Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

At the Club, we have Jones, Ben Woodburn, Rhys, Harvey Elliot, Neco, Billy K.........

at this rate, tusishangae hata hao vijana nao wanapotea,....... maana so far naona Jk keshaanza kumpiga bench Jones mazima mazima in favour of Milner,

maana ukijaribu kulinganisha club zingine (chelsea, arsenal, utd) unaona wenzetu atleast kuna vijana wanatembea nao.....

could it be Klop is overrated kwenye eneo la kuwakuza vijana? forget about TAA for a moment!
Klopp amesema wachezaji wengine wamekua ni wahanga wa circumstances hivyo ana imani msimu mpya akiwa na kikosi kamili watakua msaada kwake.

YNWA
 
Gossip Watch.

AS Roma midfielder Lorenzo Pellegrini is edging closer to a move to Liverpool, according to Todo Fichajes.

Roma want £40m. Mourinho is okay with the deal.

YNWA
 
Gossip Watch.

Liverpool are reportedly eyeing up a transfer deal for Barcelona defender Samuel Umtiti ahead of the summer.

The Reds are supposedly aware of Barca’s desire to offload the France international, and are interested in him as an option to strengthen their depth at the back, according to Todo Fichajes.

Barcelona want £7.5m...

Shinda ya huyu jamaa ni majeruhi atakua Matip mwingine.

YNWA
 
Kama una account ya BETPAWA ingia hapa ujaribu bahati yako
 
Hata tununue vp, hatuwezi tena, kufikia kiwango cha misimu miwili iliyopita. Tumejiweka kwenye mazingira magumu kwenye usajili unaokuja.
Sioni ni kwa namna gani tutaweza kuingia top 4. Kwa hali ilivyo, hata europa tunaweza kukosa. Sasa kwa mazingira haya unamshawishije mchezaji wa viwango vya kimataifa kuja kucheza carabao na FA?

City na Chelsea kwa sasa wanatimu nzuri, ndio wanakwenda kuwa washindani kwenye ubingwa wa premier league next season.
Sisi Kop, United, Arsenal na kina Spurs ni wasindikizaji. Huitaji miwani kuona hili. Liverpoll inahitaji kufanya marekebisho kwenye maeneo mengi.

Bobby, Ox, Milner, Origi, Shaq, wote hawa waingizwe sokoni.

Kwa zile game nilizoona city na chelsea walivyocheza nusu fainali ya ucl, tuna safari ndefu sana. Hata mpira tunaocheza kwa sasa hauvutii japo wakati mwingine tunapata matokea.
Wewe timu gani ikimkosa mchezaji tegemeo inakuwa utopolo?! Yani kuumia kwa VvD na Le Captain timu inakuwa utopolo namna hii. Ni kama ilivyo kwa Aston Villa. Kuumia kwa Grealish tu timu yote imepoteza balance. Klopp anakiburi kuliko kile cha Mou japo yeye anaonyesha kuwa na kauli za kistaarabu.

Wallah tunapitia kwenye kipindi kingine kigumu. Tujiandae kuwa sugu.
 
Usife moyo ndugu.

Tunaishi kupambana.

Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.

Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.

Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.

Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.

Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.

Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.

YNWA
 
Huwezi shabikia man city kwa sababu unajua alichowafanya ...

Any way sisi kama city tunafocus kwenye game ,Tarehe 29 may tutapasuana na hao watu wa darajani kadri ya uwezo wetu ...

Kwa namna yeyote ile lazima Chelsea afe...

Unajisikiaje leo kubamizwa nyumbani kwako?
 
Klopp's effect.

Kwa asilimia kubwa kiburi chake kimemkatili.
Una devies una phillips una kabak unashindwa nini kumpanga devies tujue ni mbovu au lah. Badala yke una hangaika na viungo wacheze mabeki.

Klopp ni muoga wa rotation.
Shaqiri, Curtis hawastahili anachowafanyia ni wazi dau zuri likija wanasepa na nitawaunga mkono. Kuliko kupoteza career yao kirahisi.

Inabidi urisk something to get something. Pep last season alipata injuries na aliyeseka sana ila alikomaa na mbinu mpya na rotation ila klopp walaa 4-3-3 same same players same same tactics same same formation.

Tupo na southampton usiku huu... wacha tuendelee kukomaza mioyo.

YNWA
 
Usife moyo ndugu.

Tunaishi kupambana.

Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.

Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.

Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.

Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.

Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.

Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.

YNWA
Klop katusaidia sana, ila ingefaa wampe mkono wa kwaheri........

hiki kikosi sio cha kukosa top 4 jamani, zile game 6 tumepigwa anfield kocha hataki kubadilika,mnakubali vipi kuendelea nae!......

over 70% ya uchezaji wetu mbovu umechangiwa na Klop,
 
Usife moyo ndugu.

Tunaishi kupambana.

Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.

Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.

Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.

Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.

Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.

Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.

YNWA
Hizi ni hopeless tu kuirudisha Liverpool Ile ya msimu uliopita kwa kutegemea wachezaji wale wale ambapo ukiangalia umri ushawatupa mkono na makombe yote muhimu washabeba ni ngumu Sana. Mpeni Tena Klopp misimu mitatu Tena kuijenga hii Liverpool..
#CFC
 
Huwezi shabikia man city kwa sababu unajua alichowafanya ...

Any way sisi kama city tunafocus kwenye game ,Tarehe 29 may tutapasuana na hao watu wa darajani kadri ya uwezo wetu ...

Kwa namna yeyote ile lazima Chelsea afe...

Ndugu uwezo wa kumfunga Chelsea kwa sasa huna usijisumbue.
 
Chelsea kutufunga Mara mbili mfululizo inawezakuwa faida kwao au kwetu may 29 final CL ...

Hapa sitakuwa na maneno mengi ila final kila kitu kitaonekana mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom