Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni Liverpool kwa Ushindi mnono wa penalty na red card [emoji23][emoji23][emoji23]. Bahati yenu.

Pia naipongeza timu yangu Chelsea kwa kusimama imara baada ya kupewa red cards hawakutetereka. Comeonechelsea[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Nyie kwa sasa jengeni timu ..hii EPL hadi sasa ishatua darajani.
CFC
 
Pengo la Coutinho halijawai zibwa ukitathmini haya maelezo
 
mane kwakweli amechoka, big up kwa Elliot anazidi kupata uzoefu, klopp yupo rigid sana kufanya sub , imeuma sana kuzikosa point 3
Mpaka karibia na HT ni MAne peke yake aliweza kugusa mpira ndani ya final third ya Chelsea au Opposition Box, wengine wote akili iligota. Baada ya Red card na sisi tukaamua kujilinda zaidi ya kushambulia ndipo mkapata nafasi ya kutusogelea kwetu

Final third ya Chelsea huwa ni eneo takatifu, matakataka hayaruhusiwi kuweka mgu hapo
 
Shots 23 afu unasema tulikua tunalinda
 
@Captain Marvelous anaweza sifia, the guy huwa ni kops na smtime huwa anaweka ushabiki pemben na kuongea mpira,

Post zake nyingi humu huwa anaweka ushabiki pembeni, na kuongea kuhus mpira
 
Mkuu vip hapo. Kama pamoja na Red card ya dk 45 lakini umeshindwa kuifunga Chelsea unategemea kuifunga lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mnalalamikia sana penalty ambayo ni halali kabisa?! Kwani tulimtuma huyo dogo wenu akadake mpira?!
Kumbuka tu hata nyie hamkutufunga, au hamkuja kucheza.
Na kumbuka pia kona iliyowapa goli haikuwa kona!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…