Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Unakuwa kama si mtu wa mpira bhana, timu 85% ya first eleven walikuwa injury beki 5 akawa anacheza Jordan Henderson na Fabihno beki 4 na wenyewe wakaumia ulitarajia nini, au hukuona kuanzia December 17 hadi Mwishoni mwa March 2021 timu ilikuwa imejaa wagonjwa tupu ndo unataka kufananisha na liverpool ya sasa watu wapo wametulia??Mkuu mwaka Jana mlianza kwa nguvu kubwa sana ,mkamshusha spurs kwa goli la firmino dakika za 90+3,na kukaa juu kabisa ...
Mpaka chrismas mlikuwa mnaongoza league ...
Unajua mpaka January mlikuwa wapi ? ,mlichezea kipigo kila game ,tulianza kuwaona nafasi ya 6&7 huko ....
Mnakikos chembamba sana ,EPL ni mlima wa game 38 ,wachezaji ni wale wale ....
Keep watching the miracle ,this is EPL ...
Kwani sio team tishio duniani? Msimu uliopita kapiga karibia team kubwa zote Tena akiwa Hana striker wa maana zaidi ya kutumia false 9 sasa hivi ana striker wa kiwango Cha dunia unategemea Nini? Kama unakumbuka kauli ya TT alivyokuja Chelsea akasema " I will build a team no anyone wants to play against"Kwa sasa ukisikiliza story za mashabiki wa Chelsea unaweza kuzani Chelsea ni timu tishio sana duniani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Eti tuna mchezaji mmoja tu tegemezi hiv mzee baba unaangalia mpira kweli au unafuatilia rede? Tuna moja Kati ya best kipa kwasasa Mendy, tuna Thiago silva, Rudiger, Mount, Jorginho, Pulisic, Ziyech, Kai harvert,Kovacic, christensen,James n.k hiv unajua michuano ya uero Chelsea ndio imeongoza kwa kutoa wachezaji wengi kwenye kikosiUna kikosi gani kipana kuzid Liverpool au umekalili....hiv unajua mna mchezaj tegemez mmoja tu ngolo kante....wengine wote magalasa .....huna anayeweza kucheza Liverpool ww
Hizo pancha ulizopata ,zinaenda kutokea tena kwa Mara nyingine ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuwa kama si mtu wa mpira bhana, timu 85% ya first eleven walikuwa injury beki 5 akawa anacheza Jordan Henderson na Fabihno beki 4 na wenyewe wakaumia ulitarajia nini, au hukuona kuanzia December 17 hadi Mwishoni mwa March 2021 timu ilikuwa imejaa wagonjwa tupu ndo unataka kufananisha na liverpool ya sasa watu wapo wametulia??
Niambie kabla ya majeruhi tulikuwa na moto gani ??? Kuna wakati ongea vitu kiweledi
Kwani sio team tishio duniani? Msimu uliopita kapiga karibia team kubwa zote Tena akiwa Hana striker wa maana zaidi ya kutumia false 9 sasa hivi ana striker wa kiwango Cha dunia unategemea Nini? Kama unakumbuka kauli ya TT alivyokuja Chelsea akasema " I will build a team no anyone wants to play against"
We Liverpool Una kikosi gani kipana kulinganisha city na Chelsea? [emoji23][emoji23].... Benchi mnao kina minamino, cjui Jones, kounate.....Chelsea Tu game ya jana arsenal benchi kuna hv vichwa thiago Silva, chilwell, chalobah,kante, Werner, odoi.....Una kikosi gani kipana kuzid Liverpool au umekalili....hiv unajua mna mchezaj tegemez mmoja tu ngolo kante....wengine wote magalasa .....huna anayeweza kucheza Liverpool ww
Shukrani sana mkuu...Karibu sana mkuu
Ahsante sana kop..Karibu sana ndugu.
YNWA
All the best Alpine Messi himself...
Origi nae wamtafutie team fasta hata £10MAll the best Alpine Messi himself...
YNWA
Ela ya Konate isharudi.
Sasa kazi kwao kuwauza Origi, Karius, Phillips nk ili kupata ela kwa ajili ya aidha Bowen, Bissouma au Sarr.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaa 2milion ,hiyo ni hela ya kununua boxer moja ya grealishUmeona biashara anayofanya Chelsea? Tunauza Zouma kwa pound 30M ..nyie shakiri mnauza million 2 huko ..this is Chelsea
Sasa Sosha unamfananisha na Tuchel wewe vip ebooAnfield haijawahi kua salama wale kops wakiwa pale wamechafukwa kwa mienge miekundu huku YNWA ikipulizwa. Hata mtata Sir Alex anaelewa, go ask Messi.
Tuchel akakae tu nyuma mpira uishe asimuone Sosha kua hapendi kucheza akiwa Anfield.
Harvey Elliot Tsimikas Curtis Jones big future ahead.
YNWA
Hii timu aiwez kufanya biashara mkuu ..ukimuondoa Torres, Coutihno na Suarez labda na sterling kuna mchezaji aliyewahi kuuzwa kwa bei ghali zaidi ya hao tu? jumla ya wachezaji waliyouza hawa kuku msimu huu thamani yao wote ni pound 42M. Wakati hiyo ni thamani ya mauzo ya Tammy tu..kikosi B cha Liverpool hakinunuliki wachezaji wake hawauziki popote pale labda wawatoe Kwa mkopo uko..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaa 2milion ,hiyo ni hela ya kununua boxer moja ya grealish
Hii timu aiwez kufanya biashara mkuu ..ukimuondoa Torres, Coutihno na Suarez labda na sterling kuna mchezaji aliyewahi kuuzwa kwa bei ghali zaidi ya hao tu? jumla ya wachezaji waliyouza hawa kuku msimu huu thamani yao wote ni pound 42M. Wakati hiyo ni thamani ya mauzo ya Tammy tu..kikosi B cha Liverpool hakinunuliki wachezaji wake hawauziki popote pale labda wawatoe Kwa mkopo uko..
Sawa tulipigwa na Aston villa ila angalia baada ya hapo nilimfanya Nini Man city fainal ya UefaMbona chelsea mlifungwa mechi ya mwisho wa ligi dhidi ya Aston villa.hatuja sahau.
aston walikaa tu nyuma chezeni nyinyi tu,ile mechi ilikuwa muhimu sana chelsea kushinda lakini akapoteza.
Kama utakuwa unafatilia chelsea alianza kuzoeleka kwenye ligi ikawa ashindi tena alikuwa anaanza kufulia na ndio tukafika mwisho wa ligi.
Ligi ya Epl kwa kikosi kile ambacho hakina mchezaji tishio mimi kama mshabiki wa timu pinzani niogope kama liverpool salah,vvd na mane,chelsea haina maajabu yoyote.
Na mechi ijayo dhidi ya liverpool watapata aibu.
Umemsahau na ZiyechWe Liverpool Una kikosi gani kipana kulinganisha city na Chelsea? [emoji23][emoji23].... Benchi mnao kina minamino, cjui Jones, kounate.....Chelsea Tu game ya jana arsenal benchi kuna hv vichwa thiago Silva, chilwell, chalobah,kante, Werner, odoi.....