Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20210205_152801.jpg

Hopefully Mane Allison do make the recovery needed for the visitors game...

YNWA
 
Man City huwa anatusumbua sana, sioni kama tutapona.
Manchester City hajamshinda Liverpool tangu 2003 haha whats can i say records are there to broken...

If its was that simple basi Brighton alieshinda mara ya mwisho 1982 kabla hii ya juzi angepigwa kirahisi tu..

Tuna mechi ngumu sana Jumapili na ushindi kwetu angalau utaturudisha kwenye ramani ya kutetea ubingwa wetu japo hii nayo ngumu lakini huu msimu una matokeo ya kutisha..

YNWA
 
There's no an ounce of doubt kuwa injuries zimeharibu sana msimu watu & especially Klopp's plans, and we should not be ashamed kutumia excuses za injuries this season.

HOWEVER, against Brighton, Klopp got it all wrong tactically.

Yes, i feel so sorry for him, kutokana na our injury crisis, but a 35 year-old Milner shouldnt be playing 3 games in 7 days, amekuwa so helpful during this injury crisis, but hatakiwi kuwa starter kwenye team yenye big ambitions, especially when you have a young & hungry Curtis Jones on the bench (ambaye ame-impress kila anapoanza), and its so strange kuona players kama Kina Minamino wanakuaa loaned out na tunabaki na kina Milner (i dont buy this leadership in the dressing room bullshit, because if anything him & Henderson have been exposed this season, this narraton that they are leaders is just so dumb),

So, Milner gets subbed off against West Ham, he gets mad at the manager, and Klopp had to explain to him why he subbed him off (this was super stupid), next game against Brighton he starts and Klopp plays him for 90 minutes, scared to sub off fearing he'd get mad, this is Klopp's main weakness, and if y'all been following my posts tangu Klopp aje LFC, nilikuwa nasema kuwa Klopp ana tatizo la loyality na favourtism kwa bum players, as a Manager why you feel the need to explain subs zako kwa mchezaji? tena mchezaji ambaye hana mchango wowote uwanjani, i will get pelters for this but there's no way in hell Pep Guardiola angekuwa bado na mchezaji kama Milner kwenye team yake let alone kujieleza kwanini kamtoa uwanjani, i said it before kuwa hii inaweza kuwa ni Klopp's downfall at LFC, being loyal to bum & finished players, it will take him 2-3 years from now kukubali kuwa Firmino is physically finished, he's still loyal to Origi because of his goals against Barca & Spurs, still crying kwa Gini ku-sign new Contract because of his goals against Boro & Barca, and ironically these are the players ambao wamekuwa na mchango mdogo sana kwake katika kipindi hichi cha injury crisis.

So, against Brighton, why alirudi kwenye his orthodox 433?, he changed our shape against Spurs & WH and it paid off, why reveting kwenye long balls against Brighton? its actually so shocking kuwa na Thiago on the pitch na bado una-resort kwenye long balls, Ok, lets say alijua kuwa Brighton watapark bus (deep block), so what was the point of starting Milner? how can Milner help at unlocking deep blocks?..

Against Spurs & WH, he deployed Shaqiri as an inverted 10, and Thiago as 8, but against Brighton, he shifted Shaqiri on the left, and instruct him to play further forward with Salah on the right, he wanted Shaqiri to play as Mane, this was wrong, Shaqiri only excells as a 10 kwenye 433, and ocassionally as a RW, but on the left? that was tactically wrong, Ok, so lets say Klopp thought the MF ingeweza ku-move the ball forward, kiungo mwenye hiyo license ya kupress & move the ball from deep areas ni Milner, so how can attacking outlets get the ball? Firmino (who is finished physically, has to drop close to Milner to help him progress the ball and press into wide areas and allow trent to overlap and cross a long ball to dwarfs (Salah & Shaqiri), this is because our ST is busy trying to press, & Thiago is busy covering for Salah who is busy timing Trent crosses (Salah cant track back, so its must for his side kuwa covered especially ikitokea counter), this results kwa sisi kushindwa ku-create a single chance, because when we attack the shape changes into 2-6-2 (hope the diagram below will provide a clear picture) with only 2 attackers upfont from wide areas, we stay in this shape to manage & control counters, yes tunafanikiwa but it doesnt help when we are shit kwenye set pieces, so just go out and attack, you cant expect Henderson to keep a clean sheet as a CB, he's not Fabinho.

