Ilakiza Kibod
Member
- Aug 3, 2019
- 86
- 74
Chelsea haina tofaut na dem Malaya ambaye akikutana na bwana mpya anajidai kukaza anabana mapajaa mwisho wa siku anaachiaaa....Chelseafc wana utu sana,hakunakitu kinacho uma kama kufungwa final ya Euefa,kama Chelsea aliweza kumfunga city mara3 mfululizo unadhani angeshindwa kumfunga tena kwenye epl tena nyumbani,alichofanya Chelsea alimwachia makusudi city ilikumfariji Kwa machungu aliyoyapata,sometime kwenye soka lazima tuwewaungwana usipende kuona mwenzako analia kila siku kwaajili yako.
Ndio maana hamwez kuaa,....hamna level hizoSisi tungekuwa kwenye position ya city tungebeba makombe yote....
Pep mwenyewe alishawahi ku admit kuwa Liverpool ndio team ngumu kabisa aliyowahi kukutana nayo.Its simpo ndugu upande wa Milner alisimama Salah na Henderson. Sasa defending inakua most likely ni Henderson afanye msaada kwa Milner huku pia kama inalazimu na Salah asaidie. Ishu jana Henderson gemu ilimkataa na kumsababishia babu Milly shinda zote zile.
Ukitazama upande wa kushoto Jones alimsaidia sana Robertson offensive na baada ya Manchester City kuona vile wakaamua sasa mashambulizi yao yapitie kwa Milner huku pia wakimtafutia kadi ya njano ya pili 😂😂😂and Pep was damn furious kwa mara ya kwanza nimemuona akitgemea tuwepungufu ili apambane apate ushindi aisee..kwa Klopp ni levo zingine kabisa.
VVD duh huyu mwamba ile injury must have scared the boy kiasi mpaka sasa ule usolid wake pale nyuma sio kama zamani. Let's be positive atakaa sawa na uzuri he make the others better and better..
YNWA
Mna goli ngapi za kufungwa Hadi Sasa? Nyie mnapachikwa mabao kizembe Sana.Salah goli 6
Mane goli 4
Jota goli 3
Haya lete takwimuu ya forward zenu za kuagiza Kikuuu....
Hatari ya Chelsea kila mchezaji ni mfungaji, kwa msimu huu tu wachezaji 14 wameshafunga magoli, leteni idadi ya wachezaji wenu waliofunga magoli kama hata wanafika 5Salah goli 6
Mane goli 4
Jota goli 3
Haya lete takwimuu ya forward zenu za kuagiza Kikuuu....
Man City went to Anfield and got a single point. Chelsea did it with 10 menTungedraw na Manure ningelalamika kama nilivyolalamika tulivyodraw na Chelsea kwasababu ni Timu za kawaida tu
Jana Pep alichanganyikiwaPep akikutana na wanaojua huwa ana touchline antics kama Mourinho [emoji23][emoji23]
View attachment 1962366
Mkuu unamkosea saaana heshima Matip pamoja na Jota.
"If claims are not supported by proof, they are used only by the fools as evidence"
Man City went to Anfield and got a single point. Chelsea did it with 10 men
Tuchel does not get the credit and respect he deserves
Yaan huu uzi wetu wamejaa mashabiki wa timu nyingine hasa chelsea...wanatuogopa sana
Uwanja ni mdudu gani?Ndiyo njia pekee wanayoitumia kuipa Promo Timu yao! Si unajua Timu ambayo hata Uwanja na Jina haina bali imekodi inalazimisha kuitwa Timu kubwa hivyo njia pekee iliyobaki ni kupita Majukwaa ya Liverpool na Man United ambako ndiko wataweza kuonekana na Mashabiki wa Timu kubwa.
Hii timu inajifia taratibu, angalia hata washabiki haina, wako akina Ngwaba tu hapa uswazi wanapiga porojoNdiyo njia pekee wanayoitumia kuipa Promo Timu yao! Si unajua Timu ambayo hata Uwanja na Jina haina bali imekodi inalazimisha kuitwa Timu kubwa hivyo njia pekee iliyobaki ni kupita Majukwaa ya Liverpool na Man United ambako ndiko wataweza kuonekana na Mashabiki wa Timu kubwa.
Hivi Salah mnamlipa Shs ngapi kwa wiki? au wanaume tuje kumbeba tumlipe mshahara anaoutaka!
Tuiogope Timu mbovu ambayo inafungika kiurahisi hakuna wa kuizuia Chelsea msimu huu.Yaan huu uzi wetu wamejaa mashabiki wa timu nyingine hasa chelsea...wanatuogopa sana