Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuende pole pole

Next match upo na man utd ,matokeo yake nadhan unajua ...

Lecister kakuzid point 6 ,unatakiwa kushinda match 3 ,yeye apoteze match 3 ...


Liverpool ya sasa kushinda match 3 na team ambazo zinapigania kushuka daraja ,majibu unajua ..

TableView attachment 1778383
Leicester city hatashiriki CL
too bad Westham kushiriki Europa ni mafanikio makubwa kwao
nguvu za kushiriki UCL kwa hizo timu mbili zimeshafika ukingoni
Liverpool mshindwe wenyewe
 
Rangers coach anatufaa?



YNWA
Muoneni yuleee..
IMG_20210509_142423.jpg
 
Hatimae twaachia ubingwa wetu wa EPL.

Pain killer hongereni sana kwa ubingwa wa EPL 2020 - 2021.


Msibweteke sana twaja.

YNWA
 
Really, timu itarejea tu na tutarudi kwenye furaha yetu ya siku zote
Kwa namna mambo yanavyokwenda kwa baadhi ya target naona tunarejea.

Nimesoma Kanote muda wowote anasaini.
Nimesoma Yves ameomba timu yake imhruhusu aodoke Juni 2021.

Muda utasema.
Japo nimesoma Gini anampango wa kusaini eti miaka 2 lol huyu kwa kweli aodoke huko Barcelona kunamtosha.

YNWA
 
Kwa namna mambo yanavyokwenda kwa baadhi ya target naona tunarejea.

Nimesoma Kanote muda wowote anasaini.
Nimesoma Yves ameomba timu yake imhruhusu aodoke Juni 2021.

Muda utasema.
Japo nimesoma Gini anampango wa kusaini eti miaka 2 lol huyu kwa kweli aodoke huko Barcelona kunamtosha.

YNWA
Mm naona aendelee kuwepo tu naamini bado ni msaada kwa sehemu fulani kwa timu, hii ya kuuza uza wachezaji wakati sisi huwa tunaishia kusajili kwa tetesi tu hivyo na hatusajili imaetugharimu sana msimu huu, tulimtoa Lovren matokeo yake mabeki wote pacha tukaanza kuaangaika na akina Henderson kuwa mabeki mwisho tukawa njia kila timu inajipigia tu
 
Yani sisi wakufungwa mpaka na Brighton na Furham nyumbani, hahahahahah hadi Chelsea, inasikitisha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom