choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
Tatizo la beki bado sijajua ni la kimfumo ama makosa binafsi, ukiangalia trend ya mechi tatu , vs milan zinaingia goli 2 ndani ya dakika 2, vs Cpalace beki ilikatika mno sema tuu palace hawakua clinical wangepata hata goli 2, mechi ya jana tuu tumeokoa kwenye line mapema kabisa, tukishambuliwa inakua hatari sana, kama sio Allison jana ilikua ni 4-3, kwa staili hiiya uchezaji nina wasiwasi mechi na CityNa ndiyo hapa wengi wanapochanganyikiwa na matokeo ya jana.
Wanaangalia udhaifu wa Liverpool bila ya kuangalia Ubora wa Brentford.
Wewe takataka tulia sisi bado ni bora kuliko nyie ..ndio maana hamuamini ushindi wetu wa kifala ..subiri next round utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23]league ngumu ,man utd hawajui la kufanya wanatoa macho Kama mjusi alibanwa kwenywe mlango....
Chelsea wamepunguza mdomo ,walifikili watakuwa unbeaten ...
Mimi level zangu kwa sasa ni buyern Munich tu ...Wewe takataka tulia sisi bado ni bora kuliko nyie ..ndio maana hamuamini ushindi wetu wa kifala ..subiri next round utajua hujui
CFC
😂😂😂😂😂😂Mtoto pendwa wa Klopp yule ana kibali cha kucheza popote mpaka golini...Klopp changed the shape to get Hendo/Fabinho in front of the CB’s to collect those second balls and I was still seeing Henderson bursting past Salah when we already had 4 attackers on the pitch. Such a brainless performance all round.
Unamjua anayekuongoza kwenye Leage lakini? Mechi 6, mnaishia kusema tu tutapoteana , mnashangaa ndoo ikienda Anfield hivi hivi na pancha zetu.Ninyi matakataka munashindwa kuifunga timu iliyopanda daraja ..saivi VVD ni uchochoro hamuna beki mule Allison ndo shati kabisa ..sioni Liverpool ikileta ushindani wowote kwenye hii ligi ..sisi bado ni mabingwa tu ..hii Liverpool inafungika kezembe na kirahisi munoo msimu huu mtajitutumua na kuishia top four tu ila makombe sahauni.
CFC
Unakikosi gani Bora unacho jivunia ....unapaki bus muda wote mpira hata hauvutiiii.....Wewe takataka tulia sisi bado ni bora kuliko nyie ..ndio maana hamuamini ushindi wetu wa kifala ..subiri next round utajua hujui
CFC
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Rent Boys baada ya kufukuliwa Darajani na Man City sasahivi wanajifariji kwa kusema eti next week Brighton ndiye atakayeongoza Ligi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakikosi gani Bora unacho jivunia ....unapaki bus muda wote mpira hata hauvutiiii.....
Na hilo power trailer lako li Lukaku.,..ambalo skills zake Ni zakizamani mabeki wameligundua....na ndo Hilo mnategemea lifungeee....
Mtaishia kupak bus ivo ivo
Haya matatizo ni ya kiufundi wala si kulaumu wachezaji.We can't be defending like this.. Soft goals we are conceding...
Upande ule ule wa Trent as usual the weak side to harm us.
Na tukipata nafasi za kufunga hatupo clinical na tatizo sana hili.
YNWA
Ndoo ya chooni Labda[emoji23]...mkuu ndo Kwa defense IleUnamjua anayekuongoza kwenye Leage lakini? Mechi 6, mnaishia kusema tu tutapoteana , mnashangaa ndoo ikienda Anfield hivi hivi na pancha zetu.
Unamjua anayekuongoza kwenye Leage lakini? Mechi 6, mnaishia kusema tu tutapoteana , mnashangaa ndoo ikienda Anfield hivi hivi na pancha zetu.
Kubeba kombe kutategemeana na uwezo wa kikosi chenu kilivyo. Sisi tunapaki basi tunashinda mechi tano tunafungwa moja. Wewe na timu iliyopanda darajani unaruhusu magoli matatu vyavuni ..una defense mbovu. Kubali, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kama salah unaibeba hii timu.Unamjua anayekuongoza kwenye Leage lakini? Mechi 6, mnaishia kusema tu tutapoteana , mnashangaa ndoo ikienda Anfield hivi hivi na pancha zetu.
Yan hawa kuku Jana wangetumia faida ya Chelsea na manure kufungwa na wao wangeshinda lakini kwa sababu ni makuku ya kisasa yameshindwa kupambana. HahahahahaNdoo ya chooni Labda[emoji23]...mkuu ndo Kwa defense Ile
Powaa Mkuu.Haya matatizo ni ya kiufundi wala si kulaumu wachezaji.
Hawa Bldfod ni wachezaji wa bei nafuu lakinu mbinu za kocha kubadili mchezo zinawapa matokeo
James Tarkowski kwenda Burnley
Ezri Konsa kwenda Aston Villa
Neal Maupay kwenda Brighton
Ollie Watkins kwenda Aston Villa
Benrahma kwenda Westham.
Bwana Ilakiza ngoja nikudokeze kidogo ..sisi ni machampion wa Ulaya na dunia kwa ujumla. Hivyo usifananishe kikosi cha kimataifa na ninyi underdog ..huu msimu mabingwa tushajulikana kitambo kabla hara ligi ijaanza. Ninyi ni wa level ya chini sana kikosi chenu hakuna tena ule ubora wa mwanzo. Undeni timu kisha muje mushindane na wababe wa dunia.Unakikosi gani Bora unacho jivunia ....unapaki bus muda wote mpira hata hauvutiiii.....
Na hilo power trailer lako li Lukaku.,..ambalo skills zake Ni zakizamani mabeki wameligundua....na ndo Hilo mnategemea lifungeee....
Mtaishia kupak bus ivo ivo