Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja na mapungufu yake tusimbeze kiasi hicho anaumuhim pale Liverpool

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Carragher alisema klopp akiondoka LFC,. Baada ya muda mfupi mashabiki wataanza FSG out, huyu mtu ana nguvu ndani ya Liverpool.
Hii alizhngumzia kwa sasa.

Nami naungana nae, embu fikiria mpaka sasa kuondoa GINI hakuna aliyesema anaondoka licha ya matokeo mabaya na nafasi hafifu ya kushiriki CL next season na bado wachezaji wanamfuata (Konate from RB).
 
Alcantara tulipigwa.
Jota tumepigwa..
Hii timu tumepigwa...
Haha yaaani Ollachuga Oc unapataga wapi nguvu hii yaaani wewe unajipoza kuwapoda wachezaji wetu huku huwaoni Kepa, Kai na Werner yaaani hao kwa ela mliotoa kwa kila mmoja mmepigwa ela ndefu sana.

Thiago tulitoa advance usd ya 5m aafu usd15m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka minne.

Jota tulitoa usd10m advance aafu usd30m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka miaka minne

Edwards ni habari nyingine ndugu.

YNWA
 
Gossip Watch.

Liverpool has also submitted a £35m bid for Yves Bissuoma and which is a big blow to Arteta's hopes of landing the holding midfielder .

Klopp is also eying a move for Patson Daka who is tipped to replace Sadio Mane if he leaves Anfield in the summer.

Signing the trio will be a massive scoop for Liverpool as they aim to dethrone League leaders Manchester City from the helm next season and mount a serious title challenge.

Kanote, Yves na Daka jamani tutakua hatareeee sanaaaa msimu ujao. Come on Edwards make this happen.

YNWA
 
Why we need to overhaul the usual front 3 guys.. 👇Here the numbers dont lie.

At present Salah as a mightily impressive 29-goals to his name this season, while Mane and Firmino have struggled in contrast.

Mane has just 13 strikes so far, while Firmino has provided a disappointing 6 goals.

YNWA
 
Gossip Watch.

Liverpool has also submitted a £35m bid for Yves Bissuoma and which is a big blow to Arteta's hopes of landing the holding midfielder .

Klopp is also eying a move for Patson Daka who is tipped to replace Sadio Mane if he leaves Anfield in the summer.

Signing the trio will be a massive scoop for Liverpool as they aim to dethrone League leaders Manchester City from the helm next season and mount a serious title challenge.

Kanote, Yves na Daka jamani tutakua hatareeee sanaaaa msimu ujao. Come on Edwards make this happen.

YNWA
Kwa mbinu zisizo badilika za kocha nishakata tamaa
 
Why we need to overhaul the usual front 3 guys.. Here the numbers dont lie.

At present Salah as a mightily impressive 29-goals to his name this season, while Mane and Firmino have struggled in contrast.

Mane has just 13 strikes so far, while Firmino has provided a disappointing 6 goals.

YNWA
firmino aondoke, tunamshukuru kwa mchango wake!
 
Kwa mbinu zisizo badilika za kocha nishakata tamaa
😂😂😂😂Kwa upande mwingine ni mbinu zilezile ila wachezaji wa ku execute at 100% ndio shinda ndugu.

Kwa mbinu hizo hizo na wachezaji kikosi kamili tumepata vikombe vya heshima.

Tumpe benefits of doubt apate kikosi kamili cha kwanza na tutarudi kileleni.

YNWA
 
Haha yaaani Ollachuga Oc unapataga wapi nguvu hii yaaani wewe unajipoza kuwapoda wachezaji wetu huku huwaoni Kepa, Kai na Werner yaaani hao kwa ela mliotoa kwa kila mmoja mmepigwa ela ndefu sana.

Thiago tulitoa advance usd ya 5m aafu usd15m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka minne.

Jota tulitoa usd10m advance aafu usd30m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka miaka minne

Edwards ni habari nyingine ndugu.

YNWA
Mkuu unaona Werner hafungi lakini analeta shida kwa wapinzani mpaka wanachanganyikiwa. Kai msimu ujao atakuwa mwiba kwa timu pinzani na Kila mtu anajua. Uwezo wa Kepa na Allison kwa Sasa haupishani kabisa. Tena Kepa anazidi kutulia zaidi.

Kwa ufupi Chelsea inaenda kuwa timu tishio zaidi barani Ulaya na dunia kwa ujumla...

Wakati huo nyie Liverpool kwa Aina ya wachezaji mlonao, Naona kabisa mtaload miaka kadhaa kuja kuunda Tena Frontline matata Kama ya Mane, Firmino na Salah ..maana Hawa washachoka..

Klopp keshafeli na ni muda wa yeye kusepa ..maana huwa anaifanya timu kuwa juu halafu anaiporomosha Tena, angalia Dortmund....
#CFC
 
😂😂😂😂Kwa upande mwingine ni mbinu zilezile ila wachezaji wa ku execute at 100% ndio shinda ndugu.

Kwa mbinu hizo hizo na wachezaji kikosi kamili tumepata vikombe vya heshima.

Tumpe benefits of doubt apate kikosi kamili cha kwanza na tutarudi kileleni.

YNWA
Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.
Mtalaumu wachezaji tu ila mbinu ndo msiba mkubwa.

Sasa kocha yupo na mchezaji misimu mitatu lakini hajui kama atamsaidia kwenye mapungufu mpaka anampanga Hendason beki kweli?
 
Kuniambia nisubiri 30 yrs ni kunikosea heshima...Next SEASON...NARUDI KWA FUJO MKUU..MWAKA HUU NAKUBALI NIMEPOTEZA...BT TOP FOUR ..NIPO...MARK MY WORDS.
Muujiza unaohitajika kwa Liverpool kuingia TOP 4 ni kama ule wa Manchester City kuukosa ubingwa.

Yote yanawezekana ila ni kwa miujiza.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
The Reds have always won and will continue to win. The only problem I'm going to get upset about is that Salah might leave and it'll be very sad (((
 
Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.
Mtalaumu wachezaji tu ila mbinu ndo msiba mkubwa.

Sasa kocha yupo na mchezaji misimu mitatu lakini hajui kama atamsaidia kwenye mapungufu mpaka anampanga Hendason beki kweli?
Nafikiri ni 50/50 blame. Ila kutoka january - march klopp anabeba lawama regardless of injuries ila huwezi kua na phillips bado unaweka hendo na faby cbs. Baada ya kuwasajili kabak na davies huku una phillips ambaye alishacheza mechi 3-4 kwa kiwango kizuri ila bado tu unakomaa faby & hendo beki za kati.

Ila hii April mghj aisee kuna mechi players wametuangusha sana tu. Mf. Mechi vs Madrid (2nd leg) leeds na newcastle hapo huwezi kumlaumu kocha kwa ujinga wa kukosa magoli ya wazi.

Kama tungekua na front three ya misimu miwili nyuma msimu huu bado tungefanya vyema.

Bado binafsi nina imani na klopp ile high line inahitaji watu kweli kweli hasa hasa CB wenye attributes zote za cb.

Tunahitaji 3-4 signings... ili kurudi kwenye track. Natamani tuqualify Europe league sijui kwa nini hasa ila natamani tuende huko.
 
Mkuu unaona Werner hafungi lakini analeta shida kwa wapinzani mpaka wanachanganyikiwa. Kai msimu ujao atakuwa mwiba kwa timu pinzani na Kila mtu anajua. Uwezo wa Kepa na Allison kwa Sasa haupishani kabisa. Tena Kepa anazidi kutulia zaidi.

Kwa ufupi Chelsea inaenda kuwa timu tishio zaidi barani Ulaya na dunia kwa ujumla...

Wakati huo nyie Liverpool kwa Aina ya wachezaji mlonao, Naona kabisa mtaload miaka kadhaa kuja kuunda Tena Frontline matata Kama ya Mane, Firmino na Salah ..maana Hawa washachoka..

Klopp keshafeli na ni muda wa yeye kusepa ..maana huwa anaifanya timu kuwa juu halafu anaiporomosha Tena, angalia Dortmund....
#CFC
Yaaani Klopp tunae wala haodoki mlisema ana nuksi na Champions League mwishoe mkawa kimya alivyoichukua na sasa mnasema eti mambo ya Dormond.

Wewe unasema Kai atakua moto msimu ujao sisi tunaongelea sasa yajayo yaache ndugu kumbali pale kwa Kai £70m na mshahara wa £170,000+ kwa wiki mlipigwa.
Kwamba Werner analipwa £200,000+ kwa wiki sio kuleta magoli mbali ni kusumbua mabeki. Khaa huo utetezi haupo Mkuu. Yule alinunuliwa alete magoli kwa msimu 25+ na sio kingine.

Huna uwezo wa kutawala hio soka ya sijui Dunia sijui Ulaya maana baada ya boss kubwa kutoa £200m usajili uliopita sidhani kama atatoa tena ela dirisha lijalo labda muuze wachezaji aisee.

Sisi Liverpool tunarejea kileleni msimu ujao mapema kumbali hilo utakua na amani maana hutaamini.

YNWA
 
Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.
Mtalaumu wachezaji tu ila mbinu ndo msiba mkubwa.

Sasa kocha yupo na mchezaji misimu mitatu lakini hajui kama atamsaidia kwenye mapungufu mpaka anampanga Hendason beki kweli?
Mkuu pigo alilopata Klopp na back line sio pigo nyepesi hata kidogo aisee tena msimu ukiwa bado mbichi kabisa. Yaani beki chaguo la kwanza la pili na la tatu wote majeruhi sio ishu dogo kwa Klopp. Ukitazama benchi wapo watoto ambao hawana uzoefu wa kucheza EPL wala UCl zaidi ya mickey cups yaaani huu msimu is Klopp worst nightmare kama Kocha. Am double positive he is planning for next season hii ya sasa ni kumaliza ratiba za Ligi regardless where we are finishing.

Hendo kucheza beki ni kwa vile aliona experience was far greater than the risk involved even though he failed out and out with Hendo as CB.

Ki ufupi msimu huu almost all the boys have played below the usual standards. Hakuna mwenye afadhali.

They have failed miserably. Klopp has failed miserably. But the good thing its not the end of the world. We live to fight another day. That the beauty of football man.

YNWA
 
Nipigieni ile takataka man utd sisi tutangaze ubingwa mapema tukiwa bar tunakunywa bia...

Vinginevyo tunaenda kuvunja lile daraja LA London next week ,na kuchukua EPL kwa nguvu ...
 
Liverpool Injuries, Mtatoboa kweli msimu huu?
1619883282447.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom