Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

- Rent Boys wanajigamba kuwa Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemfunga Mkiwa Arsenal.

- Manure wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemsajili Sancho.

- Man City wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu uwezo wa kufanya hivyo wanao.

- Liverpool hatujigambi kubeba Makombe yote kwasababu ni obviously uwezo huo hatuna, but tuna matumaini tu ya kuweza kubeba EPL au UCL.

Haya wacha tuone nini kitatokea kwa Hao WASHINDANAJI WATATU ambao kila mmoja anajigamba kubeba Makombe yote.

MY TAKE: Katika majigambo yao waelewe kuwa hakuna shared ya Kombe, ni lazima atabeba mmoja tu kati yao! Hivyo kuna Wawili kati ya hao Watatu wataibuka na kilio.
Mkuu mbona hujatuzungumzia nasisi arsenal?
 
Story za Rent Boys:
- Joginyo ana deserve uchezaji Bora na Ballon D'Or

Sababu zao:
  • Joginho kabeba UCL
  • Joginho kabeba Euro Cup

Mwaka 2019 mashabiki wa Liverpool tulipompigania VVD apate Ballon D'Or kwa sababu ameiwezesha Liverpool kubeba UCl
- Walituambia kuwa Makombe ni Collective achievement na sio Jitihada za Mtu mmoja hivyo hawezi kupewa Ballon D'Or kwasababu Liverpool imebeba Kombe, bali anayesahiki kupewa Ballon D'Or ni Messi kwasababu ndiye Mchezaji Bora.
Ikumbukwe kuwa Messi hakubebwa Kombe lolote.

SWALI:
  • Je, Rent Boys wamesahau hoja zao za "Collective achievement"?
  • Je, wamesahau hoja zao kuwa UCL & Uero Cup ni Mafanikio ya Timu nzima na sio Jitihada za Joginho pekee?
  • Wanaonaje Balloon D'Or ikaenda tena kwa Messi au Lewando?

Rent Boys Wana safari ndefu kufahamu soccer
Mkuu inaonekana Una chuki kweli n Chelsea....kwahyo unataka kuniambia kipindi kile mmechukua uefa na mlivyompigia chapuo vvd achukue ballon dor NI mashabiki wa Chelsea pekee ndo walikuwa wanabeza?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
- Rent Boys wanajigamba kuwa Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemfunga Mkiwa Arsenal.

- Manure wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemsajili Sancho.

- Man City wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu uwezo wa kufanya hivyo wanao.

- Liverpool hatujigambi kubeba Makombe yote kwasababu ni obviously uwezo huo hatuna, but tuna matumaini tu ya kuweza kubeba EPL au UCL.

Haya wacha tuone nini kitatokea kwa Hao WASHINDANAJI WATATU ambao kila mmoja anajigamba kubeba Makombe yote.

MY TAKE: Katika majigambo yao waelewe kuwa hakuna shared ya Kombe, ni lazima atabeba mmoja tu kati yao! Hivyo kuna Wawili kati ya hao Watatu wataibuka na kilio.
Unauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...? Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu King Ngwaba nakusoma aisee.

Najiuliza tu itakua aje Salah, Mane na Keita January 2022 wanakwenda Afcon sasa itakua aje?

Achana na la kwenda Afcon je ikatokea majeruhi itakua aje kama juzi tu umeona Firmino kaumia je Origi ndio tutegemee atachukua majukumu ya ufungaji. Last season Jota alikosa zaidi ya mechi 10 kwa majeruhi hivyo nilitarajia Klopp anavyowatoa akina Shaqir basi tuone replacement.

Pia kuna lose of form kwa wachezaji kama alivyo sasa Firmino je hili pia Klopp halioni au FSG wamegoma..

Salah ndio key to our win in almost all competitions kwa sasa anahusika na ushindi kwa zaidi ya 80%.

Ki ufupi tutarajia kuona Hendo na Milner wakicheza strika pindi Mane na Salah wakitua Afcon.

Pale academy hatuna ready product ya kuja ku replace hao aidha wakiwa majeruhi au wakiwa Afcon hivyo kuingia sokoni ilikua haikwepeki.

Elliott ni winga sasa anacheza MF je baadae atasogea mbele kuchukua nafasi ya Salah, maswali ni mengi bila majibu.

Klopp anacheza karata kama atatoboa salama Mane na Salah wakiwa Afcon kuna mechi kama 3 hivi za Epl na pia kuna FA. Jambo anasahau wanaweza kurudi wakiwa majeruhi, corona au loss of form yaani msimu huu tunaanza ramli mapema sana kwamba wengine wapoteane huku sisi tubakie kwa sasa tunashinda huku wachezaji wasipate majeraha.

YNWA
Watu watajipigia mpaka mkome....
 
Man Man

We will be Arsenal kabla ya 2023 ......Imagine 31 yrs anapewa mkataba wa miaka 2025 hii ndio tafsiri sahihi ya Liverpool ni stupid club.
Chelsea mtu akiahafika umri huo mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.
 
