Pole mkuu, ndio ukubwa huoKwanza nimeangalia mechi kwenye mazingira mabovu/magumu,Pili tumefungwa yaani Nina machungu Mara mbili daah....Ila poa tu.
Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Katika kikosi hiki wasiocheza jana ni watatu tu, hizo kuku zingine zote zilikuwepo.
Very confusing confusing argument
Kaa kimya huna ujualo wwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu kupitia Comments zetu japo za masaa 12 yaliyopita utaona kuwa hatuna tatizo lolote na Klopp hata tukishuka Daraja tukaenda Championship bado tutakuwa na Imani na Klopp kwani anayesababisha matatizo yote haya tumeshamzungumzia sana tu na wala sio Klopp.
Hivyo sidhai kama unaweza kuona KloppOut kwenye huu Uzi.
Faza wasamehee hawa vilazaa na timu lao lililochokaa hiliiKaa kimya huna ujualo wwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is our team, tunaipenda na tutaendelea kuisapoti katika hali zote.YNWA
I love this team !
Inspirational !
Believers
Using a 19-year old kid at that level is unacceptable...someone somewhere (not the gaffer obviously) must be held accountable.
Hurts to get beat by the mancs. We cannot merely push this result under the carpet just like that!
FSG need to support Klopp in this Jan window ASAP otherwise Hata huko champions League tutaumbuka
Mkuu hujamsikia Klopp kuhusu usajili?
Alishasema last week kuwa alipelekea pendekezo la kununua CB lakini FSG wakalikataa kutokana na Financial Policy yao. Hivyo yeye si Mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kulia kwa kukosa kupewa alichokitaka