Tukiweka kikosi Cha Chelsea na liverkuku hapa mezani ..wachezaji wa liverkuku watakaoanza hawazidi watano.
Allison sub ya Mendy.
Vvd sub ya Silva.
Fabihno sub ya Joghihno
Salah ataanza.
Mane sub Werner.
Kwa ufupi liverkuku kwa Sasa hamuna kikosi Cha kusimama mbele ya Chelsea.
Chelsea tuna wachezaji wenye na uwezo wa kuanza moja kwa moja kweye timu yenu ..
Odoi ataingia moja kwa moja.
Barkley ataingia moja kwa moja.
Ziyech ataingia moja kwa moja.
Tammy angeingia moja kwa moja.
Tomori na yeye hivyo hivyo.
Ruben ataingia moja kwa moja.
Ninyi Muna kikosi Cha Kwanza tu ambacho Hadi January kitakuwa kimechoka maana Kila game ndio hicho hicho.
Kwa hivi vigezo imebidi nicheke, ukitoa idadi ya magoli una statistics za ile mechi? Southampton tulimfunga goli tatu akiwa kamili ila wewe ulishindwa kumfunga akiwa kamili sasa tusemeje? Wewe umempiga spurs, spurs kampiga city na city kakupiga wewe je nani mkali?Timu yenu tunakataa kuwa ni nzuri kwa sababu mlishindwa kutufunga tukiwa pungufu, Hapo tu...
Kama ingekuwa kinyume chake yaani nyie ndo muwe na red card mngeona tungewafanya nn?
Round ya kwanza iliisha ngapingapi?Hao hao wa kina Werner msimu uliopita round ya pili walikubonda. Au ulikuwa hujazaliwa?
Unafatilia epl bro? Au unaifatilia chelsea tu?Kwani ninyi kuku mnasemaje? Ninyi ni kuku tu ..munawezq kuipiga South Hampton bao tatu?
Kama ulivyoliwa wewe sio?Ngoja wewe uliwe Leo mapema takataka
PSG ndio mlipoishiaTulipoishia ....!View attachment 1961031
You will never walk aloneCome on you REDS.
Et network leo imegoma kabisa nisiitazame hii mechi.tunaombeni link jamaan