Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
Kwaio sisi ndo tulikua clinical zaidi kwenye finishing?Leipzig hawapo clinical kwenye finishing. Wala hata sijashangaa.
Kwaio sisi ndo tulikua clinical zaidi kwenye finishing?Leipzig hawapo clinical kwenye finishing. Wala hata sijashangaa.
Hata nyinyi hampo clinical lakini si kama wao.Kwaio sisi ndo tulikua clinical zaidi kwenye finishing?
Mkuu naona unawachoza mashetani wekunduHata nyinyi hampo clinical lakini si kama wao.
Huyo Porto tunapiga nje ndani. Subiri uone.Kibonde? Mtu alikula RED card na akafuzu mbele ya braza mwenye balon D'or zake 5
Sawa mkuu, tutarudi hapaHuyo Porto tunapiga nje ndani. Subiri uone.
Defending wote mnaacha nafasi kubwa nyuma.Mkuu naona unawachoza mashetani wekundu
If finishing was the case what about deffending?
Kukabia juu ni mfumo wa timu inavyocheza, swala la kuzuia haijalishi unaacha nafasi ama hauachi kama ni mbovu hata mkipaki bus mtatobolewa tu,Defending wote mnaacha nafasi kubwa nyuma.
Ndo maana mkikutana na timu zinazopiga counter hamtoboi.
Our front boys need thier shooting mojos back ASAP only then we are safely landing at Istanbul.Istanbul tena, tuna kibanda pale, mashabiki ndo usipime yan waturuki wa kumwaga ni wanetu toka siku ile
Hata Manchester City wana defend kama sisi pazuri ni pale anao wachezaji wazuri na wenye uelewe mkubwa kusoma mchezo.Defending wote mnaacha nafasi kubwa nyuma.
Ndo maana mkikutana na timu zinazopiga counter hamtoboi.
I see this coming bro, a 7th on the champions wallOur front boys need thier shooting mojos back ASAP only then we are safely landing at Istanbul.
Yajayo yanafurahisha.
YNWA
Kibonde? Mtu alikula RED card na akafuzu mbele ya braza mwenye balon D'or zake 5
Angalia huyu naye ..umesahau mlikula bao tatu Pepe Reina anashikwa shikwa na Didier Drogba anageuzwa geuzwa kama chapati? Kweli nyie ndo mamluki wa juzi kati mmekuja baada ya liverpool kupata mafanikio.
#CFC![]()
Nats is a monster in the air. He just need to upgrade his alertness and quick reaction and can see us safely sending Galaticos packing.I see this coming bro, a 7th on the champions wall
Ozan na Nat Philips wakiwa syncronized vizuri na timu nzima no one can stop us!!
YNWA🔥
Hii kuna uwezekano mkubwa sana wa kuibebaI see this coming bro, a 7th on the champions wall
Ozan na Nat Philips wakiwa syncronized vizuri na timu nzima no one can stop us!!
YNWA![]()
Winning is winning bro, it's all about the mentality!Waliotea tu kama sisi tulivyomuotea AC MILAN mwaka 2005.
Hapa kumuotea AC MILAN kwa wale walioisoma kwenye Magazeti hii Fainali ya mwaka 2005 najuwa wengi watanipingi lakini kwamimi niliyepigwa na Mvua Kibanda umiza kufuatilia hii game basi nasimamia kuwa hatukuwa na uwezo kimpira wa kumfunga AC MILAN but tuliotea na tukafanikiwa lakini ndani ya dakika 120 tulibana Kende mwanzo mwisho.
Nat kwa aerial duels mpaka anazidisha 😂😂 ni mkali, ozan's a very ambitious kid we should definitely recruit him permanentlyNats is a monster in the air. He just need to upgrade his alertness and quick reaction and can see us safely sending Galaticos packing.
Kabak should be signed he has potential kind of our Jone Stones.
YNWA
mane alihojiwa hivi majuzi, akasisitiza kuwa mwaka huu ni io CL tu ndo ipo akilini mwa vijana uko kwenye ligi ni utopolo tu wanafanya wala msiwaze😂Hii kuna uwezekano mkubwa sana wa kuibeba
Dah umemchinja vibaya mwana 😂😂🙌🏿Unaijua tofauti yetu (Liverpool) na yenu (Chelsea)?
Sisi tulimfunga Chelsea tukaenda Fainali kubeba Kombe, hivyo umeingia kwenye rekodi ya kuwa tumebeba kombe kuipitia Mgongo wako.
But Chelsea alitutoa sisi hatimae akenda kutanua Makalio kwa Man Chester United akapigwa.
Akaja kututoa tena kwa mara ya pili hatimae akaenda kutanua Makalio kwa Barcelona akatolewa.
😂😂😂😂😂Yaaani dogo ni ngumu kuamini alikua auzwe huyu.Nat kwa aerial duels mpaka anazidisha 😂😂 ni mkali, ozan's a very ambitious kid we should definitely recruit him permanently
Kabisa ye mwenyewe anasema alikua hajui hatma yake ila anashkuru mungu mabraza wameumia😂😂😂😂😂😂😂😂Yaaani dogo ni ngumu kuamini alikua auzwe huyu.
Akipona VVD, Gomez na kwa sapoti ya Kabak na Phillips tupo imara sana pale nyuma.
YNWA