Top Reds + British Media Propaganda

  • First: Walimfanyia Fake Promo akapewa Ucaptain wa Liverpool
  • Second: Walimfanyia Fake Promo akapewa Ucaptain wa England
  • Third: South game akagundua their Fake promo akampokonya Ucaptain then akampa Armband the really deserved Captain.
  • Fourth: Wakamfanyia Fake Promo aendelee kupangwa Kikosi cha kwanza kwenye National Team.
  • Tano: Southgate akashtukia their Fake Promo baada ya kumshtukia kuwa He's a shit player sasa hivi anawekwa Bench na watoto wadogo kina Kalvin Phillips na Declan Rice.
  • Sita: Kifuatacho ni kuachwa kabisa kwenye Timu ya Taifa.
  • Saba: Kifuatacho ni kukalia kuti kavu pale Liverpool kwani Fabinho na the Coming Elliot wameshazuia Dimba la kati. Nafasi moja iliyobakia ni ya Kinyang'anyiro cha Yeye, Milner, Thiago, OX, Keita na Jones! Anachofaidika ni kwamba wenzake ni Mapancha.
Pia anafaidika na Ushenzi wa FSG kutosajili kiungo wa maana.
 
Chini ya Captain Thomas Tuchel kila goti litapigwa.

Nasema hiviii ..kila goti litapigwa na kukiri kwa ndimi zenu kuwa "hakika huyu ndio kocha"

Kuna ambaye hayiogopi Chelsea??

CFC
 
Transfer in numbers.

How your bought during the summer window...

View attachment 1918976

How your club sold players during 2021 summer window..
View attachment 1918977

Here's where it matters: what was the final net spend after factoring incomings and outgoings?

The top three teams for net expenditure remain unchanged from the spending chart, with Arsenal the most spendthrift club with a £131.8m net spend, followed by Manchester United (£103.7m) and Manchester City (£72.7m).

Hapa unachukua total ya kununua na total ya kuuza unapata jumla iliyotumika na kila timu.. Ina maana Liverpool msimu huu wa mauzo tumepata £24.5m.
Tumenunua mmoja kwa £36.0m minus mauzo £24.5m = £11.5m net spend by Liverpool this window.

View attachment 1918978

YNWA
Umeona Chelsea tunavyofanya biashara lakini?

CFC
 
Unauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...? Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu
Msimu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu anajitetea mapema ili wasipobeba kombe basi APATE cha kuzungumza. Hana lolote huyu, anabwabwaja tu hapa maana keshaona timu yake haifiki popote pumzi itakata mapema
 
Liverpool Champions League Squad.

Goalkeepers: Alisson, Kelleher, Adrian

Defenders: Van Dijk, Matip, Gomez, Konate, Alexander-Arnold, Robertson, Tsimikas, Phillips

Midfielders: Henderson, Fabinho, Thiago, Milner, Keita, Oxlade-Chamberlain, Elliott

Forwards: Salah, Mane, Firmino, Jota, Minamino, Origi

Likely List B: Jones, N. Williams, Beck, Koumetio

Ila Klopp kuna muda anadema huyu Curtis Jones kwa alichoonesha last season ni wa kuachwa CL.?

Anyway tuwe wapole tu. Tumeshika makali.
 
Mwarabu anastahili £350kView attachment 1924062
IMG-20210905-WA0000.jpg
 
Unauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...? Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huwezo hawana na lile kombe la epl walilobeba ni kuforce
Timu zilikuwa zimemezwa na mapumziko michezo iliyochezwa baada ya mapumziko ya lazima haikuwa na ushindan watu walikuwa wanacheza basi tu
Mabingwa wa corona kamweh EPL ni baada ya miaka 20 tena
 
Ila Klopp kuna muda anadema huyu Curtis Jones kwa alichoonesha last season ni wa kuachwa CL.?

Anyway tuwe wapole tu. Tumeshika makali.
Clarification.

Premier League squads are permitted to contain 25 players, but just 17 of those can be non-homegrown players.

A homegrown player is determined as someone who “has been registered with any club affiliated to The Football Association or the Football Association of Wales for a period, continuous or not, of three entire seasons, or 36 months, before his 21st birthday (or the end of the season during which he turns 21).”

And Liverpool have just seven such first-team players available - meaning that Klopp has been forced to name an official Premier League squad with one player short.

Jones ect wanao meet the above criteria wapo kwenye home grown slot au B List hivyo yupo kwenye kikosi cha UCL.

UEFA Competitions

From 2008/09 season, a team in the group stage of UEFA Champions League (UCL) or Europa League (UEL) can register

List A:
Maximum of 25 players, 2 of whom must be goalkeepers, in which
Maximum of 21 non-club-trained players, in which
Maximum of 17 non-association-trained players, and

List B:
Unlimited U21 club players.
Players are ‘club-trained’ if and only if they were registered with the clubs at least 3 years between 15 and 21, continuous or not, regardless of their nationality or age.

Players are ‘association-trained’ if and only if they satisfy the same criteria but with clubs in the same FA . That means club-trained players are association-trained, but the reverse is not necessarily true.

U21 club players are players under-21 and have been eligible to play for the club for any continuous period of 2 years since turning 15. That means players aged 16 can be registered if they have been registered with the club for the previous 2 years.

YNWA
 
MO

Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 29, ameitisha pauni 500,000 kwa wiki ili kutia saini kandarasi mpya Anfield. (Mirror)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom