Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Robert firmino now ni injury tunaanza kupata injury mapema hv what do we expect?
 
Liverpool Champions League Squad.

Goalkeepers: Alisson, Kelleher, Adrian

Defenders: Van Dijk, Matip, Gomez, Konate, Alexander-Arnold, Robertson, Tsimikas, Phillips

Midfielders: Henderson, Fabinho, Thiago, Milner, Keita, Oxlade-Chamberlain, Elliott

Forwards: Salah, Mane, Firmino, Jota, Minamino, Origi

Likely List B: Jones, N. Williams, Beck, Koumetio

YNWA
Tunakikosi kipana
 
Huku hakuna maji ya bei rahisi wewe ..rudi kwenu huko kanywe maji ya kisima.

Yani Mtu akiangalia Posts zako wala habishi kuwa unakaa Arusha.
Kila Mtu anavuta Bange kwenye Jiji la Wavuta Bange halafu wewe sijui kama si yule nileyemuona jana XO anakung'uta Demu (Kahaba) bararani huku Demu anavuta Bange.
 
Kwa mapato yapi?
PSX_20210905_183353.jpg
 
Kazi aliokua anifanya kipindi hamna viungo asaivi keshakua shit?. Ndokwanzaa mechi ya pili hii.

Alichokuwa anakifanya kilikuwa ni kazi yake na alikuwa akilipwa kwa hicho na wala haikuwa akifanya kwa Hisani. Hivyo hatuwezi kumtukuza aliyoyafanya kama kwamba ulikuwa ni Msaada au Hisani yake tu wakati ilikuwa ni kazi yake anayolipwa.

Kuhusu Kuwa ndiyo kwanza mechi 2 hiyo ni kauli yenu ya kila Msimu lakini ukweli ni kwamba tokea Msimu mzima uliopita tulilalamika kuwa Firmino hamna kitu tena.

Yes He's a shit wala sijutii kusema hilo.
Even Sadio Mane ukiniuliza muda huu nitakwambia He's a Shit! Any question?

Anayebembelezwa ni Yule anayefanya Hisani na sio yule anayelipwa kufanya Kazi halafu akashindwa kutimiza Majukumu yake.
 
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Liverpool, Mohamed Salah amewaambia mabosi zake kuwa anataka kupewa mshahara mnono ili afanye kazi kwa raha akiwa ndani ya kikosi hicho.
Nyota huyo raia wa Misri uwezo wake ni wa hali ya juu na ni miongoni mwa washambuliaji wanaopendwa na mashabiki wa Liverpool pamoja na benchi la ufundi na anatajwa kuwa kwenye rada za timu mbalimbali Ulaya zinazowinda saini yake.

Salah anataka kuwa mchezaji ambaye analipwa mkwanja mrefu zaidi kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp ambaye hivi karibuni alieleza kuwa amefanya mazungumzo na nyota huyo kuhusu kuongeza mkataba mpya.

Kwa sasa kinara anayelipwa mkwanja mrefu ndani ya Liverpool ambayo ni timu kubwa Ulaya ni beki wao wa kati kitasa Virgil van Dijk ambaye analipwa pauni 220,000 kwa wiki na Salah anataka awe anakunja pauni 500,000 kwa wiki.
 
Sina swali mkuu nimekuelewa ngoja tuone hao waliobaki wakimudu majukumu yao tutakua wapi.
 
Tupo vizuri na wengine wesha zeeka? kule mbele kuna Salah na Jota tu waliobaki ni shit uzuri huo tunautoa wapi?
Manga ML salama....

Tupo vizuri on paper ila practically hahaha tunahitaji wengine wapoteana ili tuwe salama...

Nwa mdau Grau alisema tuna kikosi kipana hahaha japo ni kweli kipana lakini kimejaa utupolo aisee ndio nikamjibu tupo vizuri kujaza shinda unless they prove me otherwise especially Firmino, Ox-Chamberlain, Keita, Origi, Henderson, Mane...

In short tuna quantity over quality.

YNWA
 
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Liverpool, Mohamed Salah amewaambia mabosi zake kuwa anataka kupewa mshahara mnono ili afanye kazi kwa raha akiwa ndani ya kikosi hicho.
Nyota huyo raia wa Misri uwezo wake ni wa hali ya juu na ni miongoni mwa washambuliaji wanaopendwa na mashabiki wa Liverpool pamoja na benchi la ufundi na anatajwa kuwa kwenye rada za timu mbalimbali Ulaya zinazowinda saini yake.

Salah anataka kuwa mchezaji ambaye analipwa mkwanja mrefu zaidi kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp ambaye hivi karibuni alieleza kuwa amefanya mazungumzo na nyota huyo kuhusu kuongeza mkataba mpya.

Kwa sasa kinara anayelipwa mkwanja mrefu ndani ya Liverpool ambayo ni timu kubwa Ulaya ni beki wao wa kati kitasa Virgil van Dijk ambaye analipwa pauni 220,000 kwa wiki na Salah anataka awe anakunja pauni 500,000 kwa wiki.
Hao wanao mtaka si watie hela tupate za kubusti timu
 
Hao wanao mtaka si watie hela tupate za kubusti timu
PSG ilikua likely destination kwa Salah wangeuza Mbappe kwenda Real Madrid..

Sioni Mbappe akitua Real Madrid unless agome kabisa kuongeza mkataba basi mwakani anakwenda bure hilo likifanyika basi Real Madrid wanaweza kuja kwa Salah kuedeleza galaticos history getting only the best.. Salah will be watching Mbappe scenario with a very keen eye..
The other outcome ni PSG waje kwa Salah kama Mbappe ataodoka.

Liverpool watulie tu japo Salah is the best on his day but demanding £500k per week is astonishing to say the least... Mtihani kwake ni ana demand that hefty payment wakati umri umemtupa yaani msije shangaa akaodoka kama Gini huyu.

YNWA
 
chanzo: swiss ramble
======================

Many Liverpool fans are unhappy that their club has not bought more players in this summer’s transfer window. This thread looks at where the money has gone, reviews the #LFC business model under FSG and explains why the approach is less restrained at other clubs.
 
This summer #LFC only spent £36m on RB Leipzig defender Ibrahim Konaté, by far the lowest of the Big Six. Four clubs splashed out more than £100m:#AFC £149m, #MUFC £126m, #MCFC £115m and #CFC £108m. On a net basis, #LFC £11m was second smallest, as #CFC made £110m sales.
1630939820339.png
 
Even though #LFC spent £74m the prior season, mainly on Jota, Thiago & Tsimikas, their £110m gross spend in the last two years is still the lowest of the Big Six, far below #CFC £330m, #MCFC £260m, #AFC £226m. #MUFC £201m and #THFC £160m. Liverpool also had the lowest net spend.
1630939909785.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom