OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Lukaku hakupata game time nzuri kama Salah ila kwa sasa tutatembeza kichapo hadi mshangae kwa sasa tunatangaza Kampeni inayoitwa "KAMPENI YA USHINDI DHIDI YA LIVERPOOL"Ishu sio misimu mingapi ishu ni kuwa hakuna mtu aliyeweza isipokuwa yeye tu, pia salah ana golden boot epl zaidi ya moja kwa mechi 150 tu wakati lukaku ana mechi 250 hajaambulia hata sox
Endelea kuota. Huna sub za maana unaitaka EPL??!Nasema with full of confidence without long term injuries we are "epl tittle' contenders"
YNWA....
Hawa wanajitoa akili hawajui salaha alikuwa ni failed project hadi alipofufuliwa na Klopp .Kwan alichosema NI uongo? Salah si alikuja mwanzo hapo EPL lkn akaonekana kafeli mpk kutolewa mkopo na kuuzwa?
Hata biashara inawashinda wachezaji wote hao na mpunga ndo huo??? Hiyo pesa tu kaingiza Tammy pekee yake ..
Mkuu kwenye uefa huko achananapo ..huko tumeshajenga empire yetu ni mwendo wa back to back like Madrid alivyofanya kipindi kile..kwa sasa kwenye uefa sijaona timu ya kupambana na sisi labda baada ya misimu minne au mitano hivi mbele..Wao na wewe nani kifaranga?wao wanaodai watachukua ubingwa kwa mechi hizo mbili na wewe unayesema utachukua ubingwa wa uefa kwa Mara nyingine wakati hata mechi moja hujacheza....HASHISHI SIYO NZURI KWAKO
Karibu sana mkuuKwa muda mrefu nilikua nje kutokana na matatizo yaliyoanza kwenye simu.
Nilijaribu kulog in kwa cm nyingine ilikataa nikafungua a/c nyingine, ilikubali ila sasa sikuwezeshwa kutoa maoni zaidi nilikua mpenzi msomaji. Leo nimefix everything.
Nimerudi tena happy to have this thread and all member within.
YNWA'
Karibu sana ndugu.Kwa muda mrefu nilikua nje kutokana na matatizo yaliyoanza kwenye simu.
Nilijaribu kulog in kwa cm nyingine ilikataa nikafungua a/c nyingine, ilikubali ila sasa sikuwezeshwa kutoa maoni zaidi nilikua mpenzi msomaji. Leo nimefix everything.
Nimerudi tena happy to have this thread and all member within.
YNWA'
Jumamosi usije kukimbiaNi suala la muda tu kipigo kipo pale pale ..
Hadi sasa tunaongoza moja bila
Ni miaka kumi sasa hakuna mchezaji wa chelsea ayepata golden boot halafu mtuambie salah ilikuwa failed project, sasa hizo project ambazo hazikufeli mbona hazikuvaa boot?Hawa wanajitoa akili hawajui salaha alikuwa ni failed project hadi alipofufuliwa na Klopp .
Mechi ijayo Lukaku akiwatupia basi watanywea. Sisi kwa sasa ni mwendo wa kuwaziba midomo tu wakistuka may hii Hapa..
Miongoni mwa watu wengine hawajawahi kuwa serious ni huyu bwana mdogoKatika timu ambazo siogopi ni hizi kuku ...
Mnakikosi chembemba kama tako la Ruby ,subili uefa ,fa ,carabao + EPL ...yaan game ziwe jtano na weekend muone mnavolainika ...
Salah ,mane wakacheze huko kwenye timu zao ,hahaaa ...
Mbio zenu zinaishiaga Christmas ,baada ya hapo mnatepeta kama mlenda tunawasosomola tu kiulain ....
Liverpool ni nguvu ya soda tu ,...
Subili muda ufike ,muone .....
Mkuu mwaka Jana mlianza kwa nguvu kubwa sana ,mkamshusha spurs kwa goli la firmino dakika za 90+3,na kukaa juu kabisa ...Miongoni mwa watu wengine hawajawahi kuwa serious ni huyu bwana mdogo
Watu wa Chelsea mbna mna mdomo sanaa...subilin jmos.....baada ya mechi Kama tutawaona humuuKatika timu ambazo siogopi ni hizi kuku ...
Mnakikosi chembemba kama tako la Ruby ,subili uefa ,fa ,carabao + EPL ...yaan game ziwe jtano na weekend muone mnavolainika ...
Salah ,mane wakacheze huko kwenye timu zao ,hahaaa ...
Mbio zenu zinaishiaga Christmas ,baada ya hapo mnatepeta kama mlenda tunawasosomola tu kiulain ....
Liverpool ni nguvu ya soda tu ,...
Subili muda ufike ,muone .....
Una kikosi gani kipana kuzid Liverpool au umekalili....hiv unajua mna mchezaj tegemez mmoja tu ngolo kante....wengine wote magalasa .....huna anayeweza kucheza Liverpool wwKatika timu ambazo siogopi ni hizi kuku ...
Mnakikosi chembemba kama tako la Ruby ,subili uefa ,fa ,carabao + EPL ...yaan game ziwe jtano na weekend muone mnavolainika ...
Salah ,mane wakacheze huko kwenye timu zao ,hahaaa ...
Mbio zenu zinaishiaga Christmas ,baada ya hapo mnatepeta kama mlenda tunawasosomola tu kiulain ....
Liverpool ni nguvu ya soda tu ,...
Subili muda ufike ,muone .....
Man dizzo ..Watu wa Chelsea mbna mna mdomo sanaa...subilin jmos.....baada ya mechi Kama tutawaona humuu
Hujui EPL kijana ,hujui mbinu za kuchukua EPL ..Una kikosi gani kipana kuzid Liverpool au umekalili....hiv unajua mna mchezaj tegemez mmoja tu ngolo kante....wengine wote magalasa .....huna anayeweza kucheza Liverpool ww