King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
KLOPP akiangalia Targets zake za usajili
Vyuma vimeanza kuingia..msimu ujao kaeni standby wakuu..
Kila kocha ana wachezaji wake kama Streling kwa Foden City bench tu kumbuka Hender alikuwa muda mrefu kaumia ila mimi yule Rice au Phillips kwa Liver hapana wachezaji wa kawaida sana.Yani hata mbele ya Kalvin Phillips na Declan Rice Captain wetu Maestro anasugua Benchi then tunaambiwa ni best Midfield.




Torres, Babel na Benayoun usajili wa 2007.siku kama ya leo mwaka 2005(Pepe) na 2007, Fernando elnino Torres walijiunga na Liverpool.
Kwa upande wangu, moja ya strikers wakali kucheza Liverpool kuanzia miaka ya 2000's basi ni huyu mwamba Fernando Torres, I almost cried when he leftView attachment 1841617
Sent from my itel A31 using JamiiForums mobile app
England wanaweza kubeba Ndoo ya Uro
Labda kwenye PS
Kwanini wasibebe sasa,Au bado una mpira wa kukariri mpaka leo Mkuu.....England wapo vizuri kweli kweli Mkuu acha wivu.