King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,367
Nani aliyemroga Mane?
Lazima Alaumie sasa anaonaje makosa mechi ya kwanza hafu anayarudia mechi ijayo?Nafikiri ni 50/50 blame. Ila kutoka january - march klopp anabeba lawama regardless of injuries ila huwezi kua na phillips bado unaweka hendo na faby cbs. Baada ya kuwasajili kabak na davies huku una phillips ambaye alishacheza mechi 3-4 kwa kiwango kizuri ila bado tu unakomaa faby & hendo beki za kati.
Ila hii April mghj aisee kuna mechi players wametuangusha sana tu. Mf. Mechi vs Madrid (2nd leg) leeds na newcastle hapo huwezi kumlaumu kocha kwa ujinga wa kukosa magoli ya wazi.
Kama tungekua na front three ya misimu miwili nyuma msimu huu bado tungefanya vyema.
Bado binafsi nina imani na klopp ile high line inahitaji watu kweli kweli hasa hasa CB wenye attributes zote za cb.
Tunahitaji 3-4 signings... ili kurudi kwenye track. Natamani tuqualify Europe league sijui kwa nini hasa ila natamani tuende huko.
huwa najiuliza hawa watu wanaangalia mpira sawa na huu tunaouangalia sisi.Kwasasa ni Salah peke yake ndiye mwenye uwezo wa kufunga goli ndani ya Liverpool but utasikia auzwe auzwe auzwe auzwe! Sasa hayo magoli afunge Origi au?
Mkuu ungetulia kwanza mbona ungeandika vizuri.Lazima Alaumie sasa anaonaje makosa mechi ya kwanza hafu anayarudia mechi ijayo?
Guardiola atabaki juu yule ni mwalimu si msimamizi Starling mechi kadhaa hachezi na tim inasonga mbele na ndio Sala wao kule.
Njo kwa Klopp sasa amkose Sala ndo inakua kisingizio chake.
Foden keshakua Woldclass na ameazishwa huku tunamuona
LEAGUE ITABAKI KUA YA GUARDIOLA MPAKA AONDOKE.
Mkuu hiki unachosema hapa ni SAHIHI ASILIMIA 100 ndugu. Hili limesemwa na wana Kops wengi tangu Klopp ametua limekua likisemwa mara nyingi mpaka lakaleta makundi wengine wanajiita Halisi nk.Lazima Alaumie sasa anaonaje makosa mechi ya kwanza hafu anayarudia mechi ijayo?
Guardiola atabaki juu yule ni mwalimu si msimamizi Starling mechi kadhaa hachezi na tim inasonga mbele na ndio Sala wao kule.
Njo kwa Klopp sasa amkose Sala ndo inakua kisingizio chake.
Foden keshakua Woldclass na ameazishwa huku tunamuona
LEAGUE ITABAKI KUA YA GUARDIOLA MPAKA AONDOKE.
Mechi ya Liverpool vs Manchester United imeahirishwa.
Pep atakua hatangazi ubingwa leo.
YNWA
Klopp aaminicho kimemgharimu msimu huu,.Lazima Alaumie sasa anaonaje makosa mechi ya kwanza hafu anayarudia mechi ijayo?
Guardiola atabaki juu yule ni mwalimu si msimamizi Starling mechi kadhaa hachezi na tim inasonga mbele na ndio Sala wao kule.
Njo kwa Klopp sasa amkose Sala ndo inakua kisingizio chake.
Foden keshakua Woldclass na ameazishwa huku tunamuona
LEAGUE ITABAKI KUA YA GUARDIOLA MPAKA AONDOKE.
Magoli yatafungwa tu hata yasi fungwe na mtu mmoja ila yatafungwa.
Jota nimfungaji mzuri zadi cha ajabu amepotea ghafla nnamashaka Salah anawaroga wenzie.
Firminho hata awe na goli hafungi.
Hivi mnaotaka asicheze hamuoni hata pasi anazo toa?




ety anawapiga misumari??Ok sisi tunachojua Ni kwamba hamkujiandaa ndo maana mmeamua kuwatuma mashabiki wenu wavuruge ratibaKama vipi tukakipige hata kwenu hapo, ila kwa vyovyote leo mlikua hamtoki
Wee waangalie hali zao huamini kama ndo waliokua wanashindana kufunga.ety anawapiga misumari??
Sisi msimu huu tumekumbali yote aisee.Kama vipi tukakipige hata kwenu hapo, ila kwa vyovyote leo mlikua hamtoki
Nimegundua we jamaa ni boya kinoma, huna taarifa na wala hujui kutafta taarifa, unakimbilia JF as if hakuna vyanzo vingine vya taarifaOyaaa nyie kuku ..mlipigwa na wale nyumbu? Naona mpo mpo tu
Sisi msimu ujao tunataka zile ribbons za kombe la EPL ziwe nyekudu tenaaaaaaaaaaa....Kwenye Uropa msimu Ujao.
Juventus, Borussia Dortmund, Liverpool na Tottenham. Nani atakuwa kidedea?
Kwani game haikuchezwa mkuu? Dah Nini kimetokea Hadi game kutochezwa? Au ndo Mambo ya superliga ..Nimegundua we jamaa ni boya kinoma, huna taarifa na wala hujui kutafta taarifa, unakimbilia JF as if hakuna vyanzo vingine vya taarifa
Hujui hata game haikuchezwa? Na kelele zote unazopiga humu kumbe uko mtupu kichwani?






Leo ndio nimeamini kuwa wewe kenge unashinda migodin na sururu kupasua mawe ...Kwani game haikuchezwa mkuu? Dah Nini kimetokea Hadi game kutochezwa? Au ndo Mambo ya superliga ..
Sema Nini Kama ikichezwa nipigieni zile nyumbu maana hata UEFA msimu ujao hampo
#CFC![]()