Epl hua haichezwa kwenye mitadao ama keyboard worriers...
Ni ligi ngumu sana ki ufupi mpaka sasa iko open haina mwenyewe.. mambo yataanza kujiseti January 2022....
Kwa sasa tuenjoi burudani jamani..
YNWA
Mkuu una tamaa!Sema ushindi umekuwa mwembamba nilitaka hata 4 au 5 hivi
Kagonjwa ka akili wewe!Izo msimu huu lukaku anafikisha na zaidi ..hizo 32 goli chache sana..
Salah msimu huu akifikisha goal 15 napotea humu..
Sasa wao wanaenda kusajili makapi na watoto wa mtaani huku wanadai wanaunda timu. EPL timu huwa inatengenezwa kwa kuwasajili wachezaji wanaofit in na ambao ni CompetitiveNaona leo Lukaku kaanza na moto 🔥 🔥 🔥.....
Arsenal ki ufupi wana safari ndefu sana kurejea ubora wao.
YNWA
Wambie wasije wakasahauSijui matokeo yatakuwaje lakini ninawakumbusha Rent Boys kuwa Liverpool siyo Arsenal.
Wambie wasije wakasahau
Walitufunga mechi ya mwisho ambayo beki namba 5 alikuwa anacheza Jordan Henderson na beki 4 Fabihno golini Adrian hivyo wamejaa kiburi ukizingatia eti wamemsajiri lukaku [emoji1787][emoji1787]Wameshaanza kupiga kelele na kuhisi hakuna Timu ya kuwafunga kwa sababu tu wameshinda mechi 2 za mwanzo.
Ki ufupi yule Arteta naona ni tatizo aisee.Yeah katupia tho nilitamani afunge hata mbili ivi.🤪🤪🤪. But siyo mbaya. Arsenal ni timu kubwa lakini hawajiewi kwenye usajili. Epl huwezi chezesha watoto then umpe Saka majumu makubwa kubeba timu.
Saka ni mzuri lakini bado anahitaji msaada. Wacha wapambane na hali zao walituzarau sana leo uteja umeisha rasmi[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Bwana wee yaaani kila shabiki anavuta ushindi kwake hata Burnley waliamini ndio timu ya kwanza kutufunga Anfield msimu huu akaishia kichapo...Kabisa mkuu. Na ndiyo maana bakubaliana na mtazamo wako humu huma papara.
Kwenye gemu kila timu inaingia na lengo la kupata ushindi na point 3. Lakini malengo yanaaribika uwanjani baada ya timu pinzani kumzidi nyingine mbinu.
Tuendelee kupata burudani Chelseaa 4 reva[emoji170][emoji170]
Hawa wasipokua makini yatawakuta ya Barcelona aisee.Sasa wao wanaenda kusajili makapi na watoto wa mtaani huku wanadai wanaunda timu. EPL timu huwa inatengenezwa kwa kuwasajili wachezaji wanaofit in na ambao ni Competitive
Bila shaka mmoja wao ni jamaa yangu Ollachuga Oc.Jana nimewakaribisha mashabiki wawili wa Chelsea kuangalia mpira nyumbani kwangu tambo walizokuwa wanatoa ni shida, yani unamfunga Arsenal unachukua kama reference ya kumfunga na liverpool [emoji3]
Ollachuga Oc si mtu serious sana huyu si wa kuchukulia story zake kwa uzito [emoji1787][emoji1787]Bila shaka mmoja wao ni jamaa yangu Ollachuga Oc.
YNWA
Ishu sio misimu mingapi ishu ni kuwa hakuna mtu aliyeweza isipokuwa yeye tu, pia salah ana golden boot epl zaidi ya moja kwa mechi 150 tu wakati lukaku ana mechi 250 hajaambulia hata soxHuyo salah matapishi yetu kafunga hizo goli 32 misimu mingapi?
Sasa ndo ututangaze siku nyingine ukitukaribisha kwako hatuji unadharau sana.Jana nimewakaribisha mashabiki wawili wa Chelsea kuangalia mpira nyumbani kwangu tambo walizokuwa wanatoa ni shida, yani unamfunga Arsenal unachukua kama reference ya kumfunga na liverpool [emoji3]