Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fergie the great hivyo vitimu vidogo ndio vilikua vinampa ubingwa ndugu na sio kuwachapa timu kubwa hata sisi msimu uliopita vitimu vidogo tulivipiga mno mzunguko wa kwanza unaisha vilikua vinaomba po...

Mechi 6 zilizopita Manchester City kacheza na hivyo vitimu vidogo na kujikusanyia pointi 18 ndugu..

Tazama sisi haraka haraka tumekosa pointi 6 muhimu kwa Burnley na Seagulls...

Manchester City kupoteza mechi 3 na sisi kushinda mechi 5 mfululizo kwa kweli ni ndoto...

To be realistic I will take Big 4 finish as job well done considering the injuries and loss of form kwa wachezaji wetu...

The wins aganist Hammers and the Whites made us dream again perhaps Citizens are there to be nailed haha pipe dreams but jana was reality check we aint out of the woods yet...

YNWA

Hivyo vi timu vidogo kiboko yao jota,me bado naimani,jota akija tutakuwa tunashinda kwa vitimu vidogo hivyo.

Maana kipindi kile wakikaa nyuma jota bado anawafunga tu.maana kuna muda unaona kabisa hapa hakuna matumaini lakini jota akiingia lazima alete mabadiliko tu.
 
Safi sana, jamaa una moyo kupita hata wa Liverpool HALISI.
 
.
no1cityfanacc-20210204-0001.jpg
 
Unakumbuka 2018/19 game tuliyoshindwa kumfunga Manure akiwa na injuries karibu Timu nzima mwisho wa mchezo akasingizia 'Injuries za Manure zimemuharibia game Plan yake'? Nilicheka mpaka basi.
Hivi ndio ile gemu Hendo the bam alipewa sub akataka kummeza Klopp...

Kuna wakati hawa wachezaji wetu wana switch off mpaka wanatia hasira na kuna siku wana click mpaka unasema ooh yes they are world class..

Sijui sasa baada ya kudai uchovu nini kitafuata..

YNWA
 
Hivyo vi timu vidogo kiboko yao jota,me bado naimani,jota akija tutakuwa tunashinda kwa vitimu vidogo hivyo.

Maana kipindi kile wakikaa nyuma jota bado anawafunga tu.maana kuna muda unaona kabisa hapa hakuna matumaini lakini jota akiingia lazima alete mabadiliko tu.
Mkuu kuna jambo unasahau tazama ushindi wa Hammers na Spurs ulipatikana kwa timu work yaani tukicheza kama unit no team can stop us..

We lack individual brilliance in our squad but we are team that clicks when all system go same direction... We have defeated the big guns like Barcelona, Bavarians, PSG nk when we play as a unit being dangerous without the ball and winning the second ball up high to punish the opponent... Sasa ndugu tazama gemu ambazo tumechapika yaani wachezaji wanakua kama kuku aliekatwa kichwa.. We cant win games expecting magic of Salah or Mane or Jota alone hio ngumu kumeza.. Tazama ndugu kuna kipindi TAA alikua utopolo klosi zake zilikua hovyo na he lost the ball on record times nk yaani Liverpool we shine when playing as a team sio vinginevyo...

Hopefully Jota is the missing piece of the puzzle but 1 shot on target is too harsh for us and at home lol...

YNWA
 
Klopp nipigie kipara acha kuja na excuses zisizokuwa na kichwa wala mguu..

YWNA

Mkuu sisi Liverpool hatuna uwezo wowote wa Kumfunga Man City hivyo nasisi pia tunawategemea Nyinyi Man United mumfunge Man City.
Man City atatufunga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom