Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Huku kama kawa gif zinatua aisee...Hahahaha siku hizi Numbisa haposti magoli matamu kama ya chelsea ..magoli Yale unaeza yamezea na ugali kabisa. Salah ana mengi ya kujifunza kwa Lukaku the Great
Tunaomba msamaha urudi tenaNazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.
Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Hii point yako ni ukweli kwa asilimia zote. Kule kuna utoto sana.Ule uzi we ze blauzi umejaa watoto wa juzi usijisumbuwe nao
Mkuu kwenye mpira hakuna chuki wa kudumu. Mpira ni burudani sema tu mashabiki wengi wana chuki binafsi na timu ya Chelsea. [emoji23][emoji23]Hii point yako ni ukweli kwa asilimia zote. Kule kuna utoto sana.
Mkuu acha visasi rudi tuletee burudani. Acha chuki isiyo kuwa na tija[emoji3][emoji3][emoji3]Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.
Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Mkuu acha visasi rudi tuletee burudani. Acha chuki isiyo kuwa na tija[emoji3][emoji3][emoji3]
Mpira burudani si chuki ya kudumu. Chelsea one love for reva
Zamani alikuwepo mmoja wa Chelsea akiitwa Ntuzu, sijui alipotelea wapi aisee.[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa kukelaaa ,bila hawa Uzi hautembei
Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.
Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.
Uzi hule umeejaa
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.
- Fools
- Rude boys
- Undisciplined boys
- Wretched Boys
- Immature boys
- Ignorant boys
Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
Zamani alikuwepo mmoja wa Chelsea akiitwa Ntuzu, sijui alipotelea wapi aisee.
Hilo goli lingeimaliza hii game kabisa aisee, kama angepata.Kwa mara ya kwanza Salah kumuona akikosa pelnaty
Kuna possibility yakupigwa homeHilo goli lingeimaliza hii game kabisa aisee, kama angepata.