Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Gini choose to join PSG instead of Barca. Ameamua kwenda kucheza na Neymar badala ya Messi. Ameahidiwa mshahara mara mbili zaidi ya ambao angepata kule barcelona.
 
Huyu ni tamaa tu ,najua hata liverpool alikuwa haridhiki na mshahara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa umeanza kushabikia mpira juzi wewe.

Huyo Kante tukija kwenye namba ndio atazidiwa na messi.naona hapo unasema hana kadi nyekundu [emoji3].

Walikuwa wakina ribery,walikuwa wakina sneider walichukua makombe yote lakini hawana ballon d’or .

Sasa huyo kante hata tu kwenye kikosi bora cha msimu hayupo atashindaje ballon d’or ?

Tuna waacha muendelee kupiga kelele lakini huyo bado sana kuchukua ballon d’or.

Kikosi cha chelsea hakina maajabu,kule klabu bingwa dunia safari hii mtaenda tena kutia Aibu.
Club bingwa tunabeba Ile ..na Supercup tuna nyanyua kwapa ...hii Chelsea kwa Sasa siyo ya kukutana nayo mkuu. Utapigwa uchakae..

Kuhusu Kante anastahili kabisa sema wazungu walivyo wabaguzi watamnyima.

Na akibeba EURO plus Clab Bingwa dunia na Supercup ..uuwii sijui mtaweka wapi Sura zenu.

#KANTETOBALLON'DIOR[emoji1][emoji1][emoji1][emoji108]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
Wewe Chelsea kwa Sasa ni club ambayo mchezaji yeyote atataka kuja. Si mlibeza usajili wetu wa mwanzo? Sasa hivi mtajifukia kabisa.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
Umekurupuka.wapi imesemwa kuwa tunawasajili wote hao?
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watoto walee ...

Mimi napita nasemaa tu hiiiiuii
 
Klopp alimkubali Cantwell but i didn't know its end up. Alimtaka ila naona bei na personal terms walishindwana. Tulishindwa bei ya beki wao wa kushoto Jamal Lewis tukaenda kwa Tsimikas.
Mimi nawashangaa mnavo ulizia usajili kwa Klopp na mnajua asipo mpanga Mane au Milner wakinuna tu anawaomba msamaha atasajili awapange wapi?
Kwamba tulivyo ambiwa Fekir mgonjwa mmesahau
 
Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anfield to be 61,000 seater.

Liverpool FC are expected to be given the green light for plans to expand Anfield to a 61,000 seater stadium over the next 12 months.

The City Council have recommended the plans to increase the Anfield Road end’s capacity, which will go before a committee next week.

By the end of construction, the expanded stand will look similar to what the Main Stand currently looks like and will increase Anfield’s capacity to a whopping 61,000.

The development will move Anfield ahead of Manchester City’s Etihad and Arsenal’s Emirates in terms of capacity, leaving only Spurs’ stadium, West Ham’s London Stadium and Old Trafford as larger than Liverpool’s in the country (club football).

Target date for completion is summer 2023

Plans for the stand will take capacity to 61,000

Cost of around £60 million

Kwenye haya mambo i salute FSG.

YNWA
 
Kabisa aisee

Wametutoa kwenye 45,000 seaters kama sikosei
Long term project. Wakiongeza kitu kidogo in the pitch watatufurahisha.
 
Hivi haujapata habari Klopp anapewa £50m za usajili. Anatakiwa azichange zifike angalau £150m kwa kuuza wachezaji.
Hilo anaweza kwani ni hivi..
Grujic £20m
Shaqir £15m
Wilson £15m
Origi £15m
Keita £25m
Ojo £5m
Woodburn £2m.
FSG £50m.

Kazi ipo hawa FSG pamoja na kupata mkwaja kutoka kwa mwekezaji mpya bado wanaleta ubahiri.

Chelsea tetesi ni kwamba wanatarajia kufungua mazungumzona Dortmund kuhusu Halaand bei ya kumnunua dogo itakua sio pungufu ya £150m bila mshahara unaotajwa kua ni £350 kwa wiki.

FSG wawe serious vinginevyo hata Klopp magic won't save us this time.

Chelsea wanajiimalisha, Pep nae soon anazama sokoni with £200m mkononi, Manchester United nao same plan. Hivyo hatuna namna lazima mwalimu apewe supports sokoni.

YNWA
 
Gossip Watch.

Jurgen Klopp and Michael Edwards are both impressed with young FC Porto midfielder Fabio Vieira.

The youngster, who was voted Player of the Tournament at the U21 Euros just gone, is out of contract in 2022, which boosts our chances of getting him for a good price.

YNWA
 
Money Talks 😂😂😂
According to various sources, PSG tabled a contract which will see Wijnaldum pick up twice as much as he would have in Catalonia.

More specifically, reputable Dutch outlet De Telegraaf claim the midfielder will earn wages of around £160,000 per week in the French capital

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom