Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa matokeo ya man city dhidi ya liverpool ungesema city ni bonge moja la timu lakini baada ya leicester kushinda leo unajiaminisha kuwa kumbe tatizo ni form ya liverpool hivyo man utd bado ni title contender.
We ni shabiki wa man u? Timu imeshinda mechi 13 mfululizo afu unaongea ujinga huo
 
Sasa ni mwendo wa long ball tu. Tunahitaji wachezaji wa aina ya sterling, Sancho, bernardo Silva yaani dribbling dribbling dribbling. Yaani unalazimisha. Mpira gani huu tunacheza. Yaani Alison amekuwa na touch nyingi kuliko hata jones na gini!

Wallah tumeshindwa hata kutengeneza mashambulizi! Soon tutaanza kuitwa UTOPOLO
 
learning is from failures mkuu, tuvute subira, msimu huu unaweza usiwe wenye mafanikio kwetu.
Wapambe wa Chelsea wapo humu kupiga kelele na kutafuta wa kuungana nao kwenye kukosa mafanikio na kufikia hatua hadi ya kufukuza kocha hata msimu haujaisha.
 
Sikusikia hyo kwamba dressing room kultokea nn ?
@mosdef aliandika hapa tetesi za hendo na alison kupigana mazoezini, kisha fab akagoma kucheza cb na vitu kama hizo.......


ukiangalia mwenendo wa timu kwa sasa kuna kila dalili za ukweli ktk hilo, na kama ndivyo ilivyo basi club itakua imeegemea upande wa le captain
 
learning is from failures mkuu, tuvute subira, msimu huu unaweza usiwe wenye mafanikio kwetu.
Wapambe wa Chelsea wapo humu kupiga kelele na kutafuta wa kuungana nao kwenye kukosa mafanikio na kufikia hatua hadi ya kufukuza kocha hata msimu haujaisha.
Yeah ni kweli msimu huu umekua well documented mengi yamesemwa na yalishasemwa tangu zamani kuhusu depth ya kikosi.. Hatuna like for like sub kwenye bench letu na hii ndio imetufikisha hapa..

Pep mwenyewe yalimkuta last season kumtoa Kompany akaja umia Laporte na msimu wao uliishia pale pale..

Sisi kumtoa Lovren bila mbadala wake aafu akaja umia VVD ki ufupi msimu uliishia pale pale.. Huo ndio ukweli.

Kwa sasa tupambane tubakie BIG 4 maana kuikosa BIG 4 ni janga lingine kwanza kukosa ela ya Uefa na pia kuvutia wachezaji bora ambao wengi wao huvutiwa na timu zinazoshiriki Uefa..

YNWA
 
kuna uwezekano mkubwa dressing room haiko poa kabisa, zile rumours alizosema MosDef inawezekana ni kweli, na kuna mgawanyiko ndani ya kikosi
Mkuu ebu tema hayo mate bhana kale kalikua ka upepo tu na ukweli kama hakajaodoka tujiadae kisaikolojia mambo yatakua mabaya mno...

YNWA
 
Walpigana kisa Nini sasa
 
Captain hua anajulikana kipindi cha matatizo sasa huyu wetu baada awe mstari wa mbele kutafuta solution ndio kwanza analeta balaa zaidi...

YNWA
 
nasubiria uchambuzi wa yule Spanish Jonjo Shelvey mipasi kibao bila assist leo vipi?? hajapiga pasi 75 kwa zile dakika alizocheza??
 

Kabla Allison hajaanza kutoa maboko kuna game kadhaa yeye ndiye alikuwa Man of The Match.

Tukatoa tahadhari kwamba inapofikia Man Of The Match anakuwa golikipa, tena mara nyingi basi ujue yajayo hayafurahishi.
 
Kabla Allison hajaanza kutoa maboko kuna game kadhaa yeye ndiye alikuwa Man of The Match.

Tukatoa tahadhari kwamba inapofikia Man Of The Match anakuwa golikipa, tena mara nyingi basi ujue yajayo hayafurahishi.
kwahiyo mnasemaje Adrian arudi?
 
Kumbe Chelsea na Westham endapo zitashinda mtaporomoka mpaka nafasi ya 7, aisee maisha yanaenda kasi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…