Play Thiago as an advanced 8, get him close to our attackers, let him be a free roamer like spurs & WH, let him set & open chances, why did we buy him if we cant use his strengh? tumetumia uwezo waks kidogo tu against Spurs & WH na tumeona matunda, kwenye hizi games mbili sidhan hata kama tulifikisha crosses 15+, maana against WH, kwa dk 90 hatukufikisha hata crosses 8, but against Brighton ilikuwa ni hoofing party.

You cant excuse injuries against teams like Brighton, Klopp got outclassed by Potter, not tactically but sababu ya kuwa naive.

View attachment 1695635
 
Rumours, kuwa Alisson & Henderson had a serious fight kwenye mazoezi, hence Alisson hakucheza wala kuwa on the bench against Brighton.

Henderson had below decent season (last season), and he thinks he's Gerrard, that he can yell and scream at every player, man, you get the audacity ya ku-scream and yell at every play kama una uwezo wa kucheza mpira, how can a bum player like him a-scream kwa actual footballers like Thiago, VVD, Fabinho, Mane, Salah, Firmino etc, no wonder the top 3 GK in the world Alisson had enough hahaha.
 
Kuna wakat huwa nakuelewa Sana unachohandika Ila nashindwa kuelewaga hivi Ni kwanini una chuki Sana na Henderson mna Mambo binafsi au Ni huu huu tu ushabiki wa kawaida unamtoleaga majina ya kukera as if una shida nae sehemu....kwa hii hali ya uchezaji mbovu wa timu nzima unatoa wapi nguvu ya kumwita majina ya ajabu mtu anaehamishwa namba kila siku na bado anajitahidi ....jitahidi kuwa akiba ya maneno chief na kukikubali kilicho chako hata Kama Ni kibaya... Henderson Hana kipaji kikubwa Ila hastaili hayo majina yako ya kila kukicha.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
SUMMER CLEAR-OUT.

Origi (Sell)
Milner (free)
Matip (Sell)
Gini (free)
Shaqiri (he will be sold)
Oxlade (Sell)
Neco Williams (loan)
Nat Phillips (Sell)
Rhys Williams (Loan)
Adrian (free)
Karius (loan or sell if the buyer is available)

ADDITIONS

CB (if we wont exrcise the option ya kumnunua Kabak)

RB (Competent cover for Trent)

2 CMs (Gini+Ox replacement, if we bring back Grujic then we will need 1)

2 attackers (Winger & a ST).

thats minmum 6 players, (hard for FSG, but we need a rebuild)
 
Henderson amekuwa very dissapointing this season, anatakiwa kukosolewa just like any other player, especially as a CAPTAIN, he should be getting us out of this mess kwa yeye ku-step up zaidi, but hampendi hili lakini ni mchezaji ambaye anaenda na waves anakuwa decent team ikiwa kwenye peak na m-bovu team ikiwa down, na ndiyo maana his best seasons at LFC ni 13/14 tulivyokuwa kwenye peak na 19/20, 2 teams ambazo zimejaa actual footballers.

He should step up now, because when akina VVD/Alisson/Faby/Salah/Mane/Firmino/Robbo/Trent/Gini etc walivyokuwa wanatupa results kila kukicha alikuwa anapewa credit yeye ya kutuongoza kwenye titles, so kipindi hiki tunacho-struggle anatakiwa abebeshwe yeye mzigo wa kututoa kwenye hii mess because slogans za "team efforts" hazikuwepo wakati tunashinda, so sitegemei kuziona now.

You see, i hate biasness iliyopo towards Henderson, umesema, henderson anahamishwa namba so we should respect him, so what about Fabinho? amecheza at CB tangu mwanzo wa msimu, ni sababu kubwa bado tupo top 4, where is his praise?, what about Gini ambaye Klopp kambadilsha kabisa kuwa 2nd holding MF? anacheza hiyo nafasi tangu kaja LFC, where is his praise?, what about Thiago now? what about Keita? what about Firmino ambaye kafanywa kuwa falss number 9? what about Shaqiri? what about Minamino ambaye Klopp ame-destroy his career? natakiwa nimuheshimu Hendo for playing at CB? eneo ambalo ana-leak goals for fun? kwanini nisi-mpraise Nat philips kwa ku-step na kuwa mzuri zaidi ya Henderson for the last 2 matches?

I've been watching Henderson since 2011, and amefanya nothing at LFC to deserve my respect.

I dont hate him.
 
Keita Keita Keita

Kwanini aendelee kubaki Liverpool Next season kwanini.
 
So excuse now kuhusu Henderson ni kuwa we lost against Brighton because hakuwepo kwenye MF, but kwenye zile.games zote ambazo tumetoa draws with bad performances, he was at MF and the worst player on the pitch.
 
Henderson amekuwa very dissapointing this season, anatakiwa kukosolewa just like any other player, especially as a CAPTAIN, he should be getting us out of this mess kwa yeye ku-step up zaidi, but hampendi hili lakini ni mchezaji ambaye anaenda na waves anakuwa decent team ikiwa kwenye peak na m-bovu team ikiwa down, na ndiyo maana his best seasons at LFC ni 13/14 tulivyokuwa kwenye peak na 19/20, 2 teams ambazo zimejaa actual footballers.

He should step up now, because when akina VVD/Alisson/Faby/Salah/Mane/Firmino/Robbo/Trent/Gini etc walivyokuwa wanatupa results kila kukicha alikuwa anapewa credit yeye ya kutuongoza kwenye titles, so kipindi hiki tunacho-struggle anatakiwa abebeshwe yeye mzigo wa kututoa kwenye hii mess because slogans za "team efforts" hazikuwepo wakati tunashinda, so sitegemei kuziona now.

You see, i hate biasness iliyopo towards Henderson, umesema, henderson anahamishwa namba so we should respect him, so what about Fabinho? amecheza at CB tangu mwanzo wa msimu, ni sababu kubwa bado tupo top 4, where is his praise?, what about Gini ambaye Klopp kambadilsha kabisa kuwa 2nd holding MF? anacheza hiyo nafasi tangu kaja LFC, where is his praise?, what about Thiago now? what about Keita? what about Firmino ambaye kafanywa kuwa falss number 9? what about Shaqiri? what about Minamino ambaye Klopp ame-destroy his career? natakiwa nimuheshimu Hendo for playing at CB? eneo ambalo ana-leak goals for fun? kwanini nisi-mpraise Nat philips kwa ku-step na kuwa mzuri zaidi ya Henderson for the last 2 matches?

I've been watching Henderson since 2011, and amefanya nothing at LFC to deserve my respect.

I dont hate him.
Kwa hizi paragraph mbili za mwisho ulizoandika, nazani sihitaji kuendelea kuandika chochote nshajua nadeal na MTU wa aina gani....Kama upo nilipo Mimi Basi uwe na usiku mwema.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kwa hizi paragraph mbili za mwisho ulizoandika, nazani sihitaji kuendelea kuandika chochote nshajua nadeal na MTU wa aina gani....Kama upo nilipo Mimi Basi uwe na usiku mwema.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Try to follow Henderson career at LFC since 2011 (on & off the pitch)

You'll understand my point, well if you'll be ready to open & use your eyes.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom