Ilakiza Kibod
Member
- Aug 3, 2019
- 86
- 74
Mungetueleza kwamba golini mna magolikipa wawili....tungewaelewa.....Reece James na mend....Mwanamke ulilialia ili tupate kadi nyekundu maana ulihisi hiyo ndio njia yako kushinda.
Vipi ulishinda?
Haya tulipungua golini akabaki kipa mmoja... pressing ikaenda wapi?Mungetueleza kwamba golini mna magolikipa wawili....tungewaelewa.....Reece James na mend....
Mna daka mipira halafu mnataka huruma ya kutokupewa kadi.....
Kiufupi pressing ilizid mpaka mkaamua kudakaaa mpiraa
Nmekuambia weka first eleven yako Kisha sema atakayechukua Namba pale LiverHapa unaongelea ushabiki, ila unajua fika VVD na Salah tu wakikaa nje nini kitakukuta.
Tena huyo VVD anaweza kukaa Benchi maana moto wa Silver beki ya kati usikie tu... anacheza kama mtoto miaka 26Nmekuambia weka first eleven yako Kisha sema atakayechukua Namba pale Liver
Lile furushi li nguruwe sijui kule mbele huwa lipo kwaajili ya kutisha wachezaji tunlili? Wangemsajili hata Adama Traore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi sio kituo Cha kupaki mabasi.....tuna uhakika na forward zetu .....sio nyie...masajir mapipa tena kwa hela kibao halafu halifung
Mane ana consistency mkuu? Naomba unijibu kwanza hilo.Kama unatembelea historia sawa! Lakini kama unaangalia Current situation basi sasahivi Matip amekuwa wa kawaida! Siangalii watu wanamuonaje bali naangalia makosa yanayopelekea tunafungwa magoli ya ovyo. Kumbuka Matip ni CB.
Kuhusu Jota sitoweza kusema ni Mbovu lakini bado hajawa mchezaji wa Kumueka group la kina Mane, nampa muda approve hilo! Na moja ya Vigezo ninavyomuangalia ni Consistency, Kwa sasa Jota hana Consistency ndiyomana unaweza kumuona anafunga mechi 3 mfululizo then anapotea mpaka tunaulizana.
Hivyo Jota approve Consistency kwanza ndiyo tumuhesabu katika ule Utatu mtakatifu wa MANE-JOTA-SALA.
Kwahiyo mane, vvd, salah, allison, arnold andy hawa hawaanzi chelsea? Utakuwa umerogwa weweOna hii kunguni... Zaidi ya Nusu ya wachezaji wa chelsea wanaingia kwenye kikosi cha Liver kuku.
Kwani siku ile mlikuwa na magolikipa wangapi? Hivi lile pipa kule mbele ukitoa chelsea linaweza pata namba timu ipi nyingine?Mwanamke ulilialia ili tupate kadi nyekundu maana ulihisi hiyo ndio njia yako kushinda.
Vipi ulishinda?
Et kumsaidia Milly shida zote zile wakati uwezo hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Its simpo ndugu upande wa Milner alisimama Salah na Henderson. Sasa defending inakua most likely ni Henderson afanye msaada kwa Milner huku pia kama inalazimu na Salah asaidie. Ishu jana Henderson gemu ilimkataa na kumsababishia babu Milly shinda zote zile.
Ukitazama upande wa kushoto Jones alimsaidia sana Robertson offensive na baada ya Manchester City kuona vile wakaamua sasa mashambulizi yao yapitie kwa Milner huku pia wakimtafutia kadi ya njano ya pili [emoji23][emoji23][emoji23]and Pep was damn furious kwa mara ya kwanza nimemuona akitgemea tuwepungufu ili apambane apate ushindi aisee..kwa Klopp ni levo zingine kabisa.
VVD duh huyu mwamba ile injury must have scared the boy kiasi mpaka sasa ule usolid wake pale nyuma sio kama zamani. Let's be positive atakaa sawa na uzuri he make the others better and better..
YNWA
Time will tell sijui utaificha wapi sura yakoKuku kama wewe ulishindwa kumng'oa ukiwa nyumba kwako tena Chelsea wakiwa pungufu unategemea nani atamng'oa pale juu,bila shaka jamaa ataendelea kupigwa na barafu pale kileleni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] et kikuuSalah goli 6
Mane goli 4
Jota goli 3
Haya lete takwimuu ya forward zenu za kuagiza Kikuuu....
Hili jamaa linahoja za kitoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwani hiyo UEFa umeshawahi ibeba peke yako? Watu walichukua league na hiyo UEFA at the same time lakini hawajitapi kama ww.Uwanja ni mdudu gani?
Mabingwa wa Ulaya 2020/2021 tunatoka mbele Wanaume, sasa jipitishe na kanga yako 1 uone utavyogombaniwa kwa mabanzi kama mpira wa kona.
Chelsea ni timu kubwa sababu inakaa pa1 na Wanaume waliowahi kubeba makombe ya Ulaya ikiwemo na UEFA SUPER CUP.
Kama hujui chochote kaa kimya.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kwamba hiyo takataka yenu allison imuweke benchi Mendy...Kwahiyo mane, vvd, salah, allison, arnold andy hawa hawaanzi chelsea? Utakuwa umerogwa wewe
Hv ni msimu gani Liverpool ilibeba UEFA na LEAGUE?Uwanja ni mdudu gani?
Mabingwa wa Ulaya 2020/2021 tunatoka mbele Wanaume, sasa jipitishe na kanga yako 1 uone utavyogombaniwa kwa mabanzi kama mpira wa kona.
Chelsea ni timu kubwa sababu inakaa pa1 na Wanaume waliowahi kubeba makombe ya Ulaya ikiwemo na UEFA SUPER CUP.
Kama hujui chochote kaa kimya.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Vp siku mnacheza na man city alikuwepo Au alikuwa injury?Tena huyo VVD anaweza kukaa Benchi maana moto wa Silver beki ya kati usikie tu... anacheza kama mtoto miaka 26
Alukuwepo... Ila kama angecheza VVD tungetobolewa siyo chini ya 3Vp siku mnacheza na man city alikuwepo Au alikuwa injury?
Hii kima haijui chochoteeeAlukuwepo... Ila kama angecheza VVD tungetobolewa siyo chini ya 3
Huna beki wewe.... ndio maana umeshatoboka goal 6... Hili nalo linahitaji akili ya PHD?Hii kima haijui chochoteee