King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Real Madrid msimu uliopita wakati wanakua bingwa Spain walikua na majeruhi kadhaa especially Hazard alisesajiliwa kuwa focal point wa timu ni majeruhi kwa nyakati tofauti na jambo ambali Zinedine ali masta vyema ni kubadili mfumo kutokana na timu pinzani na wakati mwingine alibadili wakati gemu inaedelea na hatimae wakawa mabingwa..Ipo hivi tangu muda Sana.Kwamba bila 433 Klopp haingizi timu uwanjani...Bila kujali wapinzani washaisoma inavyofanya kazi..Ni bonge la conservative huyo Klopp.Halafu asibadili tena mfumo ye aendelee hivyohivyo kucheza na huo mfumo mmoja,too late to change...Kwa kuzingatia majeruhi tangu mwaka jana huyu Klopp alitakiwa kubadilisha shape ya timu..Lakini anakomaa na hiyo 433 utafikiri kwenye ukocha wake kasoma hiyo tu...Mpaka baadhi ya wachezaji wanaonekana ni flop kumbe kocha hana mifumo mbadala ya kuwa accommodate..Ngoja aendelee kuvunja rekodi za tangu 1920 huko..
Tena ilikua inasemwa hakuna mchezaji atakumbali kucheza second fiddle kwa Salah Bobby au Firmino na maneno mengi mengi.Haya yanayotokea ni majibu ya posts zetu za misimu miwili iliyopita.
Wakati tunapiga kelele kuwa Hawa Wachezaji waliopo ni binadamu watachoka tu na kupoteza uwezo hivyo Timu lazima iwe inasajili mbadala wa hawa wachezaji kidogo kidogo.
Majibu tuliyokuwa tunapewa ni ya kukatisha tamaa kabisa kama vile:-
- Don't disturb our front three ndiyo waliotupa makombe
- Don't disturb our Midfielders ndiyo waliotupa makombe
- Hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 wetu hivyo tusisajili.
Hatimae kilichotokea:-
- Tuliletewa Vitoto kina Ki-Jana, Van Dem Berge, Kuna kamoja kutoka South America huko, Elliot, na takataka nyenhine eti ni Future Plan wakati uhalisia hawana Future ndani ya Liverpool.
- Timu ikaokota wachezaji wasio na Timu kama vile Adrian na golikipa mwenzake sijawahi kumuona uwanjani.
- Timu ikaendelea kuvizia na kunyakua wachezaji wasio na soko na bei ya kuokoteza kama vile Minamino, Tsimikas, Kabak, Devies ambao kiuhalisia hawa ni wa Midtable Teams na wala hawana future yoyote ndani ya Liverpool.
Sasahivi tunavuna tulichokipanda.
Mimi sikubaliani na kisingizio chochote zaidi ya kusema hii Timu ni Mbovu.
Namuheshimu Sana Klopp.Infact Kwangu ndiye kocha ambae ameleta mafanikio makubwa zaidi Liverpool katika kipindi cha miaka 20 iliyopita.Ndiye kocha ambae amerudisha ukubwa wa Liverpool,heshima ya Liverpool na ametuletea mvuto ambao unawafanya wachezaji nyota kabisa kutaka kucheza Liverpool.Makampuni makubwa kama Nike sasa yanafanya kazi na Liverpool..Hauwezi kutenganisha hivi vitu na Klopp...Real Madrid msimu uliopita wakati wanakua bingwa Spain walikua na majeruhi kadhaa especially Hazard alisesajiliwa kuwa focal point wa timu ni majeruhi kwa nyakati tofauti na jambo ambali Zinedine ali masta vyema ni kubadili mfumo kutokana na timu pinzani na wakati mwingine alibadili wakati gemu inaedelea na hatimae wakawa mabingwa..
Kuna mechi 2 Klopp alimtumia Gini kama DM na Thiago akawa 8 na tuliona matunda yake ya ushindi. Pale pale ndio angeanzia kujenga upya kikosi kimfumo na pia kwa consider opponent set up.
Since 2016 mpaka December 2021 huu mfumo wa dynamic 433 umetuletea mafanikio makubwa sana sishangai sana Klopp kuamini kwani umempeleka kufika na kushinda kama ifuatavyo..
Fainiali Carabao
Fainiali Europa
Fainali Uefa
Kushinda Uefa
Kushinda Super Cup
Kushinda World Club Cup
Kushinda Premier League π.
Kwangu naona MF imekua pedestrian hatoi sapoti kwa Defence na haitoa sapoti kwa Forwards. Kingine Mane Salah Firmino have dropped big time. Na defence is not the same without Gomez VVD.
Klopp found us bad than we are am positive he will reclaim the lost ground.
YNWA
Mkuu King Ngwaba kwa tetesi za pundit magazeti mengi majuu kipindi kile cha usajili ni kwamba Klopp alikua na majina yake anaowahitaji kuna beki wa Lile huyu alikwenda mpaka Airport , kuna beki wa Bragga, kuna beki wa RB Dayot, kuna beki wa Torino na kuna mmoja Ujeremani kutoka Bukinafaso sikumbuki anachezea timu gani. Wote hao walitakiwa cash sio mkopo kama Kabak na kingine pia walichelewa kuingia sokoni maana walianza mbio pale Matip alipoumia na siku zilikua zimeisha. So timu walikua honest na kusema tukiwauzia sasa hatutapata muda wa kusajili mbadala hivyo tupeni kabisa ela ili tuwe na kifua kuingia sokoni jambo ambalo Liverpool walichemka. Mpaka Klopp anakuja kusema yeye hatoi Cheque kununua wachezaji ujue ni ujumbe kwa wamiliki ule kwamba i need support and i need its now otherwise sitokua sacrificial lamb kwa mashabiki.Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.
Naamini wameshaanza kuelewa
Achana na huyo mtoto,alafu kama hana uvumilivu aache kuingia humu hadi team ishinde.Vinginevyo kila mtu ataona ujinga wake.Kuwa mvumilivu kaka
Team haifanyi vyema kubali dhihaka ya kila aina,matusi sio uanamichezo
Hahahahahahahahah........umeanza kutafuta Excuse sasa kama ilivyokuwa kwa AdriΓ‘n ,Origi ,Gini ,Henderson umehamia kwa Kabak na Davies ......... Alcantara yeye ameongeza nini kwenye timu mpaka sasa mnawapotezea kama hamuwaoni vile kwa sababu ni Favourite sio.Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.
Naamini wameshaanza kuelewa
Liverpool wanaliwa kweli wala sio kimasikhara.
Aisee alafu geto la kwaoo yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liverpool wanaliwa kweli wala sio kimasikhara.
πππ Jamani tusifike mbali sisi sote ni wapenzi wa mpira, ukiondoa tofauti ya timu zetuTakataka mamako!
Sure thing,Mara ya mwisho everton kufunga hapo Anfield ilikuwa: 1999.Anfield imekuwa dampo la kujiokotea points
mkuu atleast kwa kabak, lakini hao wengine upo sahihi.....Haya yanayotokea ni majibu ya posts zetu za misimu miwili iliyopita.