Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Top four ya moto sana msimu huu

1.Man City
2. Manchester Utd
3.Chelsea
4.Spurs/Leicester city/US and/or other midtable or bottom table club

Kimbembe kipo , Europa inanukia nukia hivi

Tutachukua ubingwa msimu huu,usijali mkuu.
 
Rhian Brewster exit from Liverpool criticised by Sheffield United owner

#LFC

Yani tuliaminishwa pumba kweli naamini kloop kuna watu anawategemea mpaka hapa tulipo wakiyumba tu ndo haya yanayo tupata
 
Waliotea tu kama sisi tulivyomuotea AC MILAN mwaka 2005.

Hapa kumuotea AC MILAN kwa wale walioisoma kwenye Magazeti hii Fainali ya mwaka 2005 najuwa wengi watanipingi lakini kwamimi niliyepigwa na Mvua Kibanda umiza kufuatilia hii game basi nasimamia kuwa hatukuwa na uwezo kimpira wa kumfunga AC MILAN but tuliotea na tukafanikiwa lakini ndani ya dakika 120 tulibana Kende mwanzo mwisho.
Nakumbuka hii fainali nilikuwa form 2 na,mechi hii ndio iliyofanya niwe mshabiki wa Liverpool baada ya kuwa wenzangu wote walikuwa Man u wakiwa upande wa AC Milani
 
Rhian Brewster exit from Liverpool criticised by Sheffield United owner

#LFC

Yani tuliaminishwa pumba kweli naamini kloop kuna watu anawategemea mpaka hapa tulipo wakiyumba tu ndo haya yanayo tupata

Takribani Misimu Miwili iliyopita takataka kama hizi tuliletewa nyingi hapa Liverpool huku Michael Edwards na Jürgen Klopp wakaamua kutudanganya waziwazi sisi Mashabiki tunaowaamini eti wanajenga Future Plan.

Mwisho wa uongo ni kuumbuka kama hivi
 
Haha haaa jamaa unanini lakini?

Gin Glujic tosha mbona
Hahaha hapa ni Rebuilding Kaka hatuangalii sura wala nini...

Grujic ni raw talent bado sidhani hata huko Porto wana mpango wa kumsajili mazima.

Hapa ndugu yangu tunahitaji new dimension na ideas pale kati na Yves ni tosha sana..

Keita asepe aje Fekir nimeona mahala Klopp ana mpango wa kumfuata pale Betis.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
kumleta Fekir liverpool itakuwa ni kulamba matapishi, kwanini hamkumsajili wakati alifanya hadi vipimo?
 
Liverpool eeeh, ni dhahiri sisi Gunners mechi ya April 3 tutawaadhibu vikali, naamini pia hamuwezi pata matokeo mazuri kule Bernabau, ndio ukubwa huo.Nani hayaogopi majogoo
 
kumleta Fekir liverpool itakuwa ni kulamba matapishi, kwanini hamkumsajili wakati alifanya hadi vipimo?
Theory za kufeli ule usajili zipo nyingi sana pazuri ni kwamba dogo ana miaka 27 na kiwango anachoonyesha La Liga kinafurahisha ndio maana the Gunners, Barcelona na Liverpool wote wanamtupia macho.

Huu usajili ni ngumu sana kufanyika maana Real Betis wanasema hauzwe japo wakiwapewa dau la kueleweka watamtoa ambapo ni kuanzia £50m hapa Edwards anahitajika afanye ile miujiza yake sokoni.

Muda utasema. Binafsi hua namkumbali sana mishe zake pale mbele hivyo kama ikitokea labda Liverpool wakamtoa Origi na pesa kiasi basi upo uwezekano wa kumpata.

YNWA
 
Jota anaruka ruka tu uko Ureno.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Liverpool forward Jota fired the European champions ahead with an 11th-minute header from a superb Bernardo Silva assist and added another in the 36th as he glanced home Cedric Soares' cross from the right.

Jitahidi kua na maneno ya akiba. Jana Jota katupia mbili safiiiii.

Hivi Jota na Werner wangekuwa timu moja ya taifa nani angemuweka mwenzake benchi? Jota anabebwa na viungo tu, Werner ni fighting spirit ndo maana ni WCP.
#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom