimu huu EPL kama sio kuchukua kwenye category iyo linaweza shinda ile PUSKAS AWARD YA GOLI BORA aliyochukua Son VS Burnley msimu uliopita Kwenye FIFA THE BEST AWARDS 2020!Lile goli sio la dunia hii aisee...made from Mars delivered by Salah hapa duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...
YNWA
Mbona unaongea kama vile una kipande cha Kimba makalioni.Goli la Salah la kawaida ,mbona amefunga mengi ya hivo aisee ....
Mimi kila nikiangalia lile goli sioni maajabu yake ya kuanza kutengeneza drama na sanamu la Salah epl ...
Hizi habari ziishe tuu ,ni goli la kawaida sanaaa
😁😁😁😁Mbona unaongea kama vile una kipande cha Kimba makalioni.
Hahahaaa! Yaani wewe unajua kuliko Pep?Goli la Salah la kawaida ,mbona amefunga mengi ya hivo aisee ....
Mimi kila nikiangalia lile goli sioni maajabu yake ya kuanza kutengeneza drama na sanamu la Salah epl ...
Hizi habari ziishe tuu ,ni goli la kawaida sanaaa