Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani watu wa Man huku mnafanya nin huku? si mnauzi wenu wa team yenu hapa tunajadiliana team yetu pendwa Liver mazuri na mabaya ya team zingine hayatuhusu hapa.
 
Refer chelsea nafikiri ni 2005 kwenye ligi ilikuwa nafasi ya 7 lakini ilikuja kuchukua uefa... Sema ukiwa unasuasua ni rahisi kuchukua uefa kuliko kuchukua ligi
Chelsea????
2005 ndio ilifanyika MIRACLE OF INSTANBUL boss
 
Baada ya Jones kutoa assist na tunashinda
Tukija kwenye league kocha atamuweka Milner .. Jones bench ... mwisho tunapigwa hata na Burnley

Hili jambo uliloliongelea hapa linanikera sana lakini ndiyo hivyo tunaambiwa Klopp anajua zaidi.

Yani Milner ahead of Jones? Sometimes ndiyo inapelekea kusherehekea injury ya Wachezaji kama hawa.
 
Sikujua kama tunaweza kuwakimbiza Watu kwenye Uzi kwa kiasi hichi kisa tu tumeshinda magoli tuwili.
 
Pamoja na ushindi lakini timu yetu bado wachezaji hawajiamini kabisa individual brilliance hasa mane na Robertson ndio inaonekana
Labda akirudi keita pale kati na beki mmoja either matip au gomez itatusaidia
 
Yaani Keita Na Ox muda mwingi wapo mezani kwa dokta aafu Gini na Robbo hata muda wa kupumzika hawana aafu analipwa kiduchu kweli..

Henderson over paid
Matip over paid
Chamberlain over paid
Milner over paid
Thiago over paid.
Nats over paid

Allison underpaid
TAA underpaid
Robbo underpaid
Mane underpaid
Gini underpaid
Fabby underpaid.

YNWA
 
Pamoja na ushindi lakini timu yetu bado wachezaji hawajiamini kabisa individual brilliance hasa mane na Robertson ndio inaonekana
Labda akirudi keita pale kati na beki mmoja either matip au gomez itatusaidia
Mane hajiamini?
 

Hapo kwa robbo hadi aibu Aisee.
 
Liverpool HALISI tuzidi kuwa karibu na team yetu pendwa,clean sheet ya jana ni muhimu sana kwa Alisson na beki Kabak kuwapa confidence!
Sasa ni Everton ,tuzidi omba Fabihno apone ili Captain apande mbele
In Kabak we believe
 

Origi tangu alivyoongezewa mkataba hajitumi tena,tusubirie mkataba ukikalibia kuisha atakuwa anapambana mpaka tutabadilisha mawazo huyu aondoke au abaki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…