Leo ndio nimeamini kuwa wewe kenge unashinda migodin na sururu kupasua mawe ...
Huna unalojua kuhusu ulimwengu wa soka kwa sasa ,shukuru jf tu
....
Sasa kama ulikuwa hujui hata lililotokea Jana OT harafu unakuja kutuvimbia wanaume kuhusu mpira ,wewe si takataka ...
Nikikuwa najua matakataka ni man u kumbe hata wewe ni bonge la taka aisee.....
huwa najiuliza hawa watu wanaangalia mpira sawa na huu tunaouangalia sisi.
Magoli yatafungwa tu hata yasi fungwe na mtu mmoja ila yatafungwa.
Jota nimfungaji mzuri zadi cha ajabu amepotea ghafla nnamashaka Salah anawaroga wenzie.😂😂😂
Firminho hata awe na goli hafungi.
Hivi mnaotaka asicheze hamuoni hata pasi anazo toa?
Nilijua huku fomula inambeba vile anajua kufunga basi atafunga sanaaa.Kuna Bandiko moja hapa Mtaalamu MosDef alisema Diogo Jota ni Very Inconsistent ila wengi hawakumuelewa isipokuwa Wachache.
Nadhani umepata jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika.
Lakini akiwa kwenye form anakuwa Mchezaji mzuri sana.
Hahahaha Sasa mkuu si kunakupishana na taarifa aise ..Mambo mengi na muda ni mchache ..wewe nope update Mimi Chelsea nataka UEFA tuLeo ndio nimeamini kuwa wewe kenge unashinda migodin na sururu kupasua mawe ...
Huna unalojua kuhusu ulimwengu wa soka kwa sasa ,shukuru jf tu
....
Sasa kama ulikuwa hujui hata lililotokea Jana OT harafu unakuja kutuvimbia wanaume kuhusu mpira ,wewe si takataka ...
Nikikuwa najua matakataka ni man u kumbe hata wewe ni bonge la taka aisee.....

Klopp and crew waliamini watamfanya awe tishio na kua consistent.Kuna Bandiko moja hapa Mtaalamu MosDef alisema Diogo Jota ni Very Inconsistent ila wengi hawakumuelewa isipokuwa Wachache.
Nadhani umepata jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika.
Lakini akiwa kwenye form anakuwa Mchezaji mzuri sana.

Alimuotea tu bayernKweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kesha legeza mashart huyo.Developing news.
Jose Mourinho has been appointed Roma head coach on a three-year deal set to begin at the start of next season.
The special one is back.
YNWA
Yaaani huyu jamaa anaelekea kufundisha Sunderland aisee yaaani ka drop like hell.Kesha legeza mashart huyo.
Kuna siku nimeona anamuwakia yule beki 2 wake jamaa kama sio yeye nikahisi kitanuka masiku si mengi inaonekana wachezaji walisha mpuuza.
Juzi nimemuona Dele Ally karusishwa kundini
Bale mbona alikuwa bek 3 hapohapo totenham kabla hajawa wingaYaaani huyu jamaa anaelekea kufundisha Sunderland aisee yaaani ka drop like hell.
Carragher anasema ni old school amepitwa na wakati na hataki badilika. Kwa mfano unatarjia mchezaji kama Bale kweli asaidie ku defend wakati hilo hajawai fanya.
Wachezaji walimchoka sana.
YNWA
Dogo Bale is made of biscuits Kaka yaani kumpa hayo majukumu ni kujichosha aisee.Bale mbona alikuwa bek 3 hapohapo totenham kabla hajawa winga