Lini uliona nashabikia wale wavimba majo wa darajan,nakuheshimu Sana mkuu..
Tengua kauli haraka Sana ,mimi ni shabiki wa Chelsea ????? Unaakili kweliiii ???? ,yaani mimi na akili zangu timamu nishabikie Chelsea ?????,...
Jiaangalie aiseee tutaumizana ,sipendagi ujinga kabisa mimi ,ikiwezekana hata mahakamani tutafika ....yaani mimi ni shabiki wa Chelsea ????????????
Kudadedekii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiiii, kwani hakuna marudiano huko ETIHAD? Nazungumzia kwamba kama mnajipa hope kuwafunga PSG watakapokuja ETIHAD mtapoteana siku hiyo, amekugonga kwake na atakufuata na geto kwako kukugonga. Nyambaaaf
Kwamba jamaa atandike tu mashuka ya maua maua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiiii, kwani hakuna marudiano huko ETIHAD? Nazungumzia kwamba kama mnajipa hope kuwafunga PSG watakapokuja ETIHAD mtapoteana siku hiyo, amekugonga kwake na atakufuata na geto kwako kukugonga. Nyambaaaf
Vibibi vya Turin vimeamua kupaki train ,TT anagalagala tu njian haoni pakupita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea huko vipi tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]Vibibi vya Turin vimeamua kupaki train ,TT anagalagala tu njian haoni pakupita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Opinion yako tu mkuuOrigi hakuwahi kuwa Mchezaji tokea siku ya mwanzo kusainiwa, sema tu alibahatika kusajiliwa kipindi ambacho tunasaini wachezaji kwa Mafungu yani Watatu kwa Buku.
Kuhusu Milner kwa sasa hana chochote cha maana anachoweza kutofaa.
Niishie hapo.
Naona maamuma katulia sasaCity hana pa kutokea labda alazimishe draw kitu ambacho akiwezekani mkuu.
Mpaka sasa tunaongoza 2 bila
CFC
Opinion yako tu mkuu
defensively TAA hamfikii Milner kwa umri wa Milner na Taa huyu huyu.
Milner ni kijana mzee hasa akipiga RB.
Game vs Madrid Anfield alipotolewa zizou ndipo akawapumzisha Kroos na Modric.
Kwa ufinyu wa kikosi Milner muhimu sana.
Vibibi vya Turin vimeamua kupaki train ,TT anagalagala tu njian haoni pakupita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado Chelsea ni timu nzuri. Unless kama unaangalia mpira live score.Lile Simtank la Chelsea haimalizi December wataanza kulikataa! Lilianza kwa kubahatisha mechi 2 wakaanza tafrani kila wakati Lukaku kumbe wamepigwa.
Sasa zile Stori za kubeba Makombe yote zimeisha
Mkuu milner akatafute changamoto gani tena? Huyo babu astafu tu.Ningefurahi sana iwapo Klopp ataondosha Mrundikano wa useless players next season. Hawa kina:
1) Origi
2) OX
3) Keita
4) Milner
5) Adrian
Watolewe tu wakatafute Changamoto mpya