Acheni kutia huruma..mko vizuri,si umeona hadi mmemtoa Takumi kwa mkopo?Mkuu sisi Liverpool hatuna uwezo wowote wa Kumfunga Man City hivyo nasisi pia tunawategemea Nyinyi Man United mumfunge Man City.
Man City atatufunga tu.
Hii ni sababu ya kipuuzi sana, eti kubeba kombe kamsimu kamoja tu ndo akina Mane na Salah washaridhika sasa ..wanaona washabeba makombe ya kutosha. Madirid watasemaje, Barca je, hawa wakubali hii timu ni kigenge cha wazee sasa ..mf huyu klopp kaua kipaji cha minamino, keita soon na Jota ata floap tu hakuna namna. VVD na yeye ndo umri unaenda na kwa sasa ataendelea kuhudhuria hospital zaid kuliko kweny pichi(cjui munaitaje). Kwa ufupi hii liverpool tangu inaanza ilianza kwa kusuasua ..wabobezi wa mambo tulijua hakutakuwa na cha ziada maana wachezaji ni wale wale na wameshajichokea. Saiv mtu kama Mane unaweza kumpata kwa bei chee sanaUnamaanisha Liverpool siyo? Maana kuna timu kibao ambazo zimekuwa kwenye peak kwa muda mrefu na kupelekea kuchukua ubingwa mfululizo. Sasa ninyi ubingwa wa msimu mmoja tu, wachezaji wanakosa sababu ya kuwa kwenye peak?!?
Kavizia wazazi wamejipindua kamuinamisha binti kwenye korido [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hapo ghettoni kwao.
Yani mchizi kajilia tunda kimasihara nyumbani kwa wazazi wa manzi.
Huyu baaria sio mtu mzuri.
Kwa hiyo ninyi muko tayari kumuachia city ashinde ili wale nyumbu wasibebe ndoo?? Je huu utakuwa ni uzalendo, au ni chuki binafsi au kuna MASLAHI yeyote looserfools atapata endapo city atabeba..Niwambie tu Washabiki wa Man United kuwa sisi Liverpool hatuna uwezo wowote wa kumfunga Man City hivyo atatufunga tu hata tufanye nini, kwahiyo tafuteni njia nyengine ya kupunguza game la points na Man City na si kupitia mechi yetu.
Hahaha mimi nitakuwa wa kwanza msimu huu kuhakikisha manure aka manyumbu yananyayua kwapa kwa kubeba epielo[emoji3] hivyo nitakuwa upande wa man city kuhakikisha looserfools anapigwa ..apigwe tu hakuna namna ..nasema apigwe tu..Duh, bro una roho mbaya, kama meli ya sumu!
Uko tayari utoke nje ya top 4 kisa tu Manchester United asichukue ubingwa!
Sasa sisi mashabiki wa Manchester United tuna sema hivi, tumekuteua wewe ndio umtulize City hapo kwako.
Hiyo utake usitake.
Na siku hiyo kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu nitakushangili na kubana peke zangu kwa uchungu kuhakikisha unashinda.
Nakuomba usiniangushe.
UEFA ipo wazi kabisa itatua London. Kuna kila daliliHivi Manchester United kweli wana ndoto kabisa kumshusha Pep kileleni haha nwei ni msimu wa maajabu lolote lile linawezekana aisee japo kwangu naona ngumu sana...
Bila KBD, Aguero na Laporte wanashinda na wameshinda gemu 13 mfululizo huu ni ujumbe tosha wanachokitaka msimu huu ni ubingwa tu na pengine kama wana bahati basi UCL nayo ipo wazi kwa mwenye mipango dhabiti kuichukua..
YNWA
Kwa hiyo ninyi muko tayari kumuachia city ashinde ili wale nyumbu wasibebe ndoo?? Je huu utakuwa ni uzalendo, au ni chuki binafsi au kuna MASLAHI yeyote looserfools atapata endapo city atabeba..
Kwa hii scenario namkubuka sana Gerrard Steven alivyoteleza ili Demba Ba akatupie na hatimaye tukatangaza ubingwa..
Asili yenu kama mlivyorithi kwa babu yenu Gerald, ila sawa tu ubingwa utaenda OT this season.Kama kutakuwa na machaguo haya Mawili:
1) Tumfunge Man City ili tuingie Top Four na Manure abebe Ubingwa.
2) Tufungwe na Man City tutoke nje ya Top Four ili Man U asibebe Ubingwa.
Hapo ninachagua namba 2 tukacheze Europa potelea bondeni.
Hahahaha[emoji23] chaguo namba 2 safi sana. Man city abebe ubingwa sio yale matakataka.
Asili yenu kama mlivyorithi kwa babu yenu Gerald, ila sawa tu ubingwa utaenda OT this season.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe mbona tunakujua, Liverpool MASLAHI. Anko Malafyale na team nzima ya Liverpool HALISI wamekubaliana kushinda jumapili.Yani tunawasagia Kunguni labda mubebe Ubingwa wa Unbeaten Away lakini sio wa EPL.
Man City tufunge tu
Uefa msimu huu haina mwenyewe timu nyingi tia maji tia maji....UEFA ipo wazi kabisa itatua London. Kuna kila dalili
Ingekua hivyo Pep asingetua Ethad..PL is better than uefa
Ingekuwa UEFA sio kitu, Epl teams zisingevunjana miguu kugombania kumaliza Top 4.
Ndoto ya mchezaji yoyote mkubwa duniani ni kubeba UEFA sio EPL.
Sawa kombe la EPL lina nguvu England lakini linapokuja swala la UEFA wawekezaji, wachezaji na mashabiki miili yao inasisimka pale unapomuona Ronaldinho analamba lips vs Arsenal.
Kwa sheria mpya Arsenal mtakua mnashiriki Uefa kuna mpango wanajadiliana wiki hii kuongeza timu kutoka 4 mpaka 6 ziwe zinashiriki Uefa kuanzia 2024 hivyo angalau najua kwa mwendo mnavyokwenda hamtakosa kua ndani ya BIG 6...Ingekuwa UEFA sio kitu, Epl teams zisingevunjana miguu kugombania kumaliza Top 4.
Ndoto ya mchezaji yoyote mkubwa duniani ni kubeba UEFA sio EPL.
Sawa kombe la EPL lina nguvu England lakini linapokuja swala la UEFA wawekezaji, wachezaji na mashabiki miili yao inasisimka pale unapomuona Ronaldinho analamba lips vs Arsenal.
Mikel ndoto yake warejee Top 4 kazi kwake.. Mambo yamebadilika sana Top 4 imevamiwa tofauti na miaka hioo..Hahahaha Arse8 hawataki kuisikia UCL level yao EUROPA.
Shadeeya mashabiki wa arsenal tumewakosea niniSiyo powa kuzungumzia mifano ambayo siyo relevant.
Arsenal na kucheza UEFA wapi na wapi!
Jamaa anarudi liniHivyo vi timu vidogo kiboko yao jota,me bado naimani,jota akija tutakuwa tunashinda kwa vitimu vidogo hivyo.
Maana kipindi kile wakikaa nyuma jota bado anawafunga tu.maana kuna muda unaona kabisa hapa hakuna matumaini lakini jota akiingia lazima alete mabadiliko tu.