Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Una afiki auzwe ikiwa huu ndo mwanzo wake?

Hebu tuwekee na rekodi za Kanote tulinganishe
Hapana mkuu siafiki auzwe lakini ujio wa Kanote sio habari njema sana kwake. Kwanza kashasema yupo tayari hata kwa kukipiga kwingine.
Ukumbuke huyu dili kubwa last season alikua mbioni kutimka ishu ikawa muda.

Ningependa abakie hapa hapa huku Matip akipigwa bei na Rhys akitolewa kwa mkopo.

Stat za Kanote nitakuletea.

YNWA
 
Moja panic signing kuwahi kufanywa na Michael Edward na FSG yake basi ni hii ya Ben Devies.

Yani walimsajili huyu jamaa bila ya kufikiri na ndiyomana hajawahi kuonekana uwanjani.

Haya yote ni matokeo ya ujuaji na ukaidi wao.
BEN DEVIES.png
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
 
Yule mchezaji wa Leeds United Bamford ni underrated lakini Mshambuliaji mzuri sana. Tulipaswa kupeleka request ya kumsajili tungekuwa na mfungaji wa uhakika zaidi ya Jota, Mane na Firmino.
 
How the new France Boy compares with finished season defence boys.

Successful tackles per 90 minutes (success rate)
Ozan Kabak – 2.2 (78.6%)
Joel Matip – 2.1 (80.8%)
Fabinho – 1.8 (72%)
Nathaniel Phillips – 1.1 (55%)
Jordan Henderson – 1 (83.3%)
Ibrahima Konate – 0.9 (47.3%)
Joe Gomez – 0.5 (45%)

Successful aerial duels per 90 minutes (success rate)
Nathaniel Phillips – 5.4 (60%)
Ozan Kabak – 3.8 (61.2%)
Joe Gomez – 3.2 (54.2%)
Fabinho – 2.4 (54.5%)
Joel Matip – 2.1 (58.3%)
Ibrahima Konate – 1.3 (56.5%)
Jordan Henderson – 1.1 (78.5%)

Interceptions per 90 minutes
Jordan Henderson – 2
Ozan Kabak – 1.6
Fabinho – 1.5
Nathaniel Phillips – 1.4
Ibrahima Konate – 1.3
Joel Matip – 0.9
Joe Gomez – 0.6

Fouls per 90 minutes
Jordan Henderson – 0.1
Joe Gomez – 0.9
Fabinho – 0.9
Ozan Kabak – 1.2
Ibrahima Konate – 1.3
Joel Matip – 1.4
Nathaniel Phillips – 1.6

Clearances per 90 minutes
Joe Gomez – 4.3
Nathaniel Phillips – 4.2
Ibrahima Konate – 3.7
Ozan Kabak – 3.6
Joel Matip – 2.9
Fabinho – 2.9
Jordan Henderson – 1.8

Passing accuracy
Fabinho – 90.6%
Joe Gomez – 89.7%
Ozan Kabak – 89.2%
Joel Matip – 87.7%
Jordan Henderson – 87.3%
Nathaniel Phillips – 83.6%
Ibrahima Konate – 83.5%

Passes completed per 90 minutes
Jordan Henderson – 81.4
Fabinho – 78.2
Joe Gomez – 76.1
Joel Matip – 62.2
Nathaniel Phillips – 60.6
Ozan Kabak – 57.6
Ibrahima Konate – 48.2

Goals
Ibrahima Konate – 1
Joel Matip – 1
Nathaniel Phillips – 1
Ozan Kabak – 0
Jordan Henderson – 1
Fabinho – 0
Joe Gomez – 0

YNWA
 
Wakati GINI tuponae kwenye negotiations nilidhani ameamua tu kubadilisha mazingira (New challenges) that's why anataka kwenda Barcelona, lakini baada ya kudelay movement ya kwenda Barcelona due to Crazy wage aliyotangaziwa na PSG nimegundua jamaa kumbe lengo halikuwa New challenges bali yupo After money.
Wote tuko after money

Miaka ya footballer wakiwa active ni michache Sana

Na wanatakiwa kuendelea kuwa na pesa hata baada ya miaka 40 after retiring from football

Acha achume za uzeeni
 
How the new France Boy compares with finished season defence boys.

Successful tackles per 90 minutes (success rate)
Ozan Kabak – 2.2 (78.6%)
Joel Matip – 2.1 (80.8%)
Fabinho – 1.8 (72%)
Nathaniel Phillips – 1.1 (55%)
Jordan Henderson – 1 (83.3%)
Ibrahima Konate – 0.9 (47.3%)
Joe Gomez – 0.5 (45%)

Successful aerial duels per 90 minutes (success rate)
Nathaniel Phillips – 5.4 (60%)
Ozan Kabak – 3.8 (61.2%)
Joe Gomez – 3.2 (54.2%)
Fabinho – 2.4 (54.5%)
Joel Matip – 2.1 (58.3%)
Ibrahima Konate – 1.3 (56.5%)
Jordan Henderson – 1.1 (78.5%)

Interceptions per 90 minutes
Jordan Henderson – 2
Ozan Kabak – 1.6
Fabinho – 1.5
Nathaniel Phillips – 1.4
Ibrahima Konate – 1.3
Joel Matip – 0.9
Joe Gomez – 0.6

Fouls per 90 minutes
Jordan Henderson – 0.1
Joe Gomez – 0.9
Fabinho – 0.9
Ozan Kabak – 1.2
Ibrahima Konate – 1.3
Joel Matip – 1.4
Nathaniel Phillips – 1.6

Clearances per 90 minutes
Joe Gomez – 4.3
Nathaniel Phillips – 4.2
Ibrahima Konate – 3.7
Ozan Kabak – 3.6
Joel Matip – 2.9
Fabinho – 2.9
Jordan Henderson – 1.8

Passing accuracy
Fabinho – 90.6%
Joe Gomez – 89.7%
Ozan Kabak – 89.2%
Joel Matip – 87.7%
Jordan Henderson – 87.3%
Nathaniel Phillips – 83.6%
Ibrahima Konate – 83.5%

Passes completed per 90 minutes
Jordan Henderson – 81.4
Fabinho – 78.2
Joe Gomez – 76.1
Joel Matip – 62.2
Nathaniel Phillips – 60.6
Ozan Kabak – 57.6
Ibrahima Konate – 48.2

Goals
Ibrahima Konate – 1
Joel Matip – 1
Nathaniel Phillips – 1
Ozan Kabak – 0
Jordan Henderson – 1
Fabinho – 0
Joe Gomez – 0

YNWA
I wish we had retained kabak and sold matip

Matip is like Anthony Davis, very useful but spend most of his time injured
 
Moja panic signing kuwahi kufanywa na Michael Edward na FSG yake basi ni hii ya Ben Devies.

Yani walimsajili huyu jamaa bila ya kufikiri na ndiyomana hajawahi kuonekana uwanjani.

Haya yote ni matokeo ya ujuaji na ukaidi wao.
View attachment 1810490
Mkuu King ni hivi huyu alikotoka set ya kule ipo tofauti kabisa na ya Klopp yaani design kama walivyotua Fabinho na Robertson. Kama unakumbuka hao mwamba wawili iliwachukua muda sana kua integrated kwenye match day squad hivyo same na huyu dogo Davies.

Kwa mipango iliyopo ni kwamba hauzwi unless Klopp abadili ngia anagani. Yumo kwenye mipango ya mwalimu kwenye pre season. Kingine dogo anatumia mguu wa kushoto na Klopp all along has been searching for that kind of guy.

Tumpe muda tuone. After all dili yenyewe haikuzidi £2m na ndio kwanza ana miaka 25. Hivyo hata akikwama kupata namba ana resale age.

YNWA
 
I wish we had retained kabak and sold matip

Matip is like Anthony Davis, very useful but spend most of his time injured
Huyu Kabak tutakuja kuuziwa £50m maana ana potential ya ku shine EPL.

Matip ni janga yaani hawezi kuwa mzima muda ule anahitajika na sasa ndio balaa kwani umri umesogea hivyo tutegemee janga zaidi.

YNWA
 
Kipindi Norwich wameshuka daraja nilitegemea Edwards atue mazima pale kuwanasa wafuatao..
Max Aarons RB
Emi Buendia MF
Todd Cantwell MF
Hao nilidhani kipindi kile kwa ofa za chini ya £20m tungewanasa.

Kwa sasa bei zao sokoni hazikamatiki tena.
Emi Buendia ameuzwa Aston Villa kwa £33m.
Max Aarons rumoured price ni £30m
Todd Cantwell ni £25m.

Ni vijana wa kazi kazi.

YNWA
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
Bila shaka kiongozi wao atakua Ollachuga Oc.

Lukaku kashasema anabakia Inter labda Mchina aamue kumuuza.

Sancho ni 70% anatua kwa Stretford boys.

Halaand hauzwi unless bei iwe ya kusisimua meaning ni £150m+ hapo weka mshahara wa £400k kwa wiki.

Kane haha ki ukweli kufanya biashara na yule kipara wa Tottenham hua pasua kichwa sana.

YNWA
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
We nawe ulisoma huku una kilevi kichwani nn...Nani kasema atawasajili hao wote Kwa mkupuo?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza kubeba kombe Kama hili? Unajua uzito wake kwanza? Tangu umezaliwa timu zako zote mbili hazijabeba hili zaga ..tangu ulivyokuwa Arse8 na Sasa Man Shityee na bado utahama Sana.View attachment 1809961
Vilaza kama nyie ,sina muda wa kujibu ....

Kubishana na takataka kama wewe ni matumizi mabaya ya akili ...
 
Kipindi Norwich wameshuka daraja nilitegemea Edwards atue mazima pale kuwanasa wafuatao..
Max Aarons RB
Emi Buendia MF
Todd Cantwell MF
Hao nilidhani kipindi kile kwa ofa za chini ya £20m tungewanasa.

Kwa sasa bei zao sokoni hazikamatiki tena.
Emi Buendia ameuzwa Aston Villa kwa £33m.
Max Aarons rumoured price ni £30m
Todd Cantwell ni £25m.

Ni vijana wa kazi kazi.

YNWA
Klopp alimkubali Cantwell but i didn't know its end up. Alimtaka ila naona bei na personal terms walishindwana. Tulishindwa bei ya beki wao wa kushoto Jamal Lewis tukaenda kwa Tsimikas.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom