King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,453
Pia tukumbuke kuwa Mzee Milner anaanza mazoezi ya kujitayarisha na msimu ujao aje apambane na kina KDB
Hii ya lini? Mbona kama namwona Gini hapo?
Pichaà za miaka hiyoo ya 90 unatuletea sis
Hii ya lini? Mbona kama namwona Gini hapo?
Duuu, hatari na nusuMilner anaanza mazoezi
Gomez anaanza mazoezi
OX anaanza mazoezi
Keita anaanza mazoezi
Matip anaanza mazoezi
Kweli mwaka huu kazi tunayo manake soon tutatangaziwa kuwa kupona kwa hawa ni New Signings
Pichaà za miaka hiyoo ya 90 unatuletea sis
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Milner anaanza mazoezi
Gomez anaanza mazoezi
OX anaanza mazoezi
Keita anaanza mazoezi
Matip anaanza mazoezi
Kweli mwaka huu kazi tunayo manake soon tutatangaziwa kuwa kupona kwa hawa ni New Signings
Milner anaanza mazoezi
Gomez anaanza mazoezi
OX anaanza mazoezi
Keita anaanza mazoezi
Matip anaanza mazoezi
Kweli mwaka huu kazi tunayo manake soon tutatangaziwa kuwa kupona kwa hawa ni New Signings