Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cc tuko nusu fainali tunawasubiri endapo mtafanikiwa kuvuka hiko kiunzi cha porto na timu yenu ambayo ukimwondoa ngolo kante umeizika jumlajumla
nusu fainal ip tena jaman kwan ushasahau kwamba nyie mshakua shamba la bibi kila mtu anajilia
 
Adjustments.jpg
 
Angalia huyu naye ..umesahau mlikula bao tatu Pepe Reina anashikwa shikwa na Didier Drogba anageuzwa geuzwa kama chapati? Kweli nyie ndo mamluki wa juzi kati mmekuja baada ya liverpool kupata mafanikio.
#CFC
Kweli nyie noma mnakumbuka ya upande mmoja tu, liver hajawatoa ucl nyie?
 
Top four ya moto sana msimu huu

1.Man City
2. Manchester Utd
3.Chelsea
4.Spurs/Leicester city/US and/or other midtable or bottom table club

Kimbembe kipo , Europa inanukia nukia hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom