Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Jamani sijafatilia usajili, hivi mpaka sasa tuna ingizo lolote?
Umemsahau minjino SUARES mbona ni bonge la mfungaji?siku kama ya leo mwaka 2005(Pepe) na 2007, Fernando elnino Torres walijiunga na Liverpool.
Kwa upande wangu, moja ya strikers wakali kucheza Liverpool kuanzia miaka ya 2000's basi ni huyu mwamba Fernando Torres, I almost cried when he left [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1841617
Sent from my itel A31 using JamiiForums mobile app
Mkuu naona nyuma imepak ambulace ikimsubilia
Ni bonge la mfungaji lakin kuondoka kwake mashabiki wengi hatukuumia sana sababu ya scandal zakeUmemsahau minjino SUARES mbona ni bonge la mfungaji?
Wahi fasta nafasi ni chache sana zilizo baki.Huyu OX atakapotimiza mechi 5 mfululizo bila ya kuumia haki ya Mungu nahamia Manure United.
Jamani sijafatilia usajili, hivi mpaka sasa tuna ingizo lolote?
Duuh ila Liverpool tuna ma pancha mpaka basi...Milner anaanza mazoezi
Gomez anaanza mazoezi
OX anaanza mazoezi
Keita anaanza mazoezi
Matip anaanza mazoezi
Kweli mwaka huu kazi tunayo manake soon tutatangaziwa kuwa kupona kwa hawa ni New Signings
Hivi Ox hakuna resale clause arejee Arsenal tu na huyu Keita arejee RB maana hawa hata gemu 20 kwa msimu kwa pamoja hawachezi.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1853900
😂😂😂😂😂Pure time bomb hao sijui kama watacheza hata gemu 15 kila mmoja msimu ujao.Coming soon.....
Horror Movie - Picha la Kutisha!!
Starring Virgil, Ibra, Jomez, Joel, etal
View attachment 1852418
Jamani sijafatilia usajili, hivi mpaka sasa tuna ingizo lolote?
I have been, and will always remain, a positive-minded person. It works for me >90%.😂😂😂😂😂Pure time bomb hao sijui kama watacheza hata gemu 15 kila mmoja msimu ujao.
We heading South big time man.
YNWA
Umetumia kiungo kufikiria andiko hili??Hii timu ya kipimbi kweli vvd na gomez ndio sajili mpya msimu huu ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtapigwa mpaka mkimbie kudadekiiii ,huu msimu mtajuta ..!
Ndugu mgeni wa heshima
CrapHii timu ya kipimbi kweli vvd na gomez ndio sajili mpya msimu huu ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtapigwa mpaka mkimbie kudadekiiii ,huu msimu mtajuta ..!
All the best mate.I have been, and will always remain, a positive-minded person. It works for me >90%.
Bring it on.... goddamn it!