Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hongereni sana naona mmeanza ligi kwa kishindo

Chelsea 4 reva
 
Mkuu hawa Brentford wana pool nzuri sana ya ma scouts yaaani watakua Dortmund ya UK one day...

Season ya 2019 2020 walichemka kwenye play offs baadhi ya wachezaji wao wakaona wapo tayari kwenda kukipiga EPL wakauzwa tena mpunga wa maana.. Waliwauzia Astona Villa strika Olli Witkins kwa £32m na dogo amekua a proper bargain tazama alivyo pale Aston Villa kiasi some Kops wanasema Klopp should make a move for the boy awe mridhi wa Firmino..
Wakauza pia kwenda WestHam Said Benrahama kwa £22m. Hio pesa wakawekeza kujenga kikosi cha kuingia EPL 2021 2022 na hakika wamefanikiwa.

Hawa jamaa wana buy raw talent na kuwapa nafasi za kutosha na wana walimu wazuri pia. Kocha wao Thomas Frank alijiunga nao 2016 kama kocha msaidizi na mwaka 2018 akawa kocha mkuu rasmi. Ana uzoefu wa kufundisha vijana under 18s kwa zaidi yaiaka 20.

Wasipopata majeruhi basi watakua salama kubaki EPL.

Ya Arsenal tuwaachie wenyewe maana mechi zinazofuata in paper ngumu ila usishangae wakatoka na ushindi.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…