King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,464
- 7,458
Ole's record at Anfield must be 100% win, right?
Lakini jana ka assist [emoji3]Maiti anafufukia kwa Spurs
- Salah ameshatoa gundu jana
- Mane atatoa gundu kwa Spurs
- Firmino atakufa na gundu tu hakuna namna
Klopp kama Klopp ameshawajulia hawa FSG kaona isiwe taabu lawama zote kwake kama vile hahitaji aletewe wachezaji wapya...Mkuu hujamsikia Klopp kuhusu usajili?
Alishasema last week kuwa alipelekea pendekezo la kununua CB lakini FSG wakalikataa kutokana na Financial Policy yao. Hivyo yeye si Mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kulia kwa kukosa kupewa alichokitaka
In this covid era Mkuu unadhani Salah bei yake ya =100m kuna timu inaweza toa..
- Origi tutafute mteja
- Xhaqiri tutafute mteja
- Salah tutafute mteja
- Gini aruhusiwe aondoke
- Matip atafutwe mteja
- Wilson atafutwe mteja
- Nat Phillips atafutwe mteja
- Adrian Arudishwe Mtaani
- Keita atafutwe mteja
- OX atafutwe mteja
- Grujic atafutwe mteja
Mpaka hapo tutapata hela ya usajili kupitia sera yetu ya Sell to Buy.
In this covid era Mkuu unadhani Salah bei yake ya =100m kuna timu inaweza toa..
Shaqir, Wilson, Grujic, Nats walikua sokoni dirisha kuu October lakini hakuna aliefika bei zaidi ya kuwatoa kwa mkopo na wengine kubakia klabuni..
Kwenye hio list ongezea na Milner wampangie kazi myingine ama ahamie Leeds...
FSG ela watatoa ama Klopp atawakimbia mazima..
Tunahitaji CB mmoja, MF mmoja na namba 9 mmoja..
YNWA
Klopp inabidi reference yake iwe nini kilichomfanya babu Fergie kushinda EPL 13 Trafford na sio aje na mambo yake ya Mainz ama Dortmund hilo kasha feli...Klopp alibugi step since mwanzo wa msimu, baada ya kupata mafanikio huku akijua sera za FSG alikua ahame tu! Lakini alijiona bado anaweza kufanya miujiza kwa wakina Origi akaona abakie madhara yake ndiyo haya anataka kuiharibu legacy take bure kupitia reference ya Dortmund na Mainz.
Ni mwendo wa kujaza viserengeti Anfield πππππππ
Liverpool are winning the race for Derby County forward Kaide Gordon in a deal worth more than Β£1m for the teenager.
YNWA
Wewe na liverpool ni matakatakaLivapumbu kama livapumbu
#COYG
#COYG