dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
ile final ilikua bahati kabisa aisee, hatukustahili kushinda!Waliotea tu kama sisi tulivyomuotea AC MILAN mwaka 2005.
Hapa kumuotea AC MILAN kwa wale walioisoma kwenye Magazeti hii Fainali ya mwaka 2005 najuwa wengi watanipingi lakini kwamimi niliyepigwa na Mvua Kibanda umiza kufuatilia hii game basi nasimamia kuwa hatukuwa na uwezo kimpira wa kumfunga AC MILAN but tuliotea na tukafanikiwa lakini ndani ya dakika 120 tulibana Kende mwanzo mwisho.
then again, 2017 tungeweza kuwashinda pia, maana game kwangu naona ilikua even japo chances tulitengeneza nyingi

