Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dirisha bado mapema sana ila tetesi ni kwamba top target alikua Kanote ambae tayari kashatua Anfield.

Rumoured wako wengi mno ambao wanahusishwa na Liverpool kuwahitaji hivyo muda utasema.

Wanaotajwa sana ni
Patson Daka strika kutoka Zambia anakipia RB Salzburg. Huyu amepewa ruhusa timu ya Taifa akashugulikie kwanza mambo ya uhamisho.

Raphina Winger anakipiga Leeds. Huyu inasemekana Liverpool wanaangalia upepo wa bei yake na kama wahaitaji ni wengi.

Yves Bissuoma all round MF anakipiga Brighton. Huyu japo Fabrizio anasema upo uwezekano asitue kwetu kwa vile Edwards anaangalia kwingine.

Florian Christian Neuhaus huyu ni MF anakipiga pale Borussia Monchengladbach Ujeremani.

Mbappe, forward kutoka PSG.

Rodrigo De Paul MF kutoka Udinese.

Edwards kwa sasa yupo busy kuongeza mikataba ya wachezaji wafuatao.
Allison Becker.
Mohamed Salah
Virgil van Dijk
Fabio Henrique Tavares
Robertson.

Akimaliza hilo la mikataba anahamia sasa kufanya mass sales kwa baadhi ya wachezaji. Wafuatao rumoured wapo sokoni.
Origi the Cult Hero.
Shaqir to Lazio.
Grujic to Hertha Berlin.
Wilson
Keita to Atletico Madrid .
Ojo.
Woodburn.
Taikumi to Southampton .
Karius.
Chamberlin.

Muda bado upo ndugu.

YNWA

Thank you
 
Future is Bright

Liverpool Under 18 kuna balaa, hawa wachezaji watatu ni tipped kua na Big future at Liverpool. Hawa wawili Musilowski na Melkamu walichangia Under 18 kufika fainali ya FA ya juniors.

Musialowski, now 17, netted 12 times in his debut season and laid on another three assists too.

He was one of the stars of the U18s age group that made the FA Youth Cup final and proved capable of playing in all three of the front three roles - something Jurgen Klopp loves in an attacker.

Melkamu Frauendorf was another who moved to Liverpool last season at the same age. His impact has not been as obvious as Musialowski's - he managed nine goal contributions in 23 matches - but Liverpool are equally as happy with his progress.

Then there is Stefan Bajcetic, the central defender signed from Celta Vigo in January, who begun life on Merseyside with the U16s age group and towards the end of the season could be seen named among the substitutes for the U18s.

Hawa vijana wapo very highly rated hopefully in the near future tutawaona Team A.

YNWA
Kuna Huyu Dogo kutoka Ghana.. Namuona Yuko poa SANA... Ingawa sijui umri wake sahihi.. Maana Sisi waafrika kwa urongo hatujambo
 
Kuna Huyu Dogo kutoka Ghana.. Namuona Yuko poa SANA... Ingawa sijui umri wake sahihi.. Maana Sisi waafrika kwa urongo hatujambo
Huyo kama kweli tumemnasa anakwenda kucheza kwa mkopo Sporting Lisbon Ureno huku process za work permit zikiedelea.

Kwenye umri kazi sana lol.

YNWA
 
Kuna Watu wanadhani Balon D'Or inapatikana kwa kucheza Vizuri mechi 2 tu, kwasababu nakumbuka Msimu Mzima Kante anapoga mazoezi kwenye Wodi za Wagonjwa huku akirudi uwanjani anaishia kuwa mzururaji isipokuwa mechi mbili tu ndiyo alikuwa Best ile ya kule jiji la Madrid na hii Fainali.
Lakini Vichwa Mchungwa wanataka apewe Ballon D'Or.
Hata Rashford hubahatika kucheza kama Messi kwenye mechi mbili au tatu ikisha akageuka Sarpong.
Acha wivu
JamiiForums803633169.jpg
 
Kuna watu watakuja wanauliza ooh mendy ,sijui kante wako wapi
Wewe unaweza kubeba kombe Kama hili? Unajua uzito wake kwanza? Tangu umezaliwa timu zako zote mbili hazijabeba hili zaga ..tangu ulivyokuwa Arse8 na Sasa Man Shityee na bado utahama Sana.
JamiiForums803633169.jpg
 
Ndio wanataka wampe balon d’or.
Kante amebabe mmakombe yote muhimu kwaa misimu kadhaa ..hana red cards, tangu amejiunga Leicester yeye ni makombe tu..

Wakimnyima labda ni rangi yake lakini anastahili.

Na mwaka huu France wanabeba Euro.
 
Kante amebabe mmakombe yote muhimu kwaa misimu kadhaa ..hana red cards, tangu amejiunga Leicester yeye ni makombe tu..

Wakimnyima labda ni rangi yake lakini anastahili.

Na mwaka huu France wanabeba Euro.

Itakuwa umeanza kushabikia mpira juzi wewe.

Huyo Kante tukija kwenye namba ndio atazidiwa na messi.naona hapo unasema hana kadi nyekundu .

Walikuwa wakina ribery,walikuwa wakina sneider walichukua makombe yote lakini hawana ballon d’or .

Sasa huyo kante hata tu kwenye kikosi bora cha msimu hayupo atashindaje ballon d’or ?

Tuna waacha muendelee kupiga kelele lakini huyo bado sana kuchukua ballon d’or.

Kikosi cha chelsea hakina maajabu,kule klabu bingwa dunia safari hii mtaenda tena kutia Aibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom