ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Sisi msimu ujao tunataka zile ribbons za kombe la EPL ziwe nyekudu tenaaaaaaaaaaa....
Europa hatuna ishu.
YNWA
Ha ha ha ha ha ha sawa mkuu. Karibu leo tuangalie kandanda safi kati ya Chelsea na Real Madrid🤪
