King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Kwani England inawakilishwa na Liverpool tu
Mancity kashinda 2-1 na marudiano wataendelea kushinda
Chelsea kesho tunamfumua huyo Porto ndani nje
UCL semifinals itakuwa haina Liverpool tu! PERIOD
hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......
ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Haya maneno unaweza kuyameza?Kipindi kile. Klopp uoga ulimzidi. Kuwachezesha faby na Hendo mabeki ilikuwa ni Kosa kubwa Sana. Waamini hao hao madogo hizo ndio sehemu zao kiasili. Ona Sasa philips jinsi alivyo jembe hata yule dogo William ni muda tu. Mpe nafasi utaona sukari yake. Sasa mido imetulia tuli. Mbele mwanangu dogo jota anatupa raha tu. Wamlete huyo Zidane tumfanye vibaya..... Maana haiwezekani fainali ifanyike home ground Instabul halafu tusiwepo
Jana Real Madrid were the better team in every aspect and Liverpool played below average kwa kweli.hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......
ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Sidhani kama tunapaswa kuendelea na Keita.So sad he is going without any remarkable good memory at Liverpool...We can no longer keep on waiting for him to click..Simply his signing didn't meet our expectations...
Uzuri R. Madrid na Liverpool ni kwamba zote zinacheza mchezo wa kufunguka na kupress zaidi so umakini wa wafungaji ndo unaoamua mchezo maana timu zote mipira inafika mbele so bado mechi ni ngumu. Ila Liver wasijiaminishe kuwa wanaweza fanya come back kama walivyowafanyia Barca.Tumefungwa nakubali....LAKINI KAA MKUJUA HIZI NI DK 90...
BADO 90 NYINGINE,NA WAMEFANYA KOSA KUNIPA GOLI LA UGENINI....
TIME WILL TELL...ynwa
Yes, team haitupi matumaini aise. Halafu coach hajiamini. A winning team anaibadili mno. Angechezesha same same lineup iliyocheza against Arsenal abadili system. Sio daily 4-3-3. Firmino na Jota Wote ndan. Thiago Fab na Milner ndan. Game kama hizo zinahitaj mature players.Ukiona Mtu kama mimi KING_NGWABA nimeacha kumlaumu Kocha na Mchezaji mmoja mmoja kama ilivyokuwa zamani ambayo ndiyo sifa yangu kuu hapa basi ujue kuna Kitu cha kujiuliza.
Simple and Clear! Timu lote ni bovu hakuna aliye na Afadhali, hivyo ukimlaumu Mchezaji mmoja eg. Keita, Salah, Firmino, Mane, Gini, TAA, Alison, Hendo, Thiago etc. Ni kumuonea tu.
posibility ya city kuvuka ni ndogo mkuu...... kwa wanaojua cl hili lipo wazi....Enewey! Hii Timu itarudi kuwa sawa na Real wawe makini na 2nd Leg tuna goli la ugenini kule.
Same tu Man City kuna uwezekano wa kulijutia goli walilofungwa na Dortmund jana.