Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Top Reds my foot... Hatuna depth kwenye squad yaani unatoa Salah anaingia headless Ox, unatoa Mane anaingia Blunt Origi.. Yaani hatuna like for like subs hivyo ikitokea wachezaji wa 1st 11 wameshuka kiwango ama majeruhi basi tumekwisha kama hali ilivyo sasa almost kikosi kizima kimechuja na hatuna plan B kwani waliopo bench ni uozo mtupu... Ki ufupi Klopp hana benchi la kumtoa alipo sasa ndio manaa anakomaa nao mwanzo mwisho.. Tazama hata kwenye media anasema yeye ndio apewe blame kwa kushindwa kupata winning mentality na sio vijana anajua fika hata akiwalaumu hana benchi la kumsapoti hapo hapo...mpaka pale Jota atarejea na ukali ule angalau atakua na new e dimension pale mbele na pale nyuma kwa sasa ni ku test waliopo combination ipi itamsaidia.. Pale kati wamekua pedestrians yaaani hakuna cha Gini wala nani bila Fabinho playing DM wote tutawaona hovyo maana wanajikuta na majukumu ambayo sio yao.

Kama kuna wachezaji hua ni ngumu kua replaced kwenye timu ni DMs yaani hawa hua pengo lao halizibiki kirahisi tazama Makelele pale Real Madrid, Maschereno Liverpool, Kante Leicester, Fabinho Liverpool, Keane MNU, Viera Arsenal, nk. Kwa sasa hatuna DM to slow down attacks na pia wa dictate play allowing fellow MFs kupeleka support forward.

Husikii Top Reds wakisema pengo la Fabinho lilivyo kubwa kiasi hata ulete Thiago na Gini hawawezi kulizimba. Hao Top Reds wanakomaa na Hendo arudi MF eti tumepoteana kwa vile hayumo pale kati like serious.

Fabinho is the unsung HERO yaani sasa ndio kazi yake inaonekana ya DM.

YNWA
 
Mkuu tutasema mengi na tutasema sana hata Klopp anakumbali kukoselewa kwa hayo yanayoedelea uwanjani sasa.. Upande mmoja yanamhusu kua muumini wa kikosi kindogo hili ni yeye maana kama kikosi kiwe kiduchu basi kiwe quality nk.. Depth iliyopo pengine kwa kukumbali kulipwa bei chee na FSG ni dead woods wote ukimtoa Jota. Zimepita dirisha nyingi tu na alikua ana uwezo wa kuwatoa akina Origi nk yeye aliona wanafaa sasa anayaona.

Kingine tunacheza high intensity hivyo wear and tear will catch up na wa madogo one way or the other.

Kingine uzoefu tazama goli la pili dogo Phillips alivyopitwa kurahisi naamini pale VVD asingepitwa vile kwa vile ange anticipate nini kinafuata.. Hata goli la kwanza Kabak was caught with a clear cut pass ya James pia pale kwa VVD na Fabinho akiwa DM sidhani kama ingekua that easy to pass and score..

Kingine losing is addictive haha just like winning is addictive.. Yaani Klopp ana kazi sana kibarua haswa kuwajenga upya vijana wacheze as unit na wawe na subira kushambulia only when they are sure kuliko sasa we are losing many useless passes kutoka kwa Robbo na Trent.

Mpaka sasa ishajulikana bila VVD Gomez pale nyuma ni ngumu kua challengers hivyo kwa sasa tukomae tubakie kwenye BIG 4 if we are lucky na tujipange kwa ajili ya next season maana next season itakua ngumu zaidi Manchester City Pep anapewa £200m kuingia sokoni ana mpango wa kuwaleta Lukaku na Martinez kutoka Inter au Hallad kutoka Dortmond, pia Grealish na Traore wote wanatajwa huku pia Messi akitajwa tajwa.. Hivyo Juni Edwards inafanya clear out ya nguvu uza Gini, Matip, Philips, Milner, Hendo, Shaqir, Chamberlain, Keita na mmoja ama wawili katia ya Firmino, Mane au Salah. Kama kweli lazima kuuza ili kununua basi we have to sell our worthy players pale mbele tupate ela kujenga kwingine design kama ya Coutinho.. Zipo tetesi FSG wanapeleka Salah na ela kumpata Mbappe haha come June tuone niaje.

YNWA
 
Mimi kwenye Timu nzima sioni wa kumlaumu wala kumpongeza bali ninaona Wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza na wa hakiba wote ni Wabovu.
Pia mbinu za Kocha za ufundishaji kwa sasa ni mbovu anahitaji kubadilika.
Kloop out
 
Aaa kumbe upo.
Hivi kuwa tapeli na uongo unakusaidia nini?Hiyo pesa ni ndogo sana kwa aina ya mtu uliyemfanyia.

Halafu ulikuwa unataka namba yake ya nini sasa?Na wewe awe anakupa hela kama mie?


.
Mkuu mlivyopeana sisi hatukujua inakuaje unakuja kupost Mambo binafsi kwenye jukwaa Kama hili.... Ustaarabu kitu Cha bure.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Utakuta limtu hum linaiponda Liverpool alafu lenyewe lipo Arsenal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…