Hii ndiyo Liverpool tunayoijua.Taratibu Mchele na Chuya vinaanza kujitenga! Tutabakia walewale tuliokuwa na Striker David Ngog na Voronin, wale waliokuwa wakileta tafrani hapa kwa kuwaona kina Salah na Mane wanatupia wakadhani hatukutokea kwenye Mateso naona wameshaanza kupotea! Hii ndiyo Liverpool jamani.
Sadly ni kwamba uzi amesutiwa Captain Marvelous pekee.
Nisome vyema Mkuu nimesema with some luck.And which type of UCL luck are you talking of mate ?
There is number of clubs in great form as we speak (Atletico Madrid , PSG and Bayern Munich and do not Forget Chelsea(Chelsea play a good and also productive football as of now) )
Hahaha Ollachuga Oc katika ubora wake.Mkuu leo mmenipatia pesa ya mboga kama 670k hivi ...niliwaua nikijua kabisa mtashinda lakini mkashindwa
Manyumbu kule nako mambo mazuri...
Muhindi shaaaaaaaa....kalala mapema leo
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
At least we are on the same page ndugu.There's no way we'll have any UCL chance with that mediocrity at the back. Not to mention those tired looking legs of Salah, Bobby & Mane!
6 nyumbani 2 ugenini na sare za kutosha!Mapem sana kwa hyo kufungwa game 6 tu unahoji uwezo wake ukame wa miaka 33 leo game sita zinakutoa kumuamini klop camooon bro mpira hauko hivyo mabadiliko ya tabia ya inch mkuuu we hujui nzige wana randa randa
#ynwa.Nisome vyema Mkuu nimesema with some luck.
Vs RB we had some luck walifanya 2 costly mistakes and we punished them dearly.
We got to be positive for any future endeavours.
YNWA
Halafu unamleta nani???Na tunabahat tilivuna point mapema vinginevyo tungekuwa tunapambana kijinasua daraja
Liverpool Leo limekuwa daraja la kuzinusuru timu zisishuke daraja jamaa anavunja rekod ina negative way
Dortmund walimtimua kwa mambo Kama haya FSG WAVUNJE MKATABA tutafute kocha mwingine si vibaya kuanza upya
Kwa hyo KLOPP ndyo kocha Bora Zaid hakuna wengne acha kukaririHalafu unamleta nani???
Naona baada ya kuambulia kichapo kutoka kwa zebra United umekimbilia hukuAchen ujinga klopp sio Mungu hapo anfield..
Kunawachambuzi uchwara wanaogopa hata kusema klopp out ...
Kama mbinu zimeisha aachie ngazi ,haijalishi kawapa uefa au PL ,swala la kusema hakuna kama klopp basi mnazid kujichimbia shimo wenyewe mpaka championship
Penalty dakika ya mwanzo waliyopewa ndio ilitutoa kwenye mchezo ,but next ni saton ...!Naona baada ya kuambulia kichapo kutoka kwa zebra United umekimbilia huku
Mtapigwa tena, mnaenda kuwa kama LiverpoolPenalty dakika ya mwanzo waliyopewa ndio ilitutoa kwenye mchezo ,but next ni saton ...!
Je Pep out kwa vile mpaka sasa alichosajiliwa kukileta hajaleta na sioni dalili akileta.Achen ujinga klopp sio Mungu hapo anfield..
Kunawachambuzi uchwara wanaogopa hata kusema klopp out ...
Kama mbinu zimeisha aachie ngazi ,haijalishi kawapa uefa au PL ,swala la kusema hakuna kama klopp basi mnazid kujichimbia shimo wenyewe mpaka